Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Ukiona unakua mgonjwa kwa kufanya kila kituko ili tu kumvutia mzungu akuone ili upate chochote kutoka kwake ujue wewe hauna tofauti na mbwa wake

that you are there to please mzungu for your survival hilo ni tatizo na inferiority complex ambayo Kenya wanayo kuliko waafrika wowote wale ndio maana wanawageuza sababu hamna tofauti na changudoa kujirahisisha kwa njemba ili limkunje.

To hell with tourism money ubinadamu na utu wa muafrika Kwanza.
Hao ni wajanja sana, kufanya maandamano juu ya kumpinga Trump wanaifanya Nchi yao izidi julikana Dunian na watu wavutiwe kuja itembelea na kuongeza mapato yatokanayo na utalii. Tujifunze kutumia fursa kuitangaza nchi yetu
 
Ni lini mzungu atapoteza muda wake sababu ya siasa za Kenya? Wakenya hamna tofauti na mbwa wa wazungu maumau waliuwawa kwa maelfu na haohao wazungu mnajifanya kuandamana sababu yao.

Ujiulize wakati wa maumau cold-blooded kuna mzungu hata mmoja aliandamana sababu ya Kenya?

Viherehere tu
from the comments nimejua watanzania bongo lala.....so shallow minds
 
Msalimie Baba Odinga, Jaluo wewe

Unatamani kuwa mjaluo enhe?...naona!.....kabila la Obama!...ukoo wa FARAO/MIUNGU WATU WA JADI.
Mojawepo za koo/damu/milango za Wafalme na Malkia wa MISRI NA NUBIA pamoja na falme zilizopo kwenye mkondo wote wa mto NILE tokea enzi za civilization.
Ama kweli empires fall...Babylon has fallen.
Watawala na wafalme wa falme za jadi za Uganda....Bunyoro/Kitara.!
Soma vitabu mwana,mti wenye matunda milele hupigwa mawe,kawaulize babu na bibi.
Meza wembe😛😛😛😀😀
Utapenda tu!
 
Don't you think u know everything...wadvr u re protesting er has no impact to trump..trump gives no flynfk bout u...yes we maybe needy and poor but we re not stupid,our silence has never been our weakness,you as a poor African country re no better than any of us..and u shud learn wat role to play..but not protesting,that's embarrassing and hilarious.U guys better channel that energy to build ur own nation till wen ur say n ur protest in the worldissues matter..

Come back when your grammar is comprehensible, pathetic!
I couldn't even read.
 
Lazima tuwakalipie maana mmetuaibisha ngozi nyeus... yaaani kitu kidogo kama hiki mmeshindwa kukielewa

Nilidhani nyie ni ngozi nyeupe,kulingana na mnavyo waita waKenya weusi kila kukicha!...iweje leo ngozi nyeusi wakawaaibisha ngozi nyeupe?😀😀
Mabingwa wa kujichubua na mikorogo.....wabantu hatari!

kalb wahed!
 
Huo ni upungufu wa akili na ujinga. Kuandamana ndio democrasia!!? Kuandamana kwaajili ya marekani ndio demokrasia!!!?
Huu ni ushenzi wa wachache Africa wanaotumiwa na wazungu.

Angalia hapa. Tangu uhuru tupo na presidents 5.
Nyie mpo na 4.
Kati ya TZ na kenya ipi ya kidemokrasia?
Nyie kwenye uchaguzi mpaka mchinjane Gikuyu na luo. Huo ni ujinga.

Ninyi mmewaua wa ZANZIBARI wengi na kufutilia uchaguzi wao kila mara.....AIBU AIBU.
AU na UN YAFAA KUWAONYA NA KUINGILIA KATI UCHAGUZI WA ZANZIBAR KAMA VILE GAMBIA, ILI CHAGUO LA WANANCHI WA NCHI HURU YA ZANZIBAR LIHESHIMIWE!
 
Povu. Nchi yenu inaongozwa na ukoo mmoja.
 
Moi aliiongoza Kenya miaka 24,hakuwa wa koo la Kenyatta,Odinga au Kibaki!

Kalb hayawan!
Kwikwikwi. Huyo si alikuwa kibaraka wa Kenyatta. Au hujui. Hiyo nchi ni ya koo tu. Je Daniel aliingiaje kuwa rais?
 
Hebu sasa tuweke hapa mambo yote kuhusu Kenya.
Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa ni Jomo Kenyatta. Alifariki mwaka 1978 ni miaka 14 baada ya kuwa raisi

Jaramogi Oginga Odinga alikuwa ni makamu wa Rais kuanzia 1964-1966 baada ya hapo Daniel Arap Moi akawa makamu.

Jomo Kenyatta akiwa rais waliunda Alliance ya Kikuyu-Luo. Kitendo kilicho fanya chama cha KADU na KAU kufa na kuwa na chama kimoja cha KANU hiyo ilitokana na ushawishi uliotolewa na Daniel Arap Moi.
Daniel Moi alikuwa Makamu wa Rais kwa miaka 1966-1978 chini ya utawala wa Jomo Kenyatta.

Baada ya Jomo Kenyata kufariki 1978, Daniel Arap Moi alikuwa rais.
Kuanzia mwaka 1978-2002.
Daniel Moi alipokuwa rais tu alimuweka Mwai Kibaki kuwa Makamu wa rais(Ikumbukwe Mwai Kibaki ni Kikuyu)
Utawala wa Daniel Moi ulipinga mambo ya Ujamaa na hakutaka kabisa mambo ya kijamaa katika nchi ya Kenya.

Mwaka 1992 baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa. Mwai Kibaki aliongoza vyama vya upinzani.
Mwaka 2002 Mwai Kibaki alifanikiwa kuwa Rais. mpaka mwaka 2013. Baada ya hapo mtoto wa Kenyatta kutoka kwenye familia zile zile za Kikuyu ndiye anayetawala sasa.

Hapa nimeweka Summary tu ya mambo. Hapa ninaona tunakokwenda atatokea mwingine kwenye Ukoo wa Oginga au Ukoo wa Moi kuja kutawala nchi hiyo.
 
Sawa endeleeni kuandamana pamoja na wanaune.....
Ovyoo kweli nyie.,mnamtisha nyau Trump!!!!!
Mlidanganywa na CNN.aljazeera,BBC,na fox mkiaminishwa Hillary atashinda..
Usiye mpenda kaja. ..you beggars you will develop by our own resources.. Time has come now.
oh am sorry, did we hurt your feelings? oh poor you. get over it
 
Didi you read this down?

Hebu sasa tuweke hapa mambo yote kuhusu Kenya.
Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa ni Jomo Kenyatta. Alifariki mwaka 1978 ni miaka 14 baada ya kuwa raisi

Jaramogi Oginga Odinga alikuwa ni makamu wa Rais kuanzia 1964-1966 baada ya hapo Daniel Arap Moi akawa makamu.

Jomo Kenyatta akiwa rais waliunda Alliance ya Kikuyu-Luo. Kitendo kilicho fanya chama cha KADU na KAU kufa na kuwa na chama kimoja cha KANU hiyo ilitokana na ushawishi uliotolewa na Daniel Arap Moi.
Daniel Moi alikuwa Makamu wa Rais kwa miaka 1966-1978 chini ya utawala wa Jomo Kenyatta.

Baada ya Jomo Kenyata kufariki 1978, Daniel Arap Moi alikuwa rais.
Kuanzia mwaka 1978-2002.
Daniel Moi alipokuwa rais tