Wakenya tushukuru kwamba tuna katiba mpya(2010) ambayo ilileta 'checks & balances', kupitia vitu kama usaili ambavyo vinatuepushia aibu kama hizi

Wakenya tushukuru kwamba tuna katiba mpya(2010) ambayo ilileta 'checks & balances', kupitia vitu kama usaili ambavyo vinatuepushia aibu kama hizi

Acha kuongea vitu ambavyo huvielewi.
Eti usaili ndiyo vetting.
Bure kabisa wewe. Enda kule kaongee na wenzako kule gologocho.
Vetting ni process na kikatiba nchini Kenya
huwa inajumuisha vitu kadhaa ikiwemo uhakiki usaili ndio huwa hatua ya mwisho kabla ya kuapisha. Alafu vipi jombaa, imekuwaje wewe unayejiita mwalimu ukashindwa kuhesabu kwamba 2010-2020 ni zaidi ya miaka mitatu? Siungetumia vidole au hata vijiti? [emoji1]
Katika yao hata miaka 3 haijaisha, hao mbio, wanaanza kuibadilisha. Maajabu ya Kenya, hayatawahi kuisha.
 
Nilishangaa hii mada haijaanzishwa mpk leo humu...it's about time 😂
 
I thought English was the problem. Kumbe ata huko Bongo Kiswahili ni shida tupu!!!! 😳 😳 And here i am thinking my swahili is substandard 😡😡
Kwa akili yako unahisi hajui kusoma? Mtu mwenye masters of finance na DED wa Council kwa zaidi ya miaka mi5 ashindwe kusoma?
 
Vetting ni process na kikatiba nchini Kenya
huwa inajumuisha vitu kadhaa ikiwemo uhakiki usaili ndio huwa hatua ya mwisho kabla ya kuapisha. Alafu vipi jombaa, imekuwaje wewe unayejiita mwalimu ukashindwa kuhesabu kwamba 2010-2020 ni zaidi ya miaka mitatu? Siungetumia vidole au hata vijiti? [emoji1]
Hahahaha eti vetting 😂😂😂😂

Kwa hiyo kwenye katiba yenu ndipo palipovunbuliwa suala la vetting ulimwenguni? Yaani issue ya vetting nayo ni kitu cha kuandika kwenye katiba? Mbona sasa katiba yenu itakuwa na utopolo mwingi mno kiasi kwamba litakua ni lijikitibu likubwa sana

Tanzania mambo ya vetting ni kanuni sio katiba na, katiba ipo wazi kwenye uteuzi wa mawaziri Rais hushauriwa na makamu wake, waziri mkuu, katibu kiongozi na maafisa wengine kabla ya uteuzi

Kwenye vetting ndio usiongee kabisa sababu bunge tu huwa linafanya hiyo shughuli kwa kila mbunge hata kabla ya kuapishwa, ninyi mna vetting au mnaangalia tu kabila? 😂😂😂

Zama kwenye wavuti wa bunge na wewe ujifanyie vetting 😅😅

Huyo mbunge ana elimu kumzidi Rais wenu
Screenshot_20201211-152233.png
 
Katiba ya 2010 ndio bado haijamaliza miaka 3? Mleta mada alikuwa sahihi aliposema kuwa education system yenu ni mbovu. Hata kuhesabu 1 mpaka 10 imekushinda.
[emoji1][emoji1][emoji1] Ulidhani nawasingizia? Ulitegemea mtu kama eliakeem aweze kuhesabu kutoka 1 hadi kumi? Wakati mbunge tena aliyeteuliwa kuwa naibu waziri anashindwa kukariri tu kiapo, achia mbali kusoma? 😁
 
Mataga nawahurumia sana, naona mlitagishwa mayai hadi mkawehuka. Eti kwamba hamna uhusiano wowote kati ya aibu hizi na ukosefu wa usaili wa walioteuliwa kabla ya kuapishwa au kukubaliwa kuanza kazi? Mnajua maana ya vetting(usaili) nyie? Usaili kama unaofanywa nchini Kenya huwa unazingatia mambo mengi kando na kiwango cha elimu. 'Confidence', 'leadership skills', 'communication skills', historia ya wateuliwa huwa vinazingatiwa. Hadi na vyeti vya walioteuliwa huwa vinafanyiwa 'authentification'.
Mbona ndio hao hao kila siku wsnapatikana na scandals za rushwa na matumizi mabovu ya pesa za serikali, kushindwa kusoma kiapo na kutumia mabilioni ya pesa za umma kipi ni tatizo?.

