Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Watanzania unafik tuu ila wanaukabila nyoyoni kupita kiasi! Mbona wanafiki hivi?MK254 Wewe mjaluo ukiachaga pombe za kienyeji za chang'aa huwa una akili Sana.
Maandishi murua umeandika haya.
Tumuombee na Ben Saa nane asiuawe huko aliko baada ya kupotea siku chache baada ya kuanzisha mjadala wa kuhoji PHD ya JPM!!Kuna taarifa kwamba mwanzilishi wa Jamii Forums ambaye ni mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, kampuni inayomiliki mtandao wetu huu maarufu wa Jamii Forums, Maxence Melo, amekamatwa na kushtakiwa kwa kugoma kutoa majina ya watumiaji wa huu mfumo. Nafikiri sheria ya Tanzania ilibadilishwa kwamba kila mtandao wa kijamii unahitajika kutoa majina na taarifa za watumiaji wake.
Hapa ni kwa sisi Wakenya wanachama wa JF, na hata Wabongo tunaokutana nao kila siku kwenye Kenyan section ya JF kuomba busara kutumika ili mambo yafanyike bila kufikia hatua au maamuzi ya huu mtandao kupigwa chini, maana kwa sasa upo maarufu Afrika Mashariki, sote tunakutana humu, tuna wachangiaji kutokea Rwanda, Kenya na hata Nigeria. Kwa kifupi tumekua jamii moja, ukiweka pembeni utani wa kutambiana.
Lakini pia tunafaa kuheshimu dola na mamlaka zetu, anyway kweli tumwombee Max.
NEWS ALERT: mwanzilishi wa Jamii Forums Maxence melo ashikilwa na jeshi la polisi, kupanda kizimbani leo | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 hivi na ushee hapa bongo..utamfanyia nani sasa huo ukabila? Ukabila huko active zaidi kama kuna makabila makubwa mawili au matatu ndani ya nchi na hayana any instrument of unification kama vile wabongo tunavyokuwa unified na lugha adhimu ya kiswahili.Watanzania unafik tuu ila wanaukabila nyoyoni kupita kiasi! Mbona wanafiki hivi?
Tatizo jamii forum inaangaliwa kwenye makosa tu hawaoni faida zake ,mfano ishu ya yule Binti wa Raila Odinga aliyesema Oldupai Gorge ipo Kenya kwa umoja wetu tulipinga upotoshaji ule wa wazi
Au ishu ya Museveni kutaka kutumia bandari yetu ya Tanga ,ninyi Wakenya mkafanya lobbying zenu na propaganda kibao mpaka kumuingiza sijui kiongozi gani kwenye Chopa ambaye hakuwepo kwenye manifest kutembelea bandari ya Tanga ila kwa umoja wetu tulitetea hilo na maafisa uhamiaji walimzuia
Ukiacha na mitambo ya hapa na pale sisi na Wakenya ni ndugu
Wakifunga forum hii sijui ni nini kitatuleta pamoja
JF haiwezi kufungwa, domain yake imesajiliwa USA
Na ilihusika kikamilifu.
Huu mtandao hauwezi kupigwa chini, sema ameshikiliwa kwa muda baada ya hatua za awali kushindikana. Hakuna wasiwasi, sababu serikali ipo katika kutimiza majukumu yake ya kila siku.
Naamini yuko salama na kuna baadhi ya mambo wanayaweka sawa.
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 hivi na ushee hapa bongo..utamfanyia nani sasa huo ukabila? Ukabila huko active zaidi kama kuna makabila makubwa mawili au matatu ndani ya nchi na hayana any instrument of unification kama vile wabongo tunavyokuwa unified na lugha adhimu ya kiswahili.
Bongo nikikuuliza kabila ujue nataka tutaniane which in turn inakusaidia unaetaniwa kujishape upya na kuacha mabaya uliyonayo na hakuna kuchukia...ukichukia na kurusha ngumi nakusue mahakamani.
Kenya mkiulizana makabila basi ujue mnataka kubaguana na kuibua chuki.
Mungu awasaidie sana Kenya, maana tunawapenda sana our distant relatives ila mjue hates is the poison love is the remedy.
Sio kwamba we are perfect, no we embrace our similarities and tolerance our differences.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]MK254 Wewe mjaluo ukiachaga pombe za kienyeji za chang'aa huwa una akili Sana.
Maandishi murua umeandika haya.
Wewe Una akili sana naUbaguzi wa kikabila chanzo chake sio lugha, hili nimelisema mara nyingi. Somalia kule wanaongea lugha moja, dini moja lakini wanauana na kubaguana kwa misingi ya kiukoo.
Kenya, kuna sababu chache zilizotuponza hapo awali ndio vikasababisha ukabila, japo tunajaribu sana kupunguza.
- Muingereza alizoea kuwagawa mababu zetu kwa misingi ya kikabila hata kabla ya uhuru, yaani divide and rule. Hivyo wakati anatuachia nchi, alikua tayari keshaachia sumu na mbegu ya ukabila imezagaa. Lakini Tanzania mambo yalikua tofauti, kwanza Muingereza aliwatawala akijua ataachia hivyo hakua na sababu za kung'ang'ania nchi yenu na akawaacha muishi bila vita au ugomvi wowote baina yenu.
- Pili, Muingereza wakati anaachia Kenya, alikabidhi uongozi kwa mtu wa kutokea kwa kabila kubwa, kabila langu la Wakikuyu. Hilo lilichangia pia, maana kwenu kaachia kwa mtu wa kabila ndogo sana, Mzanaki. Lakini angeachia uongozi kwa mtu wa kabila kubwa mfano Wachagga, mungekoma.
