Wakenya Tena!!! Wanariadha Wazoa Tuzo Nyingi, Conseslus Kipruto Ashinda Kwenye 3,000M SC Akiwa Amevalia Kiatu Kimoja

Wakenya Tena!!! Wanariadha Wazoa Tuzo Nyingi, Conseslus Kipruto Ashinda Kwenye 3,000M SC Akiwa Amevalia Kiatu Kimoja

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
2018 Weltklasse IAAF Diamond League, Zurich, Switzerland. Wakenya wameliamsha!
_103241589_mediaitem103241588.jpg
Conseslus-Kipruto.jpg
Conseslus Kipruto akishinda kwenye mbio za mita 3,000 Steeplechase akiwa na kiatu chake kimoja.
Hellen-Obiri-1.jpg
Hellen Obiri akashinda kwenye mbio za mita 5,000.
24th-august-2017-letzigrund-stadium-zurich-switzerland-diamond-league-picture-id838653494
Nafasi ya 1 na ya 2 kwenye mbio za mita 1,500 zikanyakuliwa na Timothy Cheruiyot na Elijah Manang'oi.IAAF D.L.-Zurich Report
 
Jamaa kiatu kimoja kilimtoka lakini akaishia kuwa mshindi tu....never give up... Kenyan spirit tunawaambia humu kila siku.
Never give up! Ujumbe kuntu kutoka kwa bingwa Conseslus.
 
wah! ukweli? sijui nami nayee nianze mbio
emoji23.png
emoji23.png
hizo hela si mchzo mchezo
Diamond league ni ligi ya pesa hapa ndio wanariatha huwa wanachuna zao. Walipeana Diamond trophy 16, each $50,000 kwa the best 16 perfomers. Ukumbuke juu yake kuna zile awards za position 1,2,3 kwenye races zote, nadhani huwa $50,000,$20,000,$10,000 mtawalia. Mwendazake Samuel Wanjiru ambaye alikuwa multiple record holder walikuwa wanampa $50,000 kwa appearance. Yaani jina lake liwe kwenye orodha tu, litumike kwenye promo ya mbio zenyewe. [emoji1]
 
aiseee tunazidi kusimama tisti katika ulingo wa riadha mazeee!!...ila kuna waswahili wanazidi kulia lia humu eti wao ndio wakurugenzi wa imf...duhh pole zaoo
 
😱😱! sikujua haya..kumbe hawa wanariadha ni multimillionaires...hizo sio hela kidogo..na huwa wanakimbia kote duniani ....chai!!!
 
aiseee tunazidi kusimama tisti katika ulingo wa riadha mazeee!!...ila kuna waswahili wanazidi kulia lia humu eti wao ndio wakurugenzi wa imf...duhh pole zaoo
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom