pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
hii story ya mafuta umeichangamkia leo joo😀😀😀...Bei ya petroli Narok ni 129.70 Kuwa na usiku mwemaView attachment 853745
As an insider of the happenings in IMF, am glad that this has happened...Now watch as Jubilee Fallshii story ya mafuta umeichangamkia leo joo😀😀😀...
Alafu wote wametoka na diamond trophy, kitita cha $50,000! Hongera zao.Obiri naye pia alishinda
Ab average kenyan is 2 times richer than a Tanzanian..Lamba loloBei ya petroli Narok ni 129.70 Kuwa na usiku mwemaView attachment 853745
Never give up! Ujumbe kuntu kutoka kwa bingwa Conseslus.Jamaa kiatu kimoja kilimtoka lakini akaishia kuwa mshindi tu....never give up... Kenyan spirit tunawaambia humu kila siku.
wah! ukweli? sijui nami nayee nianze mbioAlafu wote wametoka na diamond trophy, kitita cha $50,000! Hongera zao.
Diamond league ni ligi ya pesa hapa ndio wanariatha huwa wanachuna zao. Walipeana Diamond trophy 16, each $50,000 kwa the best 16 perfomers. Ukumbuke juu yake kuna zile awards za position 1,2,3 kwenye races zote, nadhani huwa $50,000,$20,000,$10,000 mtawalia. Mwendazake Samuel Wanjiru ambaye alikuwa multiple record holder walikuwa wanampa $50,000 kwa appearance. Yaani jina lake liwe kwenye orodha tu, litumike kwenye promo ya mbio zenyewe. [emoji1]wah! ukweli? sijui nami nayee nianze mbiohizo hela si mchzo mchezo
😱😱! sikujua haya..kumbe hawa wanariadha ni multimillionaires...hizo sio hela kidogo..na huwa wanakimbia kote duniani ....chai!!!Diamond league ni ligi ya pesa hapa ndio wanariatha huwa wanachuna zao. Walipeana Diamond trophy 16, each $50,000 kwa the best 16 perfomers. Ukumbuke juu yake kuna zile awards za position 1,2,3 kwenye races zote, nadhani huwa $50,000,$20,000,$10,000 mtawalia. Mwendazake Samuel Wanjiru ambaye alikuwa multiple record holder walikuwa wanampa $50,000 kwa appearance. Yaani jina lake liwe kwenye orodha tu, litumike kwenye promo ya mbio zenyewe. [emoji1]
Hela wanazo hawa jamaa.😱😱! sikujua haya..kumbe hawa wanariadha ni multimillionaires...hizo sio hela kidogo..na huwa wanakimbia kote duniani ....chai!!!
[emoji1][emoji1][emoji1]aiseee tunazidi kusimama tisti katika ulingo wa riadha mazeee!!...ila kuna waswahili wanazidi kulia lia humu eti wao ndio wakurugenzi wa imf...duhh pole zaoo