Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie kubalini mmekosea kuandamana mambo yasiyo wahusu, yaani ni sawa na mimi nile pilipili halafu uwashwe wewe ambaye hauli hiyo pilipili.... rais wa marekani anawahusu nini nyie marafiki zetu?Andamaneni kukaliwa na CHAMA KIMOJA MIAKA NENDA RUDI
Andamaneni UMASIKINI WA KUTUPWA ILHALI MNA MALIASILI ZA KUTISHA MIAKA 100 SASA
Andamaneni MMEKOSA UHURU WA HABARI,TAARIFA N.K
Andamaneni HAKI ZENYU ZA KIBINADAMU KUKIUKWA MIAKA 55 SASA, WANAWAKE KWA WATOTO PAMOJA NA VIJANA.
Andamaneni UKOSEFU WA ELIMU BORA MATOPENI HUMO
Andamaneni KUULIWA ALBINO/ZERUZERU KILA KUKICHA HUMO TANGANYKA
Andamaneni UKOSEFU WA AFYA HUMO
Andamaneni UCHUMI MBOVU TANGU JADI....MIAKA 100
Andamaneni UPUMBAVU KUONGEZEKA NA KUKITHIRI Tz
Andamaneni.......................................................................................
Sasa hayo ni ya Tanzania hayawahusu. Sisi wala hatunaga mpango na issue za kipuuzi.Andamaneni kukaliwa na CHAMA KIMOJA MIAKA NENDA RUDI
Andamaneni UMASIKINI WA KUTUPWA ILHALI MNA MALIASILI ZA KUTISHA MIAKA 100 SASA
Andamaneni MMEKOSA UHURU WA HABARI,TAARIFA N.K
Andamaneni HAKI ZENYU ZA KIBINADAMU KUKIUKWA MIAKA 55 SASA, WANAWAKE KWA WATOTO PAMOJA NA VIJANA.
Andamaneni UKOSEFU WA ELIMU BORA MATOPENI HUMO
Andamaneni KUULIWA ALBINO/ZERUZERU KILA KUKICHA HUMO TANGANYKA
Andamaneni UKOSEFU WA AFYA HUMO
Andamaneni UCHUMI MBOVU TANGU JADI....MIAKA 100
Andamaneni UPUMBAVU KUONGEZEKA NA KUKITHIRI Tz
Andamaneni.......................................................................................
Wewe ukiskia habari za ukame na njaa Kenya akilini mwako hua unafikiria nini, Hebu njoo utembee Kenya ujionee mwenyewe hasaa upanze wa kaskazini mwa Kenya, Kenya ndio nchi yenye ukosefu wa maji zaidi ya nchi zote hapa EAC...Kwahiyo hizo athari za mazingira ni hatari zaidi kuliko mgomo wa madaktari unaosababisha vifo hapo hapo.. mbona hamjaandamana kuishinikiza serikali kumaliza mgogoro huu unaowaathiri moja kwa moja watu wa chini
Halafu hata kama tungeandamana kwa hili ni bora maana yanatuhusu ila si kuandamana kwa mambo ya mzungu, si utaonekana bogasi? Na katika hotuba yake sikusikia ata kipengele kimoja kikitaja kenya lakini eti leo wameandamana?Sasa hayo ni ya Tanzania hayawahusu. Sisi wala hatunaga mpango na issue za kipuuzi.
Ni nchi ipi socialist inafanya mambo ya kipuuzi hivyo!!?.
Nyie ni kenya na sisi ni Tanzania. Ni nchi mbili tofauti kabisa na ideologies tofauti. Sisi tunajenga nchi yetu. Mambo ya nchi nyingine hayatuhusu. Sera zetu za nje ni kumaliza migogoro kwa mazungumzo.
Kama sera zenu za ushoga ni zenu huko na nchi yenu ya kenya. Hayatuhusu sisi. Na hamuwezi mkaamlia watanzania au wamarekani kipi cha kufanya. Nyie endeleeni kufa na njaa huku madaktari wakigoma na mnashindwa kuandamana.
Pingeni lieni ndio kesha kuwa Rais wa Marekani haina jinsi.....Sera za Trump, hasa kuhusu global warming zitaathiri zaidi nchi dogo na maskini kama Kenya. Ndio maana tunazipinga.
ila wakenya mna moyo wanawake wa kwenu bado mnawabandua ila mnahitaji noble kila mmojaHehehe!! Haya bwana, hao wanawake walete kwangu niwape shughuli maana naona wamekosa kazi. Wapange foleni nje ya chumba changu.
Sasa hayo ni ya Tanzania hayawahusu. Sisi wala hatunaga mpango na issue za kipuuzi.
Ni nchi ipi socialist inafanya mambo ya kipuuzi hivyo!!?.
Nyie ni kenya na sisi ni Tanzania. Ni nchi mbili tofauti kabisa na ideologies tofauti. Sisi tunajenga nchi yetu. Mambo ya nchi nyingine hayatuhusu. Sera zetu za nje ni kumaliza migogoro kwa mazungumzo.
Kama sera zenu za ushoga ni zenu huko na nchi yenu ya kenya. Hayatuhusu sisi. Na hamuwezi mkaamlia watanzania au wamarekani kipi cha kufanya. Nyie endeleeni kufa na njaa huku madaktari wakigoma na mnashindwa kuandamana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tulishasema muda mrefu. Wakenya haziwatoshi.
Ushenzi utakutafuna ukumalize!Wengi watakuwa Wajaluo, wakikuwa wanaona kwa sababu ya Obama basi nao wanaishi American dream
Ushenzi wenu mnatuaibisha Africa. Mnakuwa na akili za kitumwa tumwa.Nasi pia tukiandamana hayawahusu washenzi nyie!
Hatujaandamana ndani ya Tanganyika, mna uhuru wenyu kuandamana.
Nilitegemea Wamarekani kutukaripia au kukereka sio nyie..okay?
Ni sisi na Wamarekani sio nyie, pili pili msioila yawawashia nini kuku mavi?
Pia hapa Marekani waliompigia kura BI Clinton wanawazidi wa Trup na zaidi ya watu millioni tatu, na ni hao ndio wanaoandamana.
Na hao hao ndio ulimwengu unasimama nao na kuwapa mkono/sapoti kwenye maandamano..
Kama unatafuta haki yako ya kutoa tako andamana huko kakamega kwa grounds za kikakakamega sio kama Trump ataingilia shughuli zako za kutoa tako huko kakamega so chill out.
1)Kama ingekua ni kupinga uchaguzi, tungeandamana punde tu aliposhinda, kwasas ye ndo rais kidemocrasia, hapa watu wanapinga sera za trump kwa mambo yanayohusu dunia, sera kama women rights, global warming....dunia inasonga mbele kama global village, sera za trump kama kiongozi wa most powerful nation zinaregesha dunia nyuma...Mbona sielewi wakuu kwanin wanaoandamana kuhusu Trump wasingeiomba UN kuwe na haki ya kupiga kura ya maamuz juu ya uchaguz wa america popote dunian kwa maana waliopiga kura ndio wanahaki ya kupinga kuhusu huyo mtu sasa ww hata kura haikuhusu then unajifanya una uchungu na mtu aliechaguliwa na wengine .....upuuz huu iomben US ibadili katiba yake bas ili nanyi mpate fursa ya kuchagua ndan ya marekan