Wakenya tuendelee kukumbatia Uchina ili kuepukana na adhabu wanayopokea wenzetu wa Tanzania

Naona unaendelea na ugonjwa wako wa kuleta Habari za Tanzania huku. Tukileta sisi tunaonekana wabaya.
Hawa jamaa nimegundua wanatuogopa kinyamaaaaa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MK254 . Yaani umenena ukweli mtupu. Tatizo ya baadhi ya wachangiaji humu ni utoto mwingi ambao hufanya washabikie vitu vya kipumbavu. Hata najua kuna wanachadema ambao wanashangaa sana na hawa wazungu. Wakati wote hawa wazungu wamenyamaza magufuli akifanya mambo ya kipumbavu sana.

Kwa maoni yangu, WB walikuwa na haki zaidi ya EU kushikilia hela. Hata hivyo, mambo ya WB ni kuhusu elimu ya watoto wasichana. Haya ni mambo specific kabisa na niko na uhakika magu alirudi nyuma. Kwa wale wanaoshabikia eti WB wamerudisha hela, nadhani hao ni watoto sana. Benki ya Dunia haijatoa mkopo huo, bali imesema itatoa. Ni mpumbavu asiyekumbuka miaka za Moi kuhusu ahadi za WB za 'tuta'.

Kuhusu EU, hili ni jambo ambalo lafaa likemewe na wengi wetu. Kwanini wazungu walingoja hadi mambo ya kishoga yaje ndiposa wasingizie ati "haki za kibinadamu?" Sisi kama Kenya tusimtegemee mzungu au hata mchina. Ni vyema tujipende wenyewe na tuanze na EAC. Huu upuuzi wa TZ kujifanya na kujitenga utaigharimu sana. Kuungana na kufanya mambo kama nchi za kiafrika ndio njia pekee ya kujikinga na tactics hizi. Tujifunze kujitegema kwa kuwapenda watu weusi. Tatizo ni kuwa waafrika tunafanyiana maovu kuliko jinsi tunavyomfanyia mzungu.

Licha ya utani wa humu jukwaani, sitaki kuona uchumi wa TZ ukivurugwa kisa upumbavu wa mashoga. Hawa watu sio eti huleta hela nyingi sana (haswa Kenya). Tatizo ni kuwa sisi tuko very vulnerable kwa financial system zetu. Sanctions zao kidogo tu zaweza kufanya shillingi ya KES ishuke kutoka 100 hadi 200 kwa mwezi mmoja. Wakipiga TZ kichapo, Sitashangaa kuona TZS imeshuka kutoka 2300 hadi 4600.
Watu weusi nima snitch tukianza na Kenya yenyewe. Forget about EAC. Ilishakufa zamani imebaki kwenye makaratasi. Kila mtu apambane na hali yake. Kenya ime tu snitch mala kibao. Toka enzi za Nyerere.
Kwa taarifa yako WB haikuwa imekatalia hizo pesa. Onyesha written evidence yakuonyesha World Bank iligomea hizo pesa. Yote ilikuwa ni propaganda ikitokea kwenye media zenye headquters Kenya. Organization kubwa au nchi haitoagi matamko isipokuwa written evidence. Onyesha written evidence ya worldbank kukatalia hizo pesaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hujui hata mambo yakimataifa yanavyoendeshwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MK254 . Yaani umenena ukweli mtupu. Tatizo ya baadhi ya wachangiaji humu ni utoto mwingi ambao hufanya washabikie vitu vya kipumbavu. Hata najua kuna wanachadema ambao wanashangaa sana na hawa wazungu. Wakati wote hawa wazungu wamenyamaza magufuli akifanya mambo ya kipumbavu sana.

Kwa maoni yangu, WB walikuwa na haki zaidi ya EU kushikilia hela. Hata hivyo, mambo ya WB ni kuhusu elimu ya watoto wasichana. Haya ni mambo specific kabisa na niko na uhakika magu alirudi nyuma. Kwa wale wanaoshabikia eti WB wamerudisha hela, nadhani hao ni watoto sana. Benki ya Dunia haijatoa mkopo huo, bali imesema itatoa. Ni mpumbavu asiyekumbuka miaka za Moi kuhusu ahadi za WB za 'tuta'.

