Wakenya nini Shida mbona mnalalamika sana....!!!

Ndio maana biashara zenu huwa zinaambulia patupu, customer care zero. Utakuwa mwanabiashara wa aina gani wewe kama hajui kubargain na customer? Ukishafahamu kwamba mteja wako anapenda kubargain, bidhaa ya 25,000shs taja bei ya 35,000 kwanza, kisha mteja akilia sana mpunguzie hadi 28,000. Unatafuta pesa au unafukuzana na uzuri wa wateja?
 
Mbona waTZ hawanashida yoyote wananunua bila taabu, hapo nimewanzia 30k huku kitu kikiwa 25k lakini watataka kwa 10k, wakenya Mungu anawaona
Wabumilie tu, kweli uchumi wao umeyumba sana, wapo katika kipindi kigumu sana, na sitegemei kama uchumi wa Kenya utarudi katika hali yake ya zamani, kwasababu walikuwa wanapata upendeleo maaulumu kutokana nchi za Magharibi kipindi cha 'cold war".

Sasa hivi wameachwa wapambane wenyewe wanapata taabu sana, Mara waendee ktk nchi za kijamaa, Mara warudi ktk ubepari, mambo yanakwenda ndivyo sivyo, wametukuta sisi tulishazoea kusimama kwa miguu yetu tangu zamani.
 
Mbona waTZ hawanashida yoyote wananunua bila taabu, hapo nimewanzia 30k huku kitu kikiwa 25k lakini watataka kwa 10k, wakenya Mungu anawaona
wakenya wanapenda kubargain. Ni a normal thing huku Kenya coz muuzaji anaweza hata double bei ya bidhaa huku Kenya ndio amake profit na customer wajinga. So ndio usiuziwe expensive unabargain. heza game yetu, mkenya mwambie bei ni tsh 50,000. Then acha abargain
 
Ahaaa haaa haaa
Kwa hiyo unamaanisha MPAKA kwenye supermarket wana negotiate the price. So what is the use of price tag!!?
 
Ndio maana biashara zenu huwa zinaambulia patupu, customer care zero. Utakuwa mwanabiashara wa aina gani wewe kama hajui kubargain na customer? Ukishafahamu kwamba mteja wako anapenda kubargain bidhaa ya 25,000shs taja bei ya 35,000 kwanza, kisha mteja akilia sana mpunguzie hadi 28,000. Unatafuta pesa au unafukuzana na uzuri wa wateja?
Hahahahaha, ninyi uchumi umeyumba lazima ukubali, sasa hivi Tanzania ndio kimbilio la wakenya kuja kufanya biashara, iwe ya investment au kununua bidhaa, sisi hatujazoea utapeli wenu wa kupandisha bei, ukiona bei, ujue hiyo ndio being halali, msituambukize unyang'au wenu, mkija huku lazima mkubaliane na utamaduni wetu.
 
Mbona waTZ hawanashida yoyote wananunua bila taabu, hapo nimewanzia 30k huku kitu kikiwa 25k lakini watataka kwa 10k, wakenya Mungu anawaona
Offer, discount, bargain, promotion zote ni viungo muhimu kwenye biashara. Kama wewe hapo huwa haubargain bei na masupplier wako jua kwamba umelala darasani hadi unakoroma.
 
Tatizo sio bargain tatizo wanalialia mnoo, wanachanganya na matatizo ya nchi yao kwenye biashara yangu, vitu ambavyo havihusiani
 
Ahaaa haaa haaa
Kwa hiyo unamaanisha MPAKA kwenye supermarket wana negotiate the price. So what is the use of price tag!!?
Obviously, you cannot negotiate kwa hotel or supermarket YOu know what I mean. Kama kwa stall ukinunua simu, or soko ukinunua gunia la mahindi or kwa stall ukinunua nguo. Ni cultural mahne, we love negotiating. Ukienda kwa duka la nguo uambiwe nguo ni 5k then utoe 5k then wewe ni mjinga, Utapata the seller amedouble price
 
Tatizo sio bargain tatizo wanalialia mnoo, wanachanganya na matatizo ya nchi yao kwenye biashara yangu, vitu ambavyo havihusiani
Hio ni strategy ya kubargain man. Anakuonyesha the way hana kitu. Anajiribu kukufanya umhurumie. Its bargaining trickery. So wewe stick to your msimamo. Na mwanabiashara si kucatch feels man,
 
Obviously, you cannot negotiate kwa hotel or supermarket YOu know what I mean. Kama kwa stall ukinunua simu, or soko ukinunua gunia la mahindi or kwa stall ukinunua nguo. Ni cultural mahne, we love negotiating. Ukienda kwa duka la nguo uambiwe nguo ni 5k then utoe 5k then wewe ni mjinga, Utapata the seller amedouble price

Ahaaa haaa haaa
Mimi hicho ndo kinachoniudhi kwa mke wangu.
Last December tulivyoenda likizo, yee kila kitu sokoni lazima a negotiate the price.
Me huwa sifyagilii.
 
Mjifunze tamaduni na tabia za watu na nchi zingine, sio kila machokifanya Kenya, kiwe ndio sahihi katika nchi zingine
 
Kama yeye ni mkenya then jua iko kwa DNA yetu. Mtanzania akija Kenya anaweza uziwa vitu expensive sana kama hajui kunegotiate. Unaweza uziwa viatu Tsh 140,000 na market price ya same pair ya viatu ni Tsh 70,000 ukikosa kubargain
 
Mjifunze tamaduni na tabia za watu na nchi zingine, sio kila machokifanya Kenya, kiwe ndio sahihi katika nchi zingine
Kizzy Wizzy ni mwanabiashara. Anafaa ajifunze kuwa flexible. Mkenya atabargain, Mtanzania hatabargain. So, yeye anafaa ajue how to handle Kenyan customers.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Tatizo sio bargain tatizo wanalialia mnoo, wanachanganya na matatizo ya nchi yao kwenye biashara yangu, vitu ambavyo havihusiani
Unakariri tu huna jipya, wewe endelea kuwauzia wateja wako ndoo za kamongo, acha kulialia na kuwasoma soma wateja wako kama bar maid. Pesa kwanza, ila kumbuka kwamba mwisho wa siku 'customer is king'. Bila wao hakuna biashara. Customer akikwambia kwamba umpunguzie bei kwasababu ngamia wake wanaugua kisonono usipoteze focus. Pesa zake ndio zinakuhusu sio maisha yake.
 
Kizzy Wizzy ni mwanabiashara. Anafaa ajifunze kuwa flexible. Mkenya atabargain, Mtanzania hatabargain. So, yeye anafaa ajue how to handle Kenyan customers.
Hiyo inaeleweka, tatizo ni pale ninyi wakenya mnapodhani kwamba kutobargain ni tatizo au ni kosa. Ukisoma post ya kwanza ya mwenzako hapo hii 'Pingli- nywi", ameanza kwa kusema " Ndio sababu biashara zenu zinadoda. Tabia hii ya kudhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi, ndio inayosababisha watanzania wajenge chuki dhidi ya Kenya.
 
Kwahivyo kubargain na kupeana discount ni vitu ambavyo vilianza Kenya? Miaka inavyoendelea kusonga ndio unazidi kuwa mshamba. Haggling kwasababu ya bei ni 'art' ya zamani sana, tangu enzi za mapharaoh kule misri.
 
Hiyo inaeleweka, tatizo ni pale ninyi wakenya mnapodhani kwamba kutobargain ni tatizo au ni kosa. Ukisoma post ya kwanza ya mwenzako hapo hii 'Pingli- nywi", ameanza kwa kusema " Ndio sababu biashara zenu zinadoda. Tabia hii ya kudhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi, ndio inayosababisha watanzania wajenge chuki dhidi ya Kenya.
Hmmm. Nimeona point yako.
 
Obviously, you cannot negotiate kwa hotel or supermarket YOu know what I mean. Kama kwa stall ukinunua simu, or soko ukinunua gunia la mahindi or kwa stall ukinunua nguo. Ni cultural mahne, we love negotiating. Ukienda kwa duka la nguo uambiwe nguo ni 5k then utoe 5k then wewe ni mjinga, Utapata the seller amedouble price
Mkuu sasa mbona mnaelezea matatizo ya nchi yenu, vinaingiliana vipi na bargaining
 
Back
Top Bottom