simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Ubaguzi ni ubaguzi tu, wa rangi, kabila,taifa au chama.Narudia ten a ubaguzi na chuki za ccm kwa watanzania walio wengi.utalifikisha taifa pabaya.Hiyo ni simple mind kama jina lako,hakuna nchi iliyokamilika 100percent,ila sehemu yenye Ukabila,udini,ukanda ni hatari sana,Siasa za Tz zinachange kila wakati na asilimia kubwa ya wanasiasa waTz ni wachumia tumbo iwe CCM CDM,Cuf,ACT,Tadea wote wanahangaikia matumbo yao
WEWE UNAUMWA SIYO UJINGA WA KIASI HIKI ULIOUONYESHA YAANI UNAFANANISHA KENYA NA MAMBO YA AJABU YA WATU WA CHATONani watani zenu? Kama ni sisi hatuna utani na taifa lisilojielewa, halina hata umoja wa kitaifa.
Kwa hivyo kwa maoni yako haki za kidemokrasia ni za wakati wa uchaguzi pekee yake na baada ya hiyo huwa zinatupiliwa mbali hadi uchaguzi ufuatao? Sasa uchaguzi wenyewe ndio utakuwaje kama sasa hivi hampumui? Haya basi nimekuelewa lakini, sina la ziada.Haya. Wewe na wenzako mnaotetea haki za watz, basi tuone 2020, kama haki walinyimwa watamkataa huyu bwana, kama haki na maendeleo walivipata, watamchagua tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina cheti feki mkuu nina GPA ya 4.2 form UDSM sijui una lingine?Sasa nani alikutuma uwe na cheti feki?
TAZAMA ULIVYO NA SURA MBAYA KAMA UNAKAMULIWA JIPU LA SEHEMU ZA WAZIWapinzani Tz ni chini ya alfu tano..Wote waliompigia kura lowassa wapo sasa Sisiemu..Unawao waongelea ni wadau wa mitandao kama mange kimambi na miguna miguna..Takataka tuu
Mimi sina cheti feki mkuu nina GPA ya 4.2 form UDSM sijui una lingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Even here in Tz Chatolism is driving the country into the Ditch kind of shitholeNyie mnademocrasia au mnavutwa na ukabila? Ukabila ndo unaoendesha Siasa za Kenya, mengine kelele tu
Freedom in the World 2018, hizi ndio nchi kumi duniani zinazoangaziwa
kwa kuminya demokrasia, kukandamiza wanahabari na haki za kisiasa za wananchi wao.
Mimi sina cheti feki mkuu nina GPA ya 4.2 form UDSM sijui una lingine?
kwani umewahi iona gpa ya bashite?
Acha uwoga weweHamna aliye na ubavu wa kukashifu! Labda kuna government bots humu jf!
Wajinga kama nyinyi ndo mnatufikisha hapa tulipo.Nini JPM kaficha? Utawalawa wake ni wa uwazi sana, kila siku ana watumbua mawaziri, wakuu wa polisi nkt tena hadharani...Juzi tu kenyatta kaongea kuhusu mafisadi kwa ubabe....ilibidi afute accout zake zote za social media
Hii nayo ni hatari, Civil Society Organisations Director's Forum ambayo ni mkusanyiko wa mashirika 65 ya kitanzania ya haki za kibinadamu na kidemokrasia limeamua kupaza sauti liwe liwalo. Wanalalamika na kulilia dunia kwa kile ambacho wanakiita 'Police State' ambayo mzee mtakatifu kule ikulu ameibuka nayo kwa kukandamiza kabisa upinzani, wanahabari na uhuru wa wananchi wake. Wanasema kwa mwendo huu wa kuminya demokrasia na uhuru wa wapinzani kuwa na vikao vyao, amani ya nchi inavurugwa huku katiba ikinajisiwa na viongozi wanaotawala. Matokeo yake ni wananchi wanaoishi kwa uoga na kujihisi kwamba hawapo huru kwenye nchi yao. Wameangazia sanasana kutupwa selo kwa miezi mitatu kwa kiongozi mmoja wa upinzani, Mr. Freeman Mbowe. Kunani watani wetu watanzania? Mnanikumbusha enzi za Nyayo Kenya. Mbona mmebadilika kiasi hiki? Tuliwajua kwa ustaarabu wenu ila sasa sivyo tena. https://www.africanews.com/2019/04/...n-groups-risks-undermining-peace-in-tanzania/
Maoni yangu yepi yamesema hicho unaandika, i'm wasting me time, wewe endelea bothering youself abt Tz democracy, uchaguzi etc. There is nothing you can do or change, we dont need your sympathy, focus it kwa nchi yako yenye matatizo chungu nzima, insecurity, madeni, njaa, corruption etcKwa hivyo kwa maoni yako haki za kidemokrasia ni za wakati wa uchaguzi pekee yake na baada ya hiyo huwa zinatupiliwa mbali hadi uchaguzi ufuatao? Sasa uchaguzi wenyewe ndio utakuwaje kama sasa hivi hampumui? Haya basi nimekuelewa lakini, sina la ziada.
And what is chatolism, you mean catholic?Even here in Tz Chatolism is driving the country into the Ditch kind of shithole
Maneno yako yamenivutia sana!Tuna matitizo yetu ila kwa miaka miwili sasa tumeona mambo yakibadilika na siasa za chuki zikitupiliwa mbali. Wapinzani na wenzao serikalini wanaonana macho kwa macho na kuketi kwenye vikao pamoja hata nje ya bunge. Ushabik wa vyama vya kisiasa nao, kwenye masuala muhimu ya nchi, haupo tena. Ustaarabu umeshamiri na ubaguzi wa aina yoyote ule umefifia.