Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Screenshot_2017-01-22-06-46-02.jpg
Screenshot_2017-01-22-06-47-33.jpg
Screenshot_2017-01-22-06-48-30.jpg
 
Unajua kuna kipindi mtu husaka ile popularity anapo ikosa hupitia mgongo wa mtu mwingine.

Kenya nyumba yenu ikiungua mnaenda kuzima moto kwa jilani....


Nyie mna matatizo mangapi humo nchini mwenu!?. Rushwa mnaiongelea kila siku baada ya kufanya mambo muhimu humo kwenu Mnaenda kuwaangaikia sio tu jilani bali nyumba ya mtaa wa kumi huko.

Trump is for his country, he has nothing to do with your country rather than new styles of exploration.
 
Kweli wakenya waudhalilisha utu wa mwafrika ila nadhani itachukua miaka mingi sana waafrika kujitambua hapo tu madoctor wao wamegoma ila wananchi hawaandamani mtakuwa ni machizi
 
tokea obama awe rais wameshaona amerika ya mzee kenyata!yaani kenyan wamekaa kitapelitapeli
 
Yaani bado hawajifunzi hawa... kwa obama walifanya sherehe as if ni rais wao licha ya kua na asili ya kule bado hakuwasaidia chochote sahizi tena mmeleta maigizo haya loooh shame on you
 
Back
Top Bottom