Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie Baba Odinga, Jaluo weweUshenzi utakutafuna ukumalize!
Kwikwikwikwi umechoka ku post picha zako?Tanzanians mind ur own business kama hamna safe space ya kupractice democracy stop envying ur neighbours ASSHOLES
Wajanja wapi wakati ni wapumbavu tu? Utavutia watalii kwa ujinga huo. Hebu waulize kwa sasa kati ya Kenya na TZ watalii wanaenda wapi?Hao ni wajanja sana, kufanya maandamano juu ya kumpinga Trump wanaifanya Nchi yao izidi julikana Dunian na watu wavutiwe kuja itembelea na kuongeza mapato yatokanayo na utalii. Tujifunze kutumia fursa kuitangaza nchi yetu
Kwanini msiandame kupinga industrialization ya China wakati ya USA industrialization yao ilikufa siku nyingi?Naona democrasia bado haijafika Dar.... Mko mbali Sana hata hamjui umuhimu wa maandamano, hebu jiulize ishara ya hai wanawake kufanya maamdamano katika msitu...... Hivi watanzania mnajua kua Afrika ndo ime affectiwa zaidi Na global warming? Na hivi mnajua karibu 90% ya global warming ya africa imetokana na air pollutions ya industrialisation ya nchi za magharibi, na hivi mlifywatilia Yale trump alisema eti global warming Ni hoax , kwahivyo yeye Kama rais wa marekani atalazimisha nchi yake iache kulipa faini kwa nchi za Africa kwa kuharibu hewa yetu, tena marekani itazidi kutumia coal Ile mbaya kabisa ipatikanayo kule ili kufufua viwanda vingi zaidi...wakati huku Africa ukame na elnino zinazidi kuongezeka...... Alafu wakenya wakiandamana mnaleta ujinga zenu hapa ! Watz bana, akili zenu mlirusha wapi mazuzu kabisa
Futa machozi yako, AGOA is on it's way out, wakenya kusikia "America first, America first" akili za wapiga dili zikaruka. Kuweni tayari kwa fimbo yoyote Trump ata amuwa kuwachapa nayo.Tanzanians mind ur own business kama hamna safe space ya kupractice democracy stop envying ur neighbours ASSHOLES
Na kwa wale wamarekani wanafikiria kuwa Kenya inawaingilia uhuru wao wa kuchagua watakuja Kenya?Hao ni wajanja sana, kufanya maandamano juu ya kumpinga Trump wanaifanya Nchi yao izidi julikana Dunian na watu wavutiwe kuja itembelea na kuongeza mapato yatokanayo na utalii. Tujifunze kutumia fursa kuitangaza nchi yetu