Ninyi wakenya ni wapuuzi sana, kisifia mambo ambayo hayana faida yoyote kwa nchi yenu, hiyo imewasaidia nini hao mawaziri wenu, Rotich na Ukur kila siku ni kuongeza mikopo, tajaza kuna waziri gani Kenya anayefikia japo 50% ya uchapa kazi wa Waziri yeyote Tanzania, anza na Wizara ya Fedha, Mambo ya ndani, Kilimo, Utalii na Ulinzi, tupime utendaji wao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahivyo amerogwa? [emoji1] Wabongo buana, mwenzako amesema ni anxiety disorder. Sijui kama ana diagnosis kutoka kwa daktari? Ndio point yangu hiyo, hayo masuala yote yangeanikwa wazi kabla ya kufikia hatua ya jamaa kuinua bibilia juu na kuleta aibu za ajabu ajabu. Ndio njia pekee ya kuzuia rais kuwateua watu kiholela holela, hata wale wasiofaa, kisa eti ni ma'yes men' au kwa sababu zake binafsi. Tumekubaliana kufikia hapo?
Wacha ujinga wewe, unajua ugonjwa wa anxiety disorder una yotokea, amehojiwa na kujibu kwamba alipofika mbele ya rais alipoteza total control ya kila kitu, sasa hiyo aibu inatoka wapi wakati ni ugonjwa kama "blood pressure", Kifafa na magonjwa mengine?, tatizo elimu yenu katika haya mambo ni ndogo sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Illetracy ya huyo mtu ndio sababu ya yeye kushindwa kusoma.
Master in Finance with four years experience as District Executive Director, many other experiences in politics[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha eti vetting Kwa hiyo kwenye katiba yenu ndipo palipovunbuliwa suala la vetting ulimwenguni? Yaani issue ya vetting nayo ni kitu cha kuandika kwenye katiba? Mbona sasa katiba yenu itakuwa na utopolo mwingi mno kiasi kwamba litakua ni lijikitibu likubwa sana Tanzania mambo ya vetting ni kanuni sio katiba na, katiba ipo wazi kwenye uteuzi wa mawaziri Rais hushauriwa na makamu wake, waziri mkuu, katibu kiongozi na maafisa wengine kabla ya uteuzi Kwenye vetting ndio usiongee kabisa sababu bunge tu huwa linafanya hiyo shughuli kwa kila mbunge hata kabla ya kuapishwa, ninyi mna vetting au mnaangalia tu kabila? Zama kwenye wavuti wa bunge na wewe ujifanyie vetting Huyo mbunge ana elimu kumzidi Rais wenu
View attachment 1647270
Eti vetting kwenye tovuti? [emoji1] Ebu jifunze kwanza, ndio ujue vetting ni nini na huwa inafanyajwe kabla ya kuendelea kujiaibisha. https://nation.africa/kenya/videos/news/live-vetting-of-cs-nominees-get
 
Master in Finance with four years experience as District Executive Director, many other experiences in politics[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana education system yenu iko ranked low[emoji23][emoji23], how can a person with a master degree ashindwe kusoma? Ama alinunua certificates?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndanganikaz! Any information regarding the Geza kiti mtu meat processing plant in subawanga.
The CEO geza is tight tipped on the much anticipated ground breaking meat processing plant and production of kiti mtu meat products in ndangayika socialite state.
 
Vetting ni process na kikatiba nchini Kenya
huwa inajumuisha vitu kadhaa ikiwemo uhakiki usaili ndio huwa hatua ya mwisho kabla ya kuapisha. Alafu vipi jombaa, imekuwaje wewe unayejiita mwalimu ukashindwa kuhesabu kwamba 2010-2020 ni zaidi ya miaka mitatu? Siungetumia vidole au hata vijiti? [emoji1]

Angalau umenyosha maelezo, maana nilitaka nishangae, tangu lini vetting ikawa equivalent to usaili (interview).

Hiyo hesabu ya 2020 minus 2010 jibu ni 3 if you apply the calculus (differentiation from the first principle).
😁😊
 
Eti vetting kwenye tovuti? [emoji1] Ebu jifunze kwanza, ndio ujue vetting ni nini na huwa inafanyajwe kabla ya kuendelea kujiaibisha. https://nation.africa/kenya/videos/news/live-vetting-of-cs-nominees-get
Vetting ni Pamoja na CV mzee, punguza ukichwa panzi, Hahahaha eti Kenya ndio ya kumfundisha Magufuli vetting, Magufuli hateui mtu kifala, sikiliza comments zake baada ya kuapisha kiongozi yeyote usikie jinsi huwa anawachambua mpaka mara ya mwisho wao wa kula pilau 😅😅😅
 
Ww jamaa uyo ameshindwa kuapa inasemekana kuna issue za mambo ya giza sana uko lindi wamempika sasa serikali haiwezi kumngoja kisa eti aliteuliwa tu,na vp akishindwa kusign mikataba na mambo mengine
Wacha kuamini mambo za kishetani na mapepo
 
Ndio maana education system yenu iko ranked low[emoji23][emoji23], how can a person with a master degree ashindwe kusoma? Ama alinunua certificates?[emoji23][emoji23][emoji23]
Certificate pengine sio original maana nadhani huyo mtu alienda shuleni kunywa uji tu ila hakutilia maanani masomo. Hapa kenya hata mtu wa form four anachapa kingereza hadi mtu anahisi kutoroka. The level of education ya Kenya haiwezi kulinganishwa na education ya kuku ya Malazy wa south.
 
Si wangeleta tu mtoto wa class 2 kutoka Kenya asome hilo oath of office.
 
Back
Top Bottom