Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabumilie tu, kweli uchumi wao umeyumba sana, wapo katika kipindi kigumu sana, na sitegemei kama uchumi wa Kenya utarudi katika hali yake ya zamani, kwasababu walikuwa wanapata upendeleo maaulumu kutokana nchi za Magharibi kipindi cha 'cold war".Mbona waTZ hawanashida yoyote wananunua bila taabu, hapo nimewanzia 30k huku kitu kikiwa 25k lakini watataka kwa 10k, wakenya Mungu anawaona
wakenya wanapenda kubargain. Ni a normal thing huku Kenya coz muuzaji anaweza hata double bei ya bidhaa huku Kenya ndio amake profit na customer wajinga. So ndio usiuziwe expensive unabargain. heza game yetu, mkenya mwambie bei ni tsh 50,000. Then acha abargainMbona waTZ hawanashida yoyote wananunua bila taabu, hapo nimewanzia 30k huku kitu kikiwa 25k lakini watataka kwa 10k, wakenya Mungu anawaona
wakenya wanapenda kubargain. Ni a normal thing huku Kenya coz muuzaji anaweza hata double bei ya bidhaa huku Kenya ndio amake profit na customer wajinga. So ndio usiuziwe expensive unabargain. heza game yetu, mkenya mwambie bei ni tsh 50,000. Then acha abargain
Hahahahaha, ninyi uchumi umeyumba lazima ukubali, sasa hivi Tanzania ndio kimbilio la wakenya kuja kufanya biashara, iwe ya investment au kununua bidhaa, sisi hatujazoea utapeli wenu wa kupandisha bei, ukiona bei, ujue hiyo ndio being halali, msituambukize unyang'au wenu, mkija huku lazima mkubaliane na utamaduni wetu.Ndio maana biashara zenu huwa zinaambulia patupu, customer care zero. Utakuwa mwanabiashara wa aina gani wewe kama hajui kubargain na customer? Ukishafahamu kwamba mteja wako anapenda kubargain bidhaa ya 25,000shs taja bei ya 35,000 kwanza, kisha mteja akilia sana mpunguzie hadi 28,000. Unatafuta pesa au unafukuzana na uzuri wa wateja?
Offer, discount, bargain, promotion zote ni viungo muhimu kwenye biashara. Kama wewe hapo huwa haubargain bei na masupplier wako jua kwamba umelala darasani hadi unakoroma.Mbona waTZ hawanashida yoyote wananunua bila taabu, hapo nimewanzia 30k huku kitu kikiwa 25k lakini watataka kwa 10k, wakenya Mungu anawaona
Tatizo sio bargain tatizo wanalialia mnoo, wanachanganya na matatizo ya nchi yao kwenye biashara yangu, vitu ambavyo havihusianiOffer, discount, bargain, promotion zote ni viungo muhimu kwenye biashara. Kama wewe hapo huwa haubargain bei na masupplier wako jua kwamba umelala darasani hadi unakoroma.
Obviously, you cannot negotiate kwa hotel or supermarket YOu know what I mean. Kama kwa stall ukinunua simu, or soko ukinunua gunia la mahindi or kwa stall ukinunua nguo. Ni cultural mahne, we love negotiating. Ukienda kwa duka la nguo uambiwe nguo ni 5k then utoe 5k then wewe ni mjinga, Utapata the seller amedouble priceAhaaa haaa haaa
Kwa hiyo unamaanisha MPAKA kwenye supermarket wana negotiate the price. So what is the use of price tag!!?