Zaidi nataka kusema, ubaguzi ni asili ya binadamu, huwa lazima tubaguane kwa njia moja au nyingine. Kwa mfano hapo Bongo mnabaguana sana kwa misingi ya kidini, hilo nimeona hata video za masheikh wa kiislamu wakilalamika balaa.
Ubaguzi mwengine ambao upo duniani kote ni wa baina ya matajiri na maskini, walio nacho na wasiokua nacho. Huo upo Bongo, Kenya na hata Marekani.
Najua utawamiss sana Geza Ulole na bagamoyo.Masunga Maziku
Jacob Juma kama ni yule namfahamu, huyo tayari ni maiti na keshazikwa hivyo maombi yetu kwake hayatakua na umuhimu.
Huyo aliuawa kinyama jameni, kumekua na tetesi system ya serikali ilihusika.
Anyway hii mada inamhusu mumiliki wa huu mtandao wetu wa JF maana kama vipi ukipigwa chini basi hatutakua hata na fursa ya kuagana.
Sipati picha jamii ya watu 300,000 sote tukipoteana ghafla. Tumuweke kwenye maombi.
Mimi na mtazamo tofauti kidogo na wewe, tukianzia kwa wasomali, wasomali wanachinjana kwasababu ya tamaa ya pesa. Wasomali wengi wanapenda pesa kuliko kitu kingine chichote, hakuna wa kumuachia mwingine na yeye ale. Kwa wao kabila moja, lugha moja na dini moja havija saidia kudumisha umoja wao, tamaa ya mali na pesa ndio inawatafuna Wasomalia. Naamini vita itaendelea hadi pale kizazi kilicho jaa ubinafsi na kupenda mali kita kufa na kupote. Somalia needs new breed of youth who are less selfish and more progressive.Ubaguzi wa kikabila chanzo chake sio lugha, hili nimelisema mara nyingi. Somalia kule wanaongea lugha moja, dini moja lakini wanauana na kubaguana kwa misingi ya kiukoo.
Kenya, kuna sababu chache zilizotuponza hapo awali ndio vikasababisha ukabila, japo tunajaribu sana kupunguza.
- Muingereza alizoea kuwagawa mababu zetu kwa misingi ya kikabila hata kabla ya uhuru, yaani divide and rule. Hivyo wakati anatuachia nchi, alikua tayari keshaachia sumu na mbegu ya ukabila imezagaa. Lakini Tanzania mambo yalikua tofauti, kwanza Muingereza aliwatawala akijua ataachia hivyo hakua na sababu za kung'ang'ania nchi yenu na akawaacha muishi bila vita au ugomvi wowote baina yenu.
- Pili, Muingereza wakati anaachia Kenya, alikabidhi uongozi kwa mtu wa kutokea kwa kabila kubwa, kabila langu la Wakikuyu. Hilo lilichangia pia, maana kwenu kaachia kwa mtu wa kabila ndogo sana, Mzanaki. Lakini angeachia uongozi kwa mtu wa kabila kubwa mfano Wachagga, mungekoma.
Zaidi nataka kusema, ubaguzi ni asili ya binadamu, huwa lazima tubaguane kwa njia moja au nyingine. Kwa mfano hapo Bongo mnabaguana sana kwa misingi ya kidini, hilo nimeona hata video za masheikh wa kiislamu wakilalamika balaa.
Ubaguzi mwengine ambao upo duniani kote ni wa baina ya matajiri na maskini, walio nacho na wasiokua nacho. Huo upo Bongo, Kenya na hata Marekani.
Tunashukuru sana kwa kutambua mchango wa JF katika kukuza tasnia ya habari na uhuru wa kutoa maoni kwa watu wote hasa waswahili duniani kote
Mkuu MK254 nikuombe sasa kuanzia muda mfupi ujao pia uanze kutupatia habari kuhusu uelekeo wa siasa za Kenya na elections for 2017.
Mimi na mtazamo tofauti kidogo na wewe....
Hivi mzungu hapa Afrika alitawala kenya tuu? Miaka zaidi ya hamsini haitoshi kuondoa ukabila kenya?, na taifa lina watu wenye elimu nzuri ambao wanaelewa faida ya kuachana na vitu vidogo vidogo kama ukabila. Yani hata Uganda, nchi iliyo jaa mambo ya ukoo (clan) na ngome (kingdoms), wanaweza kuweka chini tofauti zao na kujenga umoja. Kwa wale wakenya ambao hajawahi kuja Tanzania, watu wa kawaida huku Tanzania ambao hawajawahi kuja Kenya wanashangaa kwamba what is all that fuss na ukabila wa kenya, can't they get along and forgive each other? Rwandan wamechabuana kama karanga mpaka basi, kila mtu akasema sasa wamekwisha, leo hii wanajitahidi kujaribu kusahau mabaya yaliyo tokea, na hiyo ni miaka ishirini tuu iliyopita. Kenya mkubali, hamjapata kiongozi wa kuwaambia ukweli, mtu wa kuwaambia sasa basi, lets first build a ONE NATION and then ONE COUNTRY.We nae punguza ubishi na uwe unaelewa bas, what he says here:
" Muingereza alizoea kuwagawa mababu zetu kwa misingi ya kikabila hata kabla ya uhuru, yaani divide and rule. Hivyo wakati anatuachia nchi, alikua tayari keshaachia sumu na mbegu ya ukabila imezagaa. Lakini Tanzania mambo yalikua tofauti, kwanza Muingereza aliwatawala akijua ataachia hivyo hakua na sababu za kung'ang'ania nchi yenu."
Afu ulivyo mbishi you couldn't overlook past wachaga kuwa kabila kubwa Tz.