Wakenya tunajifunza nini kutokana na taarifa kwamba mafisadi wamechota 1.5 trillions Tanzania


Hizo takataka umezitoa wapi kama hawa walipewa siku 21 wameshindwa kuzichomeka?
 

Attachments

kwenye bajeti hayo matumizi si yaliainishwa??
 
auntie, embu tujuze kidogo...matumizi haya yaliidhinishwa?

kwa mfano mumeo akikuachia ela ya chakula afu wewe ukaenda instead kuhonga ki benten chako kwa "maslahi ya mwili wako", huyo mumeo utamwambia nini asipokuta chakula mezani?
 
Pesa imetumika katika matumizi mengine ya serikali. Pili kwani Chato sio Tanzania.?? Hivi utaweza mtibu jirani yako kabla ujajitibu wewe ??
je kuna ulazima kujenga uwanja ule Chato? hasa wa hadhi ile??.......

akitokea raisi ambae kwao ni huku kamsamba kwetu, akajenga uwanja wa ndege wa kimataifa atakua kafanya sahihi???
.....

hebu acheni kutetea hata upuuzi
 
mimi huwa najiuliza hao wateteaji wanafaidika na nni???.......

yan waafrika kama tumelogwa flani hivi
 
Wewe mkeenyer tutawatuma wa c o joulea kerna waje wakuteke halafu tukufunge kwa gunia tukutupe rouvou. Unatutukana namna hiyo. Ngoja niweke mafouter kwa my black noah nakuja just nownow
 
Nadhani wewe u mjinga sana,
 
Huo ujenzi Dodoma haukuwemo kwenye Bajeti?
Hizo Ndege kwa nn ananunua bila utaratibu wa bunge? Ela inafata utaratibu tena pesa ya Wananchi Anatumia anavyotaka ..Mbona ameshindwa kutoa ripot kwa CAG? Huo uwanja wa Chato angepeleka mapendekezo Bungeni yawekwe kwenye Bajeti angepungukiwa nini?

Acheni uzuzu anavunja Sheria kutumia PESA kama za kijana wake.
 
Kupitishwa kwa matumizi kwa bunge ni muhimu lakini matumizi yasio pitia bunge hayafai kusingiziwa kwamba ni ufisadi.
Tanzania ipo ligi moja na china/rwanda katika uwazi wa matumizi ya bajeti..Kumbuka hizi nchi mbili zipo katika top ten ya nchi ambazo ufisadi upo chini zaidi. Kuna mambo mengi na tofauti ambayo hufanya serikali isipitishe matumizi kwa bunge moja wapo ikiwa ni National security na ingine ikiwa ni matumizi kwa shirika la serikali ambalo linakumbwa na ushidani mkubwa kwenye soko la kimataifa na nimuhimu washindani wasijue strategy ya serikali.
Open Budget Index Rankings | Open Budget Survey | IBP
 
Umeongea point. CAG hajasema pesa zimeibiwa. Kasema itakuwa zimetumika katika matumizi mengine ya serikali.
 
Tunajenga nchi kwa speed ya 4G. Hadi bunge lijekuizinisha China wanakuwa mbali sana.
 
Tunajenga nchi kwa speed ya 4G. Hadi bunge lijekuizinisha China wanakuwa mbali sana.
Hamuoni umuhimu wa Bunge ili mfanye wizi kama Huu.. Jiwe ni kuropoka tu km Ela niza Mama yake
 
CAG. Zilitumika katika matumizi mengine ya serikali
kwa ufisadi Tanzania inaongoza Africa 100%. mimi pia nimezaliwa Tanzania najua viongoz wa kule Tanzania ni mafisadi kweli kweli sawa na brazil hakuna tofaut kwa ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…