Hio ni strategy ya kubargain man. Anakuonyesha the way hana kitu. Anajiribu kukufanya umhurumie. Its bargaining trickery. So wewe stick to your msimamo. Na mwanabiashara si kucatch feels man,Tatizo sio bargain tatizo wanalialia mnoo, wanachanganya na matatizo ya nchi yao kwenye biashara yangu, vitu ambavyo havihusiani
Obviously, you cannot negotiate kwa hotel or supermarket YOu know what I mean. Kama kwa stall ukinunua simu, or soko ukinunua gunia la mahindi or kwa stall ukinunua nguo. Ni cultural mahne, we love negotiating. Ukienda kwa duka la nguo uambiwe nguo ni 5k then utoe 5k then wewe ni mjinga, Utapata the seller amedouble price
Mjifunze tamaduni na tabia za watu na nchi zingine, sio kila machokifanya Kenya, kiwe ndio sahihi katika nchi zingineObviously, you cannot negotiate kwa hotel or supermarket YOu know what I mean. Kama kwa stall ukinunua simu, or soko ukinunua gunia la mahindi or kwa stall ukinunua nguo. Ni cultural mahne, we love negotiating. Ukienda kwa duka la nguo uambiwe nguo ni 5k then utoe 5k then wewe ni mjinga, Utapata the seller amedouble price
Kama yeye ni mkenya then jua iko kwa DNA yetu. Mtanzania akija Kenya anaweza uziwa vitu expensive sana kama hajui kunegotiate. Unaweza uziwa viatu Tsh 140,000 na market price ya same pair ya viatu ni Tsh 70,000 ukikosa kubargainAhaaa haaa haaa
Mimi hicho ndo kinachoniudhi kwa mke wangu.
Last December tulivyoenda likizo, yee kila kitu sokoni lazima a negotiate the price.
Me huwa sifyagilii.
Kizzy Wizzy ni mwanabiashara. Anafaa ajifunze kuwa flexible. Mkenya atabargain, Mtanzania hatabargain. So, yeye anafaa ajue how to handle Kenyan customers.Mjifunze tamaduni na tabia za watu na nchi zingine, sio kila machokifanya Kenya, kiwe ndio sahihi katika nchi zingine
Unakariri tu huna jipya, wewe endelea kuwauzia wateja wako ndoo za kamongo, acha kulialia na kuwasoma soma wateja wako kama bar maid. Pesa kwanza, ila kumbuka kwamba mwisho wa siku 'customer is king'. Bila wao hakuna biashara. Customer akikwambia kwamba umpunguzie bei kwasababu ngamia wake wanaugua kisonono usipoteze focus. Pesa zake ndio zinakuhusu sio maisha yake.Tatizo sio bargain tatizo wanalialia mnoo, wanachanganya na matatizo ya nchi yao kwenye biashara yangu, vitu ambavyo havihusiani
Hiyo inaeleweka, tatizo ni pale ninyi wakenya mnapodhani kwamba kutobargain ni tatizo au ni kosa. Ukisoma post ya kwanza ya mwenzako hapo hii 'Pingli- nywi", ameanza kwa kusema " Ndio sababu biashara zenu zinadoda. Tabia hii ya kudhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi, ndio inayosababisha watanzania wajenge chuki dhidi ya Kenya.Kizzy Wizzy ni mwanabiashara. Anafaa ajifunze kuwa flexible. Mkenya atabargain, Mtanzania hatabargain. So, yeye anafaa ajue how to handle Kenyan customers.
Kwahivyo kubargain na kupeana discount ni vitu ambavyo vilianza Kenya? Miaka inavyoendelea kusonga ndio unazidi kuwa mshamba. Haggling kwasababu ya bei ni 'art' ya zamani sana, tangu enzi za mapharaoh kule misri.Hiyo inaeleweka, tatizo ni pale ninyi wakenya mnapodhani kwamba kutobargain ni tatizo au ni kosa. Ukisoma post ya kwanza ya mwenzako hapo hii 'Pingli- nywi", ameanza kwa kusema " Ndio sababu biashara zenu zinadoda. Tabia hii ya kudhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi, ndio inayosababisha watanzania wajenge chuki dhidi ya Kenya.
Hmmm. Nimeona point yako.Hiyo inaeleweka, tatizo ni pale ninyi wakenya mnapodhani kwamba kutobargain ni tatizo au ni kosa. Ukisoma post ya kwanza ya mwenzako hapo hii 'Pingli- nywi", ameanza kwa kusema " Ndio sababu biashara zenu zinadoda. Tabia hii ya kudhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi, ndio inayosababisha watanzania wajenge chuki dhidi ya Kenya.
Mkuu sasa mbona mnaelezea matatizo ya nchi yenu, vinaingiliana vipi na bargainingObviously, you cannot negotiate kwa hotel or supermarket YOu know what I mean. Kama kwa stall ukinunua simu, or soko ukinunua gunia la mahindi or kwa stall ukinunua nguo. Ni cultural mahne, we love negotiating. Ukienda kwa duka la nguo uambiwe nguo ni 5k then utoe 5k then wewe ni mjinga, Utapata the seller amedouble price