Wakenya tuongeze kasi ya kupima yasije kutokea kama haya majirani ambapo wanatupi video za kutisha jameni

Wakenya tuongeze kasi ya kupima yasije kutokea kama haya majirani ambapo wanatupi video za kutisha jameni

View attachment 1418867

Kuna tu rumours huku kwa mitandao

2368381_1586873378980.png
 
Ndio najiuliza the same kuwahusu, thread huku mmejaza kama kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
At least sisi tunafanya hapa jukwaani sababu ya leagues zetu humu jukwaani

Ninyi ni kila mahali huko tweeter, Facebook, YouTube utakuta wakenya wengi wameacha yao wanadeal na ya Tanzania, wakati ukiondoa hapa jukwaani JF Hakuna mtanzania mwenye time na Kenya at all.
 
Huyo huwaga sio mzima, wana wagonjwa mia ngapi sijui, vifo mob afu eti anaomba serikali yao isiwafikishe wapi sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Nimemuuliza hapo naona hajibu, ana matatatizo sana, Kenya imemegwa na Corona back and forth like a sandwich lakini nyani haoni kundule
 
Unadhani kupima ndio dawa ya Corona?
Kuna hii video iko YouTube inaonyesha hali ya majirani zetu imekua mwendo wa kuondoa maiti kwenye manyumba, jameni naomba serikali yetu isitufikishe huku, pima pima pima, fuata kila mtu mtaani, hata kwa virungu ikitokea kuna mbishi yeyote, nimeogopa sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom