Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Mimi sioni shida hapo. Hayo maandamano si yamefanyika miji mingi duniani? Naona hao watu wanaowatukana wanawake wa Kenya hawajui sana dhumuni ya hayo maandamano.
 
Nyie mngekua mbele kidemocrasia mngekua mnabaguana kwa kabila zenu?
 
Watanzania mbona mambo ya Kenya yanawahusu? The demonstrations were done majorly by US citizens living in Kenya and it was a similar case in all major cities of the world (Lagos, Accra, Jo'burg, London, Tokyo etc).
Huo ni ushenzi wa CNN na BBC ambao hawamtaki Trump. Sera zenu mbovu za mambo ya kimataifa. Huwezi ukaanzisha mambo ya siasa za nchi tofauti ndani ya nchi nyingine.

Ni ujinga kuanza kufuata mkumbo kwa mambo ambayo ni ya kisiasa ya marekani. Hovyo kabisa.
 
Wananchi Tanzania wamelala sana, wao hungojea serikali iwaambie ni wapi wacheke na ni wapi walie.. manngojea serikali
Mko na marais watano wanapishana ndani ya CCM, hio ndo democrasia? he! SMH... inasikitisha sana you cant comprehend thesignificance of people led movements in bringing service and accountability in a democracy....alafu you want to claim to be democratic? CCM iliwafanya nini jameni, sisi tuaongalia kutoka nje tunaona vile mko.... ndio maaana hata mmekua degraded to the same level na DRC

 
Kwahiyo nyie mpo macho hamjalala
Kwa kuandamana hamumtaki Trump!!
Mlimpigia kura!!

Uzezeta uliwateka akili ninyi
 
Kwahiyo nyie mpo macho hamjalala
Kwa kuandamana hamumtaki Trump!!
Mlimpigia kura!!

Uzezeta uliwateka akili ninyi
mara nyengine msome kabla kufungua mdomo bana..... Maandamano si kwamba hatumtaki trump awe rais, kama ingekua ni hivyo tungeandamana pindi aliposhinda kura na kabla ya kuapishwa rasmi...... Sisi tunaandamana baada ya trump kuapishwa rasmi kama rais wa taifa lenye nguvu na ushawishi mkubwa zaidi duniani, kupinga sera zake haswa kwa mambo ya haki za wanawake , mazingira, ubaguzi wa watu weusi,.... haya maandamano ni kumpressure au kushawishi asifanye matendoambayo ambayo yanaenda kichume progress ya humanity
 
Nyie issue za uhuru wa kidemokrasia ndio mmenaza miaka 2000s. Na mmechinjana kama kuku. Upuuzi huo huwezi kuusikia TZ. Halafu mnajifanya mpo na democrasia wakati mnaongozwa na familia moja tu.

Nchi inaongozwa na wale wale. Ukoo uleule tangu uhuru. Kwikwikwi. Hivi nchi yenu ni monarch? Wanarithishana wa ukoo uleule.

Ndio mnasema demokrasia hiyo!!?. Wakati hamna uhuru kwenye utawala wa juu. Ni koo zile zile za kina Kenyatta na Oginga Odinga.

Hebu acha kutufanya tuchefuke hapa. Au unataka tuelezee yote!?. Badilisheni nchi yenu ijulikane kama ni monarch.
 
Kwanini hamkuandamana pale Obama na Cameroon walipotaka ushoga. Kwahiyo issue za ushoga kwenu ni shega tu? Hebu acha kujitoa ufahamu bana.
 
Uzuri nikuwa
Wakenya tabia ya kujikweza ni ya asili
Hivyo najua hamuwezi badilika ninyi
 
Kwanini hamkuandamana pale Obama na Cameroon walipotaka ushoga. Kwahiyo issue za ushoga kwenu ni shega tu? Hebu acha kujitoa ufahamu bana.
Uta tafuta kila aina ya kijisababu Na utapata jibu lake


Haya Rudi kwa Meza ufikirie kitu chengine ambacho wafikiri wakenya walikua Na opinion lakini hawaku express their opinions
 
Don't you think u know everything...wadvr u re protesting er has no impact to trump..trump gives no flynfk bout u...yes we maybe needy and poor but we re not stupid,our silence has never been our weakness,you as a poor African country re no better than any of us..and u shud learn wat role to play..but not protesting,that's embarrassing and hilarious.U guys better channel that energy to build ur own nation till wen ur say n ur protest in the worldissues matter..
 
So your advice is if you have an opinion you should always keep it to yourself especially if you think the one you are telling won't listen, you should just shut up and not protest the actions or potential actions of someone whose consiquences will have an effect on you too?
Man, what a nation of cowards, eti embarrassing, in this world of today, never apologies for having an opinion, and never be embarrassed to speak up no matter how big or small the reciever of the messege is, we have protested, we have said our peace, and in case you woke up today, in each country, their are these things called embassies that pass the message from the country that they are located back to HQ, trump himself might not even here about it, but his secretary of state will know about it, and he as the man/woman incharge is responsible for advising the president on matters foreign affairs, and who knows, right before trump makes a decision his advisers might just persuade him otherwise, based on this one protest of Kenyans expressing their views
 
Nimesema nyie wakenya ni mapimbi sana. USA inafanya kwa maslahi ya USA.
Do your own business. Why don't you protest for your monarch country in the umbrella of democracy.

Wewe nchi yenu inaongozwa na Koo za familia zile zile. Watu wanakufa njaa, Wananchi wa kenya hawana ardhi, doctors wanagoma kufanya kazi, corruption imeshika hatamu, Al shabab wanaua wakenya kila kukicha.

Kwanini msisimame na ku protest kuhusu hayo yanayo wahusu.

Mtashikiwa akili zenu na wazungu mpaka lini. Mnatuaibisha Africa. Ya USA waachieni wao.
 
Sasa hapa ndio unafanya nini? Katiba yenu inaruhusu ushoga. Na kuna shirikisho la mashoga kenya. Ndio maana tunasema nyie ni wanafiki sana
Kenya: Allow Rights Groups to Register
Katiba hairuhusu ushoga, lakini poa ili kulinda Uhuru wa wananchi, haikatazi mkenya yoyote kuunda organization ... Haimanishi hai wako kwa hio organization Ni mashoga, at least not under the law...
Maana ukipatia serikali ruhusa Na Uhuru wa kufunga organizations sababu Tu hawazitaki basi utakuta kesho wanazima stesheni ya radio, Mara ya gazeti Kama vile inavyofanyika Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…