hapo sio bongo bwaasheeeKuna hii video iko YouTube inaonyesha hali ya majirani zetu imekua mwendo wa kuondoa maiti kwenye manyumba, jameni naomba serikali yetu isitufikishe huku, pima pima pima, fuata kila mtu mtaani, hata kwa virungu ikitokea kuna mbishi yeyote, nimeogopa sana.
sauti inaweza kuingiziwa na watu wahuni kama yule kigogo2014Inawezekana kweli sio Bongo, japo kwenye audio ukiskliza kuna mtu ainaita "brazaee", kiswahili cha mtaani.
Anyway naomba isiwe nchi yoyote jirani, iwe mbali sana maana itatuhusu pia.
Baadhi ya binadamu wabishi hadi siku anapumulia ventilator ndio anaamini covid19 is real.Upumbavu tu
Leo ndio mara ya kwanza mtu kufia nyumbani duniani?
Au sababu ya hizo protective gears? Ni tahadhari na huenda kafa kwa pressure.
Upumbavu tu
Leo ndio mara ya kwanza mtu kufia nyumbani duniani?
Au sababu ya hizo protective gears? Ni tahadhari na huenda kafa kwa pressure.
Whatever, kwani Tanzania ndio nchi ya kwanza mgonjwa wa Corona kufa?Baadhi ya binadamu wabishi hadi siku anapumulia ventilator ndio anaamini covid19 is real.
Serikali yenu imeshaua wagonjwa zaidi ya 10 wa Corona na wengine zaidi ya 10 kwenye matukio ya kipigo cha police na stampede chini ya uangalizi wa serikali yenuWewe unafyatuka fyatuka nini haswa, inabidi nikupuuze tu, kuna siku ulifyatuka hivi hivi iliposemekana kuna waziri kajificha kwenye hospitali ya kawaida huku akiumwa Corona, ukatokwa povu sana humu ukikanusha, watu walipopiga kelele sana ndio waziri akaondoshwa kwa kasi na kupelekwa karantini.
Leo pia umeibuka huku ukifyatuka kama kawaida.
Inawezekana kweli sio Bongo, japo kwenye audio ukiskliza kuna mtu ainaita "brazaee", kiswahili cha mtaani.
Anyway naomba isiwe nchi yoyote jirani, iwe mbali sana maana itatuhusu pia.
Obviously inaweza kuwa ni Tanzania hapa ndo tuna huu ujinga wa kujikusanya mahali pamoja wengi kushangaa matukio ya hatari,ndo mwaka mmoja early 2000s wakati ule matukio ya wizi yamejaa kwenye jiji la Dar kukatokea sehemu majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi katikati ya mji cha ajabu watu wamejikusanya huku na huku wanaangalia.hapo sio bongo bwaasheee
Mkuu hii ni bongo.Kuna mtu kasema nkurumah karibu na clock tower.Angalia plate number za magar ni ya Tz kabisa.Inatisha kwa kweliInawezekana kweli sio Bongo, japo kwenye audio ukiskliza kuna mtu ainaita "brazaee", kiswahili cha mtaani.
Anyway naomba isiwe nchi yoyote jirani, iwe mbali sana maana itatuhusu pia.
Kuna hii video iko YouTube inaonyesha hali ya majirani zetu imekua mwendo wa kuondoa maiti kwenye manyumba, jameni naomba serikali yetu isitufikishe huku, pima pima pima, fuata kila mtu mtaani, hata kwa virungu ikitokea kuna mbishi yeyote, nimeogopa sana.
Ukikasirika zaidi kamuite mwenzako joto la jiwe mkalilie huko pembeni.Whatever, kwani Tanzania ndio nchi ya kwanza mgonjwa wa Corona kufa?
ππππ Kerere ni nini?Unatamba na kupima utadhan vifaa mumenunua kumbe vya msaada ngoja viishe hivyo ndo tutaona kerere zako
Sent using Jamii Forums mobile app