Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Kenya ni sehem ya America, maana kuna citizen wao aliwahi kuiongoza Kenya.
 
Ama kweli waTz ni wapumbavu wa kutupwa.........hayo madawa ya Virusi vya Ukimwi pamoja na maneti na missada mingi tu mnayoyapata toka Marekani yakikatwa ndio mtaona kweli Trump ni wa maana, mbona huwa hamna vision?
Leo hii hizo pesa na miradi ya MILLENIUM DEVELPMENT GOALS MMEZIPOKEA, SCOLARSHIPS,CDC/DISEASE ERADICATIN,MALARIA NETS,CLIMATE FUNDS etc hazijawasaidia, ilhali nyinyi ndio mnaoongoza kwa kupokea misaada lukuki?, hamuoni yote hayo?
Hivi leo KKK wakiitwa Marekani na jinsi walivyo wakaanza kuwaua jamaa zenu walioko kule na kuwatimua mtakenua meno?
Ni nini kimewasibu hadi mu wapumbavu kwa kiasi hiki?
Haki zenu leo zikianza kukiukwa kuanzia Zanzibar hadi hapo Tanganyika ni nani atakuja kuwaokoa?..Mchina ama Muarabu?
Si ndugu zenu wataanza kukimbilia mataifa huru yenye kuzilinda haki za binadamu?
Leo miji mikubwa zaidi ya 370 mataifa makubwa na tajiri ulimwenguni yanaandamana, nyinyi mnafikiri ndiyo werevu sana,wajuvi wakubwa na wenye akili zaidi eeh?

The least you Tzs could do is shut your illiterate mouths, hamjui lolote lile....bado mpo mpo.
Ha ha ha... mweeeeh waafrica tunahitaji tutawaliwa tena, kwa hiyo nyie mnaandamana kwa kupigania dawa za ukimwi na hivyo vyandarua?
 
Ha ha ha... mweeeeh waafrica tunahitaji tutawaliwa tena, kwa hiyo nyie mnaandamana kwa kupigania dawa za ukimwi na hivyo vyandarua?

Ilhali nyie wapokeaji wakubwa wa madawa,vyandarua ,fedha ya BAJETI yenu na kadhalika.
KIKUBWA NI HAKI ZA BINADAMU.....NA HILO NYIE BONGOLALA HAMTOKAA MKALIFAHAMU.
Mpo very primitive bado, mmezowea kufungiwa hadi mitandao,bure, useless people!

Nyinyi tulizeni makalio hapo mwituni,muache dunia iliyoendelea ipambane,mtakuja elewa umuhimu mtakapo endelea kifikra na kihali.
 
Ilhali nyie wapokezi wakubwa wa madawa,vyandarua ,fedha ya BAJETI yenu na kadhalika.
KIKUBWA NI HAKI ZA BINADAMU.....NA HILO NYIE BONGOLALA HAMTOKAA MKALIFAHAMU.
Mpo very primitive bado, mmezowea kufungiwa hadi mitandao,bure, useless people!

Nyinyi tulizeni makalio hapo mwituni,muache dunia iliyoendelea ipambane,mtakuja elewa umuhimu mtakapo endelea kifikra na kihali.
Nyie bajeti mnajitegemea eeeh? Halafu hiyo mitandao ya kijamii iliyofungwa ni ipi?
 
Nyie bajeti mnajitegemea eeeh? Halafu hiyo mitandao ya kijamii iliyofungwa ni ipi?

TUNAJITEGEMEA almost 99% for your information, tafuta figures za kwenu huko.
Kwaheri, sitoendelea na huu mjadala.
 
TUNAJITEGEMEA almost 99% for your information, tafuta figures za kwenu huko.
Kwaheri, sitoendelea na huu mjadala.
Tulia dawa ikuingie wewe... unakimbilia wapi na figa zako za uongo, ila all in all mmetuaibisha waafrica wenzio, acheni wazungu na mambo yao tatueni yenu kwanza au ya majirani zenu...
 
'20 dead, scores missing' after pro-Trump demo in Nigeria


A Nigerian separatist group said 20 people have died after a demonstration in support of US president Donald Trump led to clashes with police.

Friday's rally in the southern Rivers state was organised by the Indigenous People of Biafra, which wants Mr Trump to support the creation of an independent Biafran state for the Igbo people.

Member Ugochukwu Chinweuba said lawyers are working to locate and release those arrested by police. He said more than 200 people are still missing.

Nnamdi Omoni, a spokesman for Rivers state police, denied that anyone was killed but said 65 people had been arrested.

Neither of the competing accounts could be independently verified.

One million people died in the 1967-70 civil war over efforts to create a Biafran state.

'20 dead, scores missing' after pro-Trump demo in Nigeria - Independent.ie

You and those folks do not know what the demos was all about, only spewing nonsense on the social media. And clearly, are not these pipo Tanzanians? You Tanzania,s ignorance on global issues is appaling.
Andamaneni kuh Maumau au Ufisadi uliokisili na mauaji ya Alshabab..
 
Nairobi is a global city, Dar is a glorified village. Once you understand that it wouldn't be too hard to understand why events in London, Sydney, Washington, Tokyo affects Nairobi. To put it plainly assuming that the demos were held concurrently in Nairobi and Dar, which one would grace the headlines?
Ni ujinga na upumbavu uliojaa utumwa wa kimawazo. Ni namna gani mlivyo wapuuzi na watu wasio jielewa. Nimekuuliza nyie ndio mnaamulia maisha wamarekani? Acheni ujinga.
 
Andamaneni kuh Maumau au Ufisadi uliokisili na mauaji ya Alshabab..

Andamaneni kukaliwa na CHAMA KIMOJA MIAKA NENDA RUDI
Andamaneni UMASIKINI WA KUTUPWA ILHALI MNA MALIASILI ZA KUTISHA MIAKA 100 SASA
Andamaneni MMEKOSA UHURU WA HABARI,TAARIFA N.K
Andamaneni HAKI ZENYU ZA KIBINADAMU KUKIUKWA MIAKA 55 SASA, WANAWAKE KWA WATOTO PAMOJA NA VIJANA.
Andamaneni UKOSEFU WA ELIMU BORA MATOPENI HUMO
Andamaneni KUULIWA ALBINO/ZERUZERU KILA KUKICHA HUMO TANGANYKA
Andamaneni UKOSEFU WA AFYA HUMO
Andamaneni UCHUMI MBOVU TANGU JADI....MIAKA 100
Andamaneni UPUMBAVU KUONGEZEKA NA KUKITHIRI Tz
Andamaneni.......................................................................................
 
Mbona sielewi wakuu kwanin wanaoandamana kuhusu Trump wasingeiomba UN kuwe na haki ya kupiga kura ya maamuz juu ya uchaguz wa america popote dunian kwa maana waliopiga kura ndio wanahaki ya kupinga kuhusu huyo mtu sasa ww hata kura haikuhusu then unajifanya una uchungu na mtu aliechaguliwa na wengine .....upuuz huu iomben US ibadili katiba yake bas ili nanyi mpate fursa ya kuchagua ndan ya marekan
 
Back
Top Bottom