Wakenya, nikiwa mtanzania je naweza kuagiza gari lifikie kenya ila nilitumie Tz, huku hali imekuwa mbaya

Wakenya, nikiwa mtanzania je naweza kuagiza gari lifikie kenya ila nilitumie Tz, huku hali imekuwa mbaya

Kenya wanaingiza gari mpya au karibu na mpya au isiyopungua Miaka mitano Kama sikosei kutoka tarehe iliyotengenezwa ! Standard hii sisi watanzania wengi hatuiwezi Maana ni gari expensive

Utaratibu wa Tbs utakaoanza March , sio mbaya na sio mgeni , gari za kutoka Scandinavia na nchi jirani za huko bado zinakaguliwa kwa mtindo huo maana kule Tbs hawakuwa na agent , Ila kwa mazingira ya nchi masikini utasababisha rushwa .
 
Back
Top Bottom