Wakenya nini Shida mbona mnalalamika sana....!!!

Hiyo inaeleweka, tatizo ni pale ninyi wakenya mnapodhani kwamba kutobargain ni tatizo au ni kosa. Ukisoma post ya kwanza ya mwenzako hapo hii 'Pingli- nywi", ameanza kwa kusema " Ndio sababu biashara zenu zinadoda. Tabia hii ya kudhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi, ndio inayosababisha watanzania wajenge chuki dhidi ya Kenya.
Hawa jamaa ni shida asee, waTz wakifika kwa ofisi wanachekelea the price kwasababu iko standard na ni affordable pia ni reasonable sasa usiombe aingie mkenya unaweza mwachia ofisi, mm now days huwa sinaga time nao wanakera asee..... kutwaa wanalalamika utadhani unawaonea
 
Mkuu sasa mbona mnaelezea matatizo ya nchi yenu, vinaingiliana vipi na bargaining
Ni strategy. Mkenya akiwa kenya atakuambia amerudisha watoto shule hana pesa ama alifutwa job hana pesa ndio umpunguzie bei n.k . Ni strategy ya kukufanya umuuzie product yako as cheaply as you can. Gain kwake loss kwako, so wewe ukipatana na mkenya mwelezee hio ni fixed price na asibargain coz in Tz you dont bargain ama ongezi bei ya product na maybe utapata mjinga na umake double profit na yeye
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Ila mpunguze kulalama inakuwa kama ndo mimi sasa nimewasababishia matatizo yenu......

Mtu analalama utafkiri hatokei kwenye middle income country bhana...

Yaani hadi kero
 
Ni strategy. Mkenya akiwa kenya atakuambia amerudisha watoto shule hana pesa ama alifutwa job hana pesa ndio umpunguzie bei n.k . Ni strategy ya kukufanya umuuzie product yako as cheaply as you can. Gain kwake loss kwako, so wewe ukipatana na mkenya mwelezee hio ni fixed price na asibargain coz in Tz you dont bargain ama ongezi bei ya product na maybe utapata mjinga na umake double profit na yeye

Ahaaa haaa haaa
Kwa TANZANIA hiyo wanafanya wanawake.
 
Kwahivyo kubargain na kupeana discount ni vitu ambavyo vilianza Kenya? Miaka inavyoendelea kusonga ndio unazidi kuwa mshamba. Haggling kwasababu ya bei ni 'art' ya zamani sana, tangu enzi za mapharaoh kule misri.
Sasa nani kakuambia kwamba ni lazima kubargain na usipobargain ni kosa?,. Hiyo ni utamaduni wa biashara, kama unadhani au mumezoea kubargain hakuna anayekukataza endeleeni, na kwa wale ambao hawajazoea kufanya hivyo, pia kwao ni sawa, sasa wewe unaposema " ndio maana biashara inadoda", huo ni kutaka kuamulia watu utamaduni wao wa kufanya biashara.

Hii tabia ya wakenya kujifanya kuwa ninyi ndio 'bench mark" ya kila kitu, ndio inayofanya nchi nyingi ziwe very " uncomfortable' na ninyi. Jaribuni kujishusha kidogo na kuheshimu maisha ya watu wengine, kwa tabii hii mtalalamika sana kwamba watanzania wanawachukia, lakini ninyi wenyewe tabia yenu ya kujikweza ndio chanzo.
 
Eti tujishushe? [emoji1][emoji1][emoji1]
Kafie mbali na huo ukibwengo wako....
8437947_image3a121_jpeg67b345a87f6f59000ac2bbc15bc5670b
 
eliakeem huku tuko na MALLS sio supermakets. Now can you rephrase your question again.
 
Mbona waTZ hawanashida yoyote wananunua bila taabu, hapo nimewanzia 30k huku kitu kikiwa 25k lakini watataka kwa 10k, wakenya Mungu anawaona
Mimi ni Mkenya. Sasa mbona usikwame kwa Tsh 25,000 na umwambie aende zake kama hataki kulipa? Hata Kenya pia muuzaji huwa anakataa kupunguza bei na mteja anatembeza kiatu. Kuwa strong wacha kulialia sio lazima upunguze bei.
 
brathe..mm nikinunua kitu bila ya ku bargain huaga naumia sana...duh...naona tu nimeshapigwa tayarii...ukinitajia kitu ksh5000 mimi nakupa yangu ya 2500...then utashuka na mi nitapanda pole pole tu hadi mpka 2700 hv then nikungoje wewe utoke hko 5k hadi 3k ndio tuongee vizuri sasa km nani ana ulimi mwepesi zaidi ya mwenzake
 
Back
Top Bottom