pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
2018 Weltklasse IAAF Diamond League, Zurich, Switzerland. Wakenya wameliamsha!
Conseslus Kipruto akishinda kwenye mbio za mita 3,000 Steeplechase akiwa na kiatu chake kimoja.
Hellen Obiri akashinda kwenye mbio za mita 5,000.
Nafasi ya 1 na ya 2 kwenye mbio za mita 1,500 zikanyakuliwa na Timothy Cheruiyot na Elijah Manang'oi.IAAF D.L.-Zurich Report