Yeah, Kenya wanajiita hivyo wao wenyewe. Tafuta wimbo wa "Nani Mwenza", - Nonini ft Juma NatureGenge unamaanisha Kenya?
nimesikitishwa sana aisee...! vipi, hivi kisha utafika mazishini kweli?Kwakweli ndugu zetu hata Huku makazini wanatufariji sana
mkuu, tupo msibani. heshima ni kitu cha maana sana.Wapo waendesha ligi humu kutoka pande zote, Bongo na Genge. Watakuja kulazimisha mabishano yasiyo na tija
To be fair mara nyingi hizi chokochoko wanaanzisha wakenya kuliko watanzania.Watanzania hatuna shukurani, hata tufanyiwe nini haipiti muda tunaanza wehu wetu. Halafu tukipigwa spana za vichwa tunaanza kujilizaliza.
Juzi tu huyu wanaotusaidia kumlilia aliwakamata wamama wa kimasai border ya tanzania kuchunga ng'ombe na kuwachapa fine kila mtu ameizing. Halafu mkuu wa mkoa yalimtoka maneno ya shombo kuhusu hao kina mama wa kimasai kwamba hawana passport wala document za immigration.
Kumbuka mwaka jana, Namanga, afisa immigrarion alichoma moto vifaranga vya kuku 5,000 vikiwa hai, badala ya kuvirudisha kenya vilipotoka.
Mwaka jana huo huo, Kenya Airways zilinyimwa ruhusa ya kutua Airport za Tanzania.
Hawa wapumbavu sijui wanafikiria kwa kutumia kiungo gani, eti kujiunga na tbc ndio undugu tayarigango2 Sema Wakenya ndugu zako wewe!
halafu unajua KTN ni media ya Moi family!Hawa wapumbavu sijui wanafikiria kwa kutumia kiungo gani, eti kujiunga na tbc ndio undugu tayari
Wasubiri baada ya kujiunga na tbc waone ktn inavyompigia simu lissu aanze kumtukana Magufuli na Tanzania
Hiyo TV na nyingine zote Kenya huwa wanamuhoji lissu tu kumuelezea Magufuli ni wa aina gani, wachambuzi wao wote kwenye programs zao wanamuongelea Magufuli vibaya sana kupita maelezo yaani hata jema 1 tu hana.halafu unajua KTN ni media ya Moi family!
Wakitumia super infrastructure za Azam media na TBC!Hiyo TV na nyingine zote Kenya huwa wanamuhoji lissu tu kumuelezea Magufuli ni wa aina gani, wachambuzi wao wote kwenye programs zao wanamuongelea Magufuli vibaya sana kupita maelezo yaani hata jema 1 tu hana.
Nawashangaa hawa Nyumbu wanafikiri kujiunga na tbc ndio undugu
nimesikitishwa sana aisee...! vipi, hivi kisha utafika mazishini kweli?
Sasa si watangaze tu hivi virusi vinafanana na vya ngoma sababu hii ni mara ya tatu sasa vinabadilika. Kitu ambacho sijajua ni je kila vinavyobadilika inabidi uchome chanjo mpya kama ilivyotokea south africa au inakuwaje? Na kama inabidi uchome kila vinavyobadilika sasa kwanini wasiwekeze kwenye dawa za kuponya kuliko hizo chanjo?Ndio desturi ya Afrika, ukiondolea mbali urais, yule alikua baba wa familia, mume wa mtu, kaka wa watu, hivyo muhimu aombolezwe kama binadamu yeyote yule. Pia nilipenda sana ujasiri wake na alivyopenda kujiamini na kusimamia maamuzi yake, yaani tu angekua anakubali kushauriwa, yule angekua rais wa kuigwa dunia yote.
Hapo pakugomea ushauri huwa namfananisha na marehemu babangu, hawa ni wazee wale ambao walikuzwa kwenye desturi zenye dhana kwamba mzee haambiwi wala kushauriwa, yaani babangu ilikua ukitaka kumshauri au kumpinga ujiandae kupokea kibao.
Haka kaugonjwa kamebadilisha tunavyoishi na kuhusiana, maana hata misiba kwetu huku Kenya hatuhudhurii, tunabonyeza tu Mpesa na kutuma michango na kuwaachia ndugu wa karibu wazike wao.
Hapa tayari tumetaarifiwa kuna corona v3 ambayo inakuathiri kimya kimya, yaani dalili utazihisi siku unapukutika, hivyo vile vipimo sijui vya joto wala nini havisaidii tena. Itabidi serikali iharakishe hii chanjo la sivyo "twafwa".