Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili iweje? Mambo ya Marekani na Kenya wapi na wapi? Ni ujinga na wehu. Mkianza kupangiwa na wamarekani mnaanza kulialia. Who is Trump to kenyans? Mnaandamana mlipiga kura? Mnaandamana ili iweje?The demonstrations were being held in cities around the world. If Tanzanian cities are too inconsequential to the World its not Kenya's fault.
Nairobi is a global city, Dar is a glorified village. Once you understand that it wouldn't be too hard to understand why events in London, Sydney, Washington, Tokyo affects Nairobi. To put it plainly assuming that the demos were held concurrently in Nairobi and Dar, which one would grace the headlines?Ili iweje? Mambo ya Marekani na Kenya wapi na wapi? Ni ujinga na wehu. Mkianza kupangiwa na wamarekani mnaanza kulialia. Who is Trump to kenyans? Mnaandamana mlipiga kura? Mnaandamana ili iweje?
Ya darNairobi is a global city, Dar is a glorified village. Once you understand that it wouldn't be too hard to understand why events in London, Sydney, Washington, Tokyo affects Nairobi. To put it plainly assuming that the demos were held concurrently in Nairobi and Dar, which one would grace the headlines?
Hawapitwi!![emoji23] [emoji23]Tulishasema muda mrefu. Wakenya haziwatoshi.
Kwahiyo hizo athari za mazingira ni hatari zaidi kuliko mgomo wa madaktari unaosababisha vifo hapo hapo.. mbona hamjaandamana kuishinikiza serikali kumaliza mgogoro huu unaowaathiri moja kwa moja watu wa chiniNaona democrasia bado haijafika Dar.... Mko mbali Sana hata hamjui umuhimu wa maandamano, hebu jiulize ishara ya hai wanawake kufanya maamdamano katika msitu...... Hivi watanzania mnajua kua Afrika ndo ime affectiwa zaidi Na global warming? Na hivi mnajua karibu 90% ya global warming ya africa imetokana na air pollutions ya industrialisation ya nchi za magharibi, na hivi mlifywatilia Yale trump alisema eti global warming Ni hoax , kwahivyo yeye Kama rais wa marekani atalazimisha nchi yake iache kulipa faini kwa nchi za Africa kwa kuharibu hewa yetu, tena marekani itazidi kutumia coal Ile mbaya kabisa ipatikanayo kule ili kufufua viwanda vingi zaidi...wakati huku Africa ukame na elnino zinazidi kuongezeka...... Alafu wakenya wakiandamana mnaleta ujinga zenu hapa ! Watz bana, akili zenu mlirusha wapi mazuzu kabisa
Looks like you are a champion when it comes to priorities, how many times have you organized demos against Magufuli harassing opponents? stifling democracy? La kwenu limewashida letu mtaliwezaje?Kwahiyo hizo athari za mazingira ni hatari zaidi kuliko mgomo wa madaktari unaosababisha vifo hapo hapo.. mbona hamjaandamana kuishinikiza serikali kumaliza mgogoro huu unaowaathiri moja kwa moja watu wa chini
Sisi hatumpingi na tunamuunga mkono sana tena sana na hata kama tungempinga at list ni wetu na athari zake zinatuathiri moja kwa moja maana ni wetu na tumempgia kura sisi na yuko kwa ajiri yetu, sasa nyie swali ni moja Trump anawahusu nini ninyi? Mbona mnakimbilia ya mtaa mwingine ili hali kuna ya kwenu apo, au basi ata jiran angalau lakn mtaa wa pili looooh mnatuabisha waafrica.... kipindi kili burundi (jirani kabisa) kutokee machafuko hamkuanamana ila leo mwaandamanishwa na mambo ya US?Looks like you are a champion when it comes to priorities, how many times have you organized demos against Magufuli harassing opponents? stifling democracy? La kwenu limewashida letu mtaliwezaje?
You and those folks do not know what the demos was all about, only spewing nonsense on the social media. And clearly, are not these pipo Tanzanians? You Tanzania,s ignorance on global issues is appaling.Trump lazima atawajibu kikauli na kivitendo......
Mbwa si wako kwa nini unampangia ulinzi!
NonsenseHao wakenya a k a wakimbiaji wanataka sifa
TrashTulishasema muda mrefu. Wakenya haziwatoshi.
SenselessNyang'ahu ni Nyang'ahu tuu hujuaji mwingi