Wakenya tuongeze kasi ya kupima yasije kutokea kama haya majirani ambapo wanatupi video za kutisha jameni

Mtizamo mufu huo.

Huku Tz wananchi ni kazitu, kwa sababu uelewa wa kufuata na kuzingatia masharti ya kinga dhidi ya maambukizi, ni mkubwa kuliko. Matukio ya vifo vya ajali na magonjwa mengine ni vingi kuliko ya korona.

Ninyi endeleeni kujifungia ndani la mtakong'otwa bakola na polisi.
 
Na ukimuangalia vizuri huyo polisi ni kama sale za polisi wa hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio video huko mwisho on the road you will see their 2 daladalas passing
 
Vipi yule mkenya mliyekuja mkaacha na kumkimbia huku TZ eti kwa sababu ana corona mnakuja kumchukua lini?
 
Vipi yule mkenya mliyekuja mkaacha na kumkimbia huku TZ eti kwa sababu ana corona mnakuja kumchukua lini?
Mpelekeni akapate kikombe cha babu. Labda ndicho alikua anafuata, atakua mpumbavu sana huyo, aonyeshwe video ya kwenye huu uzi aone hali ya huko anakokimbilia.
 
Mpelekeni akapate kikombe cha babu. Labda ndicho alikua anafuata, atakua mpumbavu sana huyo, aonyeshwe video ya kwenye huu uzi aone hali ya huko anakokimbilia.
Yaani hutaki arudi kwenu ndugu yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…