MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kuna hii video iko YouTube inaonyesha hali ya majirani zetu imekua mwendo wa kuondoa maiti kwenye manyumba, jameni naomba serikali yetu isitufikishe huku, pima pima pima, fuata kila mtu mtaani, hata kwa virungu ikitokea kuna mbishi yeyote, nimeogopa sana.