Wakenya tunajifunza nini kutokana na taarifa kwamba mafisadi wamechota 1.5 trillions Tanzania

Hakuna fisadi aliyechota 1.5 trillion. Kwenye report ya CAG hakuainisha:
1. Manunuzi ya ndege
2.Ujenzi wa majengo ya serikali unaoendelea Dodoma.
3. Ununuzi wa Rada
4. Ujenzi wa majengo ya Magereza na Magomeni Kota
5. Ununuzi wa vichwa vipya vya treni.
Nipesa ambayo haikuanishwa kwenye report ya CAG lakini îmetumika kwa masilai ya nchi.
CAG amesema pesa ilitumika katika maeneo mengine ya serikali.
Wapinzani wanatafuta pakushika.

Hizo takataka umezitoa wapi kama hawa walipewa siku 21 wameshindwa kuzichomeka?
 
Attachments

Hakuna fisadi aliyechota 1.5 trillion. Kwenye report ya CAG hakuainisha:
1. Manunuzi ya ndege
2.Ujenzi wa majengo ya serikali unaoendelea Dodoma.
3. Ununuzi wa Rada
4. Ujenzi wa majengo ya Magereza na Magomeni Kota
5. Ununuzi wa vichwa vipya vya treni.
Nipesa ambayo haikuanishwa kwenye report ya CAG lakini îmetumika kwa masilai ya nchi.
CAG amesema pesa ilitumika katika maeneo mengine ya serikali.
Wapinzani wanatafuta pakushika.

kwenye bajeti hayo matumizi si yaliainishwa??
 
Hakuna fisadi aliyechota 1.5 trillion. Kwenye report ya CAG hakuainisha:
1. Manunuzi ya ndege
2.Ujenzi wa majengo ya serikali unaoendelea Dodoma.
3. Ununuzi wa Rada
4. Ujenzi wa majengo ya Magereza na Magomeni Kota
5. Ununuzi wa vichwa vipya vya treni.
Nipesa ambayo haikuanishwa kwenye report ya CAG lakini îmetumika kwa masilai ya nchi.
CAG amesema pesa ilitumika katika maeneo mengine ya serikali.
Wapinzani wanatafuta pakushika.

auntie, embu tujuze kidogo...matumizi haya yaliidhinishwa?

kwa mfano mumeo akikuachia ela ya chakula afu wewe ukaenda instead kuhonga ki benten chako kwa "maslahi ya mwili wako", huyo mumeo utamwambia nini asipokuta chakula mezani?
 
Pesa imetumika katika matumizi mengine ya serikali. Pili kwani Chato sio Tanzania.?? Hivi utaweza mtibu jirani yako kabla ujajitibu wewe ??

je kuna ulazima kujenga uwanja ule Chato? hasa wa hadhi ile??.......

akitokea raisi ambae kwao ni huku kamsamba kwetu, akajenga uwanja wa ndege wa kimataifa atakua kafanya sahihi???
.....

hebu acheni kutetea hata upuuzi
 
Lakini hili sitowatetea hata Wakenya wenzangu, lipo tu hata kwetu, mtu anatajwa kwenye ufisadi halafu mijitu inajitokeza na kumtetea kwa nguvu nyingi sana, tena kwa povu. Ni aibu ya Kiafrika na laana ya kiaina, nadiriki kukiri lipo kwetu pia, ukithubutu kumfuta mtu kazi kwa tuhuma za ufisadi, atatetewa na wote kuanzia vijijini hadi mjini hadi hata na wasomi.
mimi huwa najiuliza hao wateteaji wanafaidika na nni???.......

yan waafrika kama tumelogwa flani hivi
 
Wewe mkeenyer tutawatuma wa c o joulea kerna waje wakuteke halafu tukufunge kwa gunia tukutupe rouvou. Unatutukana namna hiyo. Ngoja niweke mafouter kwa my black noah nakuja just nownow
 
Hakuna fisadi aliyechota 1.5 trillion. Kwenye report ya CAG hakuainisha:
1. Manunuzi ya ndege
2.Ujenzi wa majengo ya serikali unaoendelea Dodoma.
3. Ununuzi wa Rada
4. Ujenzi wa majengo ya Magereza na Magomeni Kota
5. Ununuzi wa vichwa vipya vya treni.
Nipesa ambayo haikuanishwa kwenye report ya CAG lakini îmetumika kwa masilai ya nchi.
CAG amesema pesa ilitumika katika maeneo mengine ya serikali.
Wapinzani wanatafuta pakushika.

Nadhani wewe u mjinga sana,
 
Huo ujenzi Dodoma haukuwemo kwenye Bajeti?
Hizo Ndege kwa nn ananunua bila utaratibu wa bunge? Ela inafata utaratibu tena pesa ya Wananchi Anatumia anavyotaka ..Mbona ameshindwa kutoa ripot kwa CAG? Huo uwanja wa Chato angepeleka mapendekezo Bungeni yawekwe kwenye Bajeti angepungukiwa nini?

Acheni uzuzu anavunja Sheria kutumia PESA kama za kijana wake.
Pimbi kweli wewe. Kuna Bombardier Q 400 =3. Kuna bombardier CS 300 = 2. Kuna Boeing 787-8 Dreamliner =1. Ujenzi wa majengo wa magereza. Ujenzi wa majengo ya Magomeni kota. Chato uwanja wa ndege. Ujenzi wa ofisi ya waziri mkuu. Ujenzi ikulu ya raisi. Ununuzi wa rada 60.% serikali kuu. Dodoma kuna majengo ya wizara mbali mbali bado unaendelea
 
Kupitishwa kwa matumizi kwa bunge ni muhimu lakini matumizi yasio pitia bunge hayafai kusingiziwa kwamba ni ufisadi.
Tanzania ipo ligi moja na china/rwanda katika uwazi wa matumizi ya bajeti..Kumbuka hizi nchi mbili zipo katika top ten ya nchi ambazo ufisadi upo chini zaidi. Kuna mambo mengi na tofauti ambayo hufanya serikali isipitishe matumizi kwa bunge moja wapo ikiwa ni National security na ingine ikiwa ni matumizi kwa shirika la serikali ambalo linakumbwa na ushidani mkubwa kwenye soko la kimataifa na nimuhimu washindani wasijue strategy ya serikali.
Open Budget Index Rankings | Open Budget Survey | IBP
 
Umeongea point. CAG hajasema pesa zimeibiwa. Kasema itakuwa zimetumika katika matumizi mengine ya serikali.
 
Huo ujenzi Dodoma haukuwemo kwenye Bajeti?
Hizo Ndege kwa nn ananunua bila utaratibu wa bunge? Ela inafata utaratibu tena pesa ya Wananchi Anatumia anavyotaka ..Mbona ameshindwa kutoa ripot kwa CAG? Huo uwanja wa Chato angepeleka mapendekezo Bungeni yawekwe kwenye Bajeti angepungukiwa nini?

Acheni uzuzu anavunja Sheria kutumia PESA kama za kijana wake.
Tunajenga nchi kwa speed ya 4G. Hadi bunge lijekuizinisha China wanakuwa mbali sana.
 
Hamuoni umuhimu wa Bunge ili mfanye wizi kama Huu.. Jiwe ni kuropoka tu km Ela niza Mama yake
 
CAG. Zilitumika katika matumizi mengine ya serikali

kwa ufisadi Tanzania inaongoza Africa 100%. mimi pia nimezaliwa Tanzania najua viongoz wa kule Tanzania ni mafisadi kweli kweli sawa na brazil hakuna tofaut kwa ufisadi
 
Back
Top Bottom