pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #21
Vetting ni process na kikatiba nchini KenyaAcha kuongea vitu ambavyo huvielewi.
Eti usaili ndiyo vetting.
Bure kabisa wewe. Enda kule kaongee na wenzako kule gologocho.
huwa inajumuisha vitu kadhaa ikiwemo uhakiki usaili ndio huwa hatua ya mwisho kabla ya kuapisha. Alafu vipi jombaa, imekuwaje wewe unayejiita mwalimu ukashindwa kuhesabu kwamba 2010-2020 ni zaidi ya miaka mitatu? Siungetumia vidole au hata vijiti? [emoji1]
Katika yao hata miaka 3 haijaisha, hao mbio, wanaanza kuibadilisha. Maajabu ya Kenya, hayatawahi kuisha.