Wakenya tuongeze kasi ya kupima yasije kutokea kama haya majirani ambapo wanatupi video za kutisha jameni

Wakenya tuongeze kasi ya kupima yasije kutokea kama haya majirani ambapo wanatupi video za kutisha jameni

Kuna hii video iko YouTube inaonyesha hali ya majirani zetu imekua mwendo wa kuondoa maiti kwenye manyumba, jameni naomba serikali yetu isitufikishe huku, pima pima pima, fuata kila mtu mtaani, hata kwa virungu ikitokea kuna mbishi yeyote, nimeogopa sana.

Mtizamo mufu huo.

Huku Tz wananchi ni kazitu, kwa sababu uelewa wa kufuata na kuzingatia masharti ya kinga dhidi ya maambukizi, ni mkubwa kuliko. Matukio ya vifo vya ajali na magonjwa mengine ni vingi kuliko ya korona.

Ninyi endeleeni kujifungia ndani la mtakong'otwa bakola na polisi.
 
pauline.PNG

Kuna tu rumours huku kwa mitandao
 
Obviously inaweza kuwa ni Tanzania hapa ndo tuna huu ujinga wa kujikusanya mahali pamoja wengi kushangaa matukio ya hatari,ndo mwaka mmoja early 2000s wakati ule matukio ya wizi yamejaa kwenye jiji la Dar kukatokea sehemu majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi katikati ya mji cha ajabu watu wamejikusanya huku na huku wanaangalia.

Kwa mtu anayejua show ya hiki kitu kinaitwa Corona hawezi sogea hapo,na hivi wabongo hatuna kawaida ya kupima afya zetu basi mtihani kweli kweli.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Na ukimuangalia vizuri huyo polisi ni kama sale za polisi wa hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio video huko mwisho on the road you will see their 2 daladalas passing
 
Kuna hii video iko YouTube inaonyesha hali ya majirani zetu imekua mwendo wa kuondoa maiti kwenye manyumba, jameni naomba serikali yetu isitufikishe huku, pima pima pima, fuata kila mtu mtaani, hata kwa virungu ikitokea kuna mbishi yeyote, nimeogopa sana.

Vipi yule mkenya mliyekuja mkaacha na kumkimbia huku TZ eti kwa sababu ana corona mnakuja kumchukua lini?
 
Vipi yule mkenya mliyekuja mkaacha na kumkimbia huku TZ eti kwa sababu ana corona mnakuja kumchukua lini?
Mpelekeni akapate kikombe cha babu. Labda ndicho alikua anafuata, atakua mpumbavu sana huyo, aonyeshwe video ya kwenye huu uzi aone hali ya huko anakokimbilia.
 
Mpelekeni akapate kikombe cha babu. Labda ndicho alikua anafuata, atakua mpumbavu sana huyo, aonyeshwe video ya kwenye huu uzi aone hali ya huko anakokimbilia.
Yaani hutaki arudi kwenu ndugu yenu?
 
Back
Top Bottom