Kuhusu EU, hili ni jambo ambalo lafaa likemewe na wengi wetu. Kwanini wazungu walingoja hadi mambo ya kishoga yaje ndiposa wasingizie ati "haki za kibinadamu?" Sisi kama Kenya tusimtegemee mzungu au hata mchina. Ni vyema tujipende wenyewe na tuanze na EAC. Huu upuuzi wa TZ kujifanya na kujitenga utaigharimu sana. Kuungana na kufanya mambo kama nchi za kiafrika ndio njia pekee ya kujikinga na tactics hizi. Tujifunze kujitegema kwa kuwapenda watu weusi. Tatizo ni kuwa waafrika tunafanyiana maovu kuliko jinsi tunavyomfanyia mzungu.

Licha ya utani wa humu jukwaani, sitaki kuona uchumi wa TZ ukivurugwa kisa upumbavu wa mashoga. Hawa watu sio eti huleta hela nyingi sana (haswa Kenya). Tatizo ni kuwa sisi tuko very vulnerable kwa financial system zetu. Sanctions zao kidogo tu zaweza kufanya shillingi ya KES ishuke kutoka 100 hadi 200 kwa mwezi mmoja. Wakipiga TZ kichapo, Sitashangaa kuona TZS imeshuka kutoka 2300 hadi 4600.

Inauma sana kwa kweli ukizingatia Waarabu wana sheria kali sana dhidi ya mashoga, wanachinja kabisa lakini hawasemwi, kwao hata kuchepuka unapigwa mawe. Hapa yaani Mwafrika hata kutaja chochote dhidi ya mashoga unapumuliwa mpaka basi.
Tatizo hatuna jinsi, maana hela hatuna za kujenga miundo mbinu lazima tuwategemee na ndio maana nashauri bora Uchina, nakumbuka kipindi rais Kibaki alianza kuwafuata Wachina, wengi tulimsema sana lakini nimeishia kumuelewa.

EAC hata tukiungana, hatuna hela za kufanya chochote, lazima tuwasklizie hawa....
 
Waambie hao tena makamu WA raisi

WA BENK YA DUNIA AMEKUJA MWENYEWE NA AMEKUBALI KUTOA ILE DOLA MIL. 300 ILIYOKUWA IKIPIGIWA MISUMARI KUWA TUMECHINJIWA BAHARINI KISA MASHOGA
Wew jamaa Mbona kama hujatulia hivi.?!

Leta source kwa taarifa yako hapo juu
 
Inauma sana kwa kweli ukizingatia Waarabu wana sheria kali sana dhidi ya mashoga, wanachinja kabisa lakini hawasemwi, kwao hata kuchepuka unapigwa mawe. Hapa yaani Mwafrika hata kutaja chochote dhidi ya mashoga unapumuliwa mpaka basi.
Tatizo hatuna jinsi, maana hela hatuna za kujenga miundo mbinu lazima tuwategemee na ndio maana nashauri bora Uchina, nakumbuka kipindi rais Kibaki alianza kuwafuata Wachina, wengi tulimsema sana lakini nimeishia kumuelewa.

EAC hata tukiungana, hatuna hela za kufanya chochote, lazima tuwasklizie hawa....
Hapa napinga Kidogo. Shida ya Tz ni namna wanavyofanya mambo. Kusema ukweli wakati wa Kikwete Tz ilikuwa ime imarika sana, Hali ya sasa, in two years magufuli amekuwa restrictive sana, ndio unaona hawa international regulators pushing back. Freedom of rights na other things have detoriarated rapidly. Kule Uarabuni, sheria zao ni kutoka zamani, Yaani wako consistent hakuna jambo jipya.
Hata Kagame ni dictator lakini year anakanyanga pole pole, hana ukali na hasira za haraka, mambo yake ni behind the scenes ndio unaona he is still international respected.
Museveni vile vile. Ana kanyanga pole pole.
Shida ya Tz ni magufuli is pushing back on all the gains Tz has achieved in the last decade.
 
Wacha kelele. Sindano ya Magufuli inaingia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. EU is Tanzania’s biggest donor. Subiri wa-review funding to TZ. Mtapata tabu chini ya uongozi wa dictator

EU to review its financial support for Tanzania over human rights concerns | DW | 16.11.2018
You think we are surprised with EU..We just knew all that would happen. It's all because Tanzania refused to accept EPA...
Ask your self one question why EU is Tanzanias biggest donor?? Then get to know the fact. For me am in a mining sector. EU companies lead in owning mineral resource reserves in Tanzania. They are many EU companies doing exploration in Tanzania and the leading country from the EU is UK. You should undetstand that in real life there is no donation when someone sees he/she can gain nothing from you. In this real life there has never been a free lunch my friend. You will always have to pay for it.... All they are doing is to try and intimidate Tanzania and that's what we want since we will be able to gain all our resources back...they very well understand how we can change that within a second. My last question to you is why UK as the leading donor to Tanzania from the EU why have they not said anything?? Have you heard UK say anything about TZ?? Just refer to what I have just told you to understand why UK has not yet altered anything to do with stopping the donation towards Tanzania. UK no longer wants to be part of EU just adding you another interesting part.
 
Hapa napinga Kidogo. Shida ya Tz ni namna wanavyofanya mambo. Kusema ukweli wakati wa Kikwete Tz ilikuwa ime imarika sana, Hali ya sasa, in two years magufuli amekuwa restrictive sana, ndio unaona hawa international regulators pushing back. Freedom of rights na other things have detoriarated rapidly. Kule Uarabuni, sheria zao ni kutoka zamani, Yaani wako consistent hakuna jambo jipya.
Hata Kagame ni dictator lakini year anakanyanga pole pole, hana ukali na hasira za haraka, mambo yake ni behind the scenes ndio unaona he is still international respected.
Museveni vile vile. Ana kanyanga pole pole.
Shida ya Tz ni magufuli is pushing back on all the gains Tz has achieved in the last decade.
Who was better during the ruling of Kikwete?? Hacheni unafiki. Kila mtu alikuwa akiimba mabadiliko, mabadiliko. Leo amekuja raisi aliyeleta mabadiliko mnalalama. Who are you fooling?? Museveni hakuwahi kukataa mashoga?? Should we show you the evidence??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Propaganda nyingi na facts huzijui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Rwanda unayoiongelea nenda leo hii na mnyarwanda aseme anataka kugombea uraisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

This is Museveni on Gays and LesbiansπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Huu uchafu utabaki huko Kenya
IMG_20181116_200900.jpg
 
Hapa napinga Kidogo. Shida ya Tz ni namna wanavyofanya mambo. Kusema ukweli wakati wa Kikwete Tz ilikuwa ime imarika sana, Hali ya sasa, in two years magufuli amekuwa restrictive sana, ndio unaona hawa international regulators pushing back. Freedom of rights na other things have detoriarated rapidly. Kule Uarabuni, sheria zao ni kutoka zamani, Yaani wako consistent hakuna jambo jipya.
Hata Kagame ni dictator lakini year anakanyanga pole pole, hana ukali na hasira za haraka, mambo yake ni behind the scenes ndio unaona he is still international respected.
Museveni vile vile. Ana kanyanga pole pole.
Shida ya Tz ni magufuli is pushing back on all the gains Tz has achieved in the last decade.
Museveni on Gays rightsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mwinyi as the president he has agreed that Magufuli has done things which them as the president they failed to do for years but he has managed in a shortest period of time. Can you even manage your family??
Pitia hii clip kujua walicho ongea maraisi wastaafu juu ya Miaka 3 ya raisi MagufuliπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hapa napinga Kidogo. Shida ya Tz ni namna wanavyofanya mambo. Kusema ukweli wakati wa Kikwete Tz ilikuwa ime imarika sana, Hali ya sasa, in two years magufuli amekuwa restrictive sana, ndio unaona hawa international regulators pushing back. Freedom of rights na other things have detoriarated rapidly. Kule Uarabuni, sheria zao ni kutoka zamani, Yaani wako consistent hakuna jambo jipya.
Hata Kagame ni dictator lakini year anakanyanga pole pole, hana ukali na hasira za haraka, mambo yake ni behind the scenes ndio unaona he is still international respected.
Museveni vile vile. Ana kanyanga pole pole.
Shida ya Tz ni magufuli is pushing back on all the gains Tz has achieved in the last decade.

Ukiweka pembeni hayo ya Magufuli au hata Kikwete, ukweli ni kwamba Waafrika tumekaliwa vibaya sana, yaani utumwa tu. Haya ya kuruhusu au kutoruhusu uchoga hayafai kushinikizwa kwa kutumia misaada na mikopo, yaani umaskini ni laana mbaya sana hadi nachukia.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Museveni on Gays rightsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Hapa hoja si ligality of gay rights. Hata Kenya it’s illegal na uhuru has publicity defended the same on CNN as well as infront of Obama.
Swala nyeti hapa ni human rights and freedom of press, kidnapping, abductions, freedom expressions, speech, opposition etc.

https://www.dailymaverick.co.za/article/2018-11-13-my-nasty-encounter-with-tanzanian-repression/

1043CF59-BD70-4E2B-AA23-3813BC659425.jpeg
 
Siyo kweli usemayo. Jamaa wanataka tukubali mashoga kufanya shughuli zao za kishoga kwa kivuli cha haki za binaadamu
 
Hapa hoja si ligality of gay rights. Hata Kenya it’s illegal na uhuru has publicity defended the same on CNN as well as infront of Obama.
Swala nyeti hapa ni human rights and freedom of press, kidnapping, abductions, freedom expressions, speech, opposition etc.

https://www.dailymaverick.co.za/article/2018-11-13-my-nasty-encounter-with-tanzanian-repression/

View attachment 936870
Do you know America leads in execution(death penalt) in the world but no one says anything bad about them. Most international journalists are spies. They have lead many other countries into wars. Aljezillar is responsible for the war in Libya and Syria if you never knew that.
Those journalists did not come to TZ for good reasons. Ukija kwa nia hovu lazima tukufyeke.. Hatutaki ujinga. Genocide in Rwanda was due to the media.
 
China sisi niswala lakugusa alafu wanacheuwa.. China sisi hutupatia grants.. China na Tanzania huwezi kuitenga kamwe. Huwa tunawasimamia sana huko UN. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Latest from China. Endeleeni kupeleka vikapu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
nilijaribu kufatilia urafiki wa china na tanzania nikagundua tz imewai kuisaidia sana china huko nyuma now china ni kama analipa fadhira kwa tanzania pia nikagundua kama china ataitenga tanzania basi wachina watapata hasara kiasi flan point to note tanzania ni eneo la kimbinu kwa ushirikiano wa china na nchi za africa
 
Sio kwamba tunashindwa kukopa China. Na rafiki wa kweli TZ ni China na Russia kama socialist countries. Msikilize Magufuli leo kuhusu world bank...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
hahaha tanzania sio socialist coutry aliwageuka wenzie sababu ya umaskin wake akajiita NAM lkn alikuwa anafata falsafa za kijamaa zaid
 
Watu wanavyochekelea urafiki Wa Tz na China ni kama China anatoa tu mapesa yake bure kwa Tz. Lugha kuu ya upepari ni kupata faida kubwa. Hakuna taifa la kibepari linalomuwazia mwenzie mema kwa kiasi kikubwa bila kuwaza lenyewe litapataje faida kubwa toka kwa hilo taifa. Na faida kubwa hupatikana kwa kuchanganya dili halali na za kinyonyanyi. Ktk nyanja ya uchumi mchina ni mchanganyiko Wa ubepari zaidi na ujamaa kidogo. Ni hivyo pia kwetu tupo ktk uchumi mchanganyiko yaani ujamaa na ubepari

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
MK254

Ahaaa haaa haaa
dawa siyo kukumbatia waChina, dawa ni full continental economic autonomous. pale bara letu litakapoacha kutembeza bakuli ndiyo itakuwa mwisho wa SISI KUAMBIWA NA WENGINE WHAT TO DO AND WHAT NOT TO DO.
TUTAJIAMULIA KUFANYA CHOCHOTE BILA KUINGILIWA.
 
Nilisha sema Tanzania kamwe haitoweza kutengwa zaidi yakutengwa weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Hatutaki ujingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom