Wakenya tuendelee kukumbatia Uchina ili kuepukana na adhabu wanayopokea wenzetu wa Tanzania

Wakenya tuendelee kukumbatia Uchina ili kuepukana na adhabu wanayopokea wenzetu wa Tanzania

World Bank kapangua hizo Taarifa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Leo mkuu wao kusema atatoa hizo pesa nakuendelea kufadhili miradi mingineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Jana AD Bank pia kuleta billionsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Habari njema hii.
 
Tanzania na China. Watalii 10,000 kuja nchini..Tanzania kutokea ChinaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Wacha wee, Balozi wa Tanzania nchini Sweden aitwa na serikali ya Sweden kuhusu ufafanuzi wa waharakati zinazoendelea nchini Tanzania. Tanzania haijamtuma balozi wake akajielezee, ameitikia diplomatic summon.
Hatutafeli kama nchi kwa kunyimwa mikopo, mikopo ipo tu hata leo WB imetoa mkopo wa $300 millions.
Africa kwenye suala la ushoga tunashindwa kujinasua kwasababu taratibu zetu zimevurugwa. Mapadri wakianza kuhubiri kuukubali ushoga tu basi kwetu itakua kitu cha kawaida sana. Tungekua na dini na taratibu zinazokataza tungekua salama. Waarabu wana taratibu zao tangu karne ya 5 kwahiyo inaeleweka.
Wameachia wenyewe broπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kwa hiyo nyie (wakenya) mnaendelea kutifuana nyuma!???? Laana iko na nyie! Poleni sana na inawezekana hata wewe ulopost hii mana unapumuliwa kisogoni.
 
Huwezi kuitenga Tanzania. World Bank Today πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Tanzania ni nchi ya Asali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

wasipo ikopesha TANZANIA yenye uwezo WA kulipa madeni watawakopesha nan...
 
Akili za kima hizi..Eti Kenya ikumbatie Uchina na Juzi tu Uhuru alikuwa ulaya kuzungusha bakuli😝😝😝
Wazungu wana wakula tigo na wachina wana wapiga bakora za matako hii yote sababu ya kuzungusha bakuli..
Afadhali JPM hata kama bado lazima azugushe bakuli, anajitahidi kutumia pesa zake za ndani angalau kupunguza ujinga..
Naona wazungu wana zimezea mate sana tigo za wa Tz, wanajua kenya kupata tigo ni kazi rahisi
Tupo imara mkuu
 
Naona unaendelea na ugonjwa wako wa kuleta Habari za Tanzania huku. Tukileta sisi tunaonekana wabaya.
 
MK254 . Yaani umenena ukweli mtupu. Tatizo ya baadhi ya wachangiaji humu ni utoto mwingi ambao hufanya washabikie vitu vya kipumbavu. Hata najua kuna wanachadema ambao wanashangaa sana na hawa wazungu. Wakati wote hawa wazungu wamenyamaza magufuli akifanya mambo ya kipumbavu sana.

Kwa maoni yangu, WB walikuwa na haki zaidi ya EU kushikilia hela. Hata hivyo, mambo ya WB ni kuhusu elimu ya watoto wasichana. Haya ni mambo specific kabisa na niko na uhakika magu alirudi nyuma. Kwa wale wanaoshabikia eti WB wamerudisha hela, nadhani hao ni watoto sana. Benki ya Dunia haijatoa mkopo huo, bali imesema itatoa. Ni mpumbavu asiyekumbuka miaka za Moi kuhusu ahadi za WB za 'tuta'.

Kuhusu EU, hili ni jambo ambalo lafaa likemewe na wengi wetu. Kwanini wazungu walingoja hadi mambo ya kishoga yaje ndiposa wasingizie ati "haki za kibinadamu?" Sisi kama Kenya tusimtegemee mzungu au hata mchina. Ni vyema tujipende wenyewe na tuanze na EAC. Huu upuuzi wa TZ kujifanya na kujitenga utaigharimu sana. Kuungana na kufanya mambo kama nchi za kiafrika ndio njia pekee ya kujikinga na tactics hizi. Tujifunze kujitegema kwa kuwapenda watu weusi. Tatizo ni kuwa waafrika tunafanyiana maovu kuliko jinsi tunavyomfanyia mzungu.

Licha ya utani wa humu jukwaani, sitaki kuona uchumi wa TZ ukivurugwa kisa upumbavu wa mashoga. Hawa watu sio eti huleta hela nyingi sana (haswa Kenya). Tatizo ni kuwa sisi tuko very vulnerable kwa financial system zetu. Sanctions zao kidogo tu zaweza kufanya shillingi ya KES ishuke kutoka 100 hadi 200 kwa mwezi mmoja. Wakipiga TZ kichapo, Sitashangaa kuona TZS imeshuka kutoka 2300 hadi 4600.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sio kwamba tunashindwa kukopa China. Na rafiki wa kweli TZ ni China na Russia kama socialist countries. Msikilize Magufuli leo kuhusu world bank...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Wacha kelele. Sindano ya Magufuli inaingia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. EU is Tanzania’s biggest donor. Subiri wa-review funding to TZ. Mtapata tabu chini ya uongozi wa dictator

EU to review its financial support for Tanzania over human rights concerns | DW | 16.11.2018
 
Back
Top Bottom