Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
- Thread starter
-
- #21
Hawa jamaa ni shida asee, waTz wakifika kwa ofisi wanachekelea the price kwasababu iko standard na ni affordable pia ni reasonable sasa usiombe aingie mkenya unaweza mwachia ofisi, mm now days huwa sinaga time nao wanakera asee..... kutwaa wanalalamika utadhani unawaoneaHiyo inaeleweka, tatizo ni pale ninyi wakenya mnapodhani kwamba kutobargain ni tatizo au ni kosa. Ukisoma post ya kwanza ya mwenzako hapo hii 'Pingli- nywi", ameanza kwa kusema " Ndio sababu biashara zenu zinadoda. Tabia hii ya kudhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi, ndio inayosababisha watanzania wajenge chuki dhidi ya Kenya.
Ni strategy. Mkenya akiwa kenya atakuambia amerudisha watoto shule hana pesa ama alifutwa job hana pesa ndio umpunguzie bei n.k . Ni strategy ya kukufanya umuuzie product yako as cheaply as you can. Gain kwake loss kwako, so wewe ukipatana na mkenya mwelezee hio ni fixed price na asibargain coz in Tz you dont bargain ama ongezi bei ya product na maybe utapata mjinga na umake double profit na yeyeMkuu sasa mbona mnaelezea matatizo ya nchi yenu, vinaingiliana vipi na bargaining
Ila mpunguze kulalama inakuwa kama ndo mimi sasa nimewasababishia matatizo yenu......Ni strategy. Mkenya akiwa kenya atakuambia amerudisha watoto shule hana pesa ama alifutwa job hana pesa ndio umpunguzie bei n.k . Ni strategy ya kukufanya umuuzie product yako as cheaply as you can. Gain kwake loss kwako, so wewe ukipatana na mkenya mwelezee hio ni fixed price na asibargain coz in Tz you dont bargain ama ongezi bei ya product na maybe utapata mjinga na umake double profit na yeye
Ni strategy. Mkenya akiwa kenya atakuambia amerudisha watoto shule hana pesa ama alifutwa job hana pesa ndio umpunguzie bei n.k . Ni strategy ya kukufanya umuuzie product yako as cheaply as you can. Gain kwake loss kwako, so wewe ukipatana na mkenya mwelezee hio ni fixed price na asibargain coz in Tz you dont bargain ama ongezi bei ya product na maybe utapata mjinga na umake double profit na yeye
Kwa Bongo hii kitu ya kulialia wanafanya wanawake cha kushangaza wakenya hadi mwanamme na ndevu zake nalalama utafkiri lidada bhana...ha ha haAhaaa haaa haaa
Kwa TANZANIA hiyo wanafanya wanawake.
Sasa nani kakuambia kwamba ni lazima kubargain na usipobargain ni kosa?,. Hiyo ni utamaduni wa biashara, kama unadhani au mumezoea kubargain hakuna anayekukataza endeleeni, na kwa wale ambao hawajazoea kufanya hivyo, pia kwao ni sawa, sasa wewe unaposema " ndio maana biashara inadoda", huo ni kutaka kuamulia watu utamaduni wao wa kufanya biashara.Kwahivyo kubargain na kupeana discount ni vitu ambavyo vilianza Kenya? Miaka inavyoendelea kusonga ndio unazidi kuwa mshamba. Haggling kwasababu ya bei ni 'art' ya zamani sana, tangu enzi za mapharaoh kule misri.
Eti tujishushe? [emoji1][emoji1][emoji1]Sasa nani kakuambia kwamba ni lazima kubargain na usipobargain ni kosa?,. Hiyo ni utamaduni wa biashara, kama unadhani au mumezoea kubargain hakuna anayekukataza endeleeni, na kwa wale ambao hawajazoea kufanya hivyo, pia kwao ni sawa, sasa wewe unaposema " ndio maana biashara inadoda", huo ni kutaka kuamulia watu utamaduni wao wa kufanya biashara.
Hii tabia ya wakenya kujifanya kuwa ninyi ndio 'bench mark" ya kila kitu, ndio inayofanya nchi nyingi ziwe very " uncomfortable' na ninyi. Jaribuni kujishusha kidogo na kuheshimu maisha ya watu wengine, kwa tabii hii mtalalamika sana kwamba watanzania wanawachukia, lakini ninyi wenyewe tabia yenu ya kujikweza ndio chanzo.
Kwahiyo muache kulalamika pale tunapowanyanyasa, kwasababu mnatuchokozaEti tujishushe? [emoji1][emoji1][emoji1]
Kafie mbali na huo ukibwengo wako....
Lazima ni bargain hata iwe Mars.
Mimi ni Mkenya. Sasa mbona usikwame kwa Tsh 25,000 na umwambie aende zake kama hataki kulipa? Hata Kenya pia muuzaji huwa anakataa kupunguza bei na mteja anatembeza kiatu. Kuwa strong wacha kulialia sio lazima upunguze bei.Mbona waTZ hawanashida yoyote wananunua bila taabu, hapo nimewanzia 30k huku kitu kikiwa 25k lakini watataka kwa 10k, wakenya Mungu anawaona
Kenya Tafrani kila mtu ameamua kufa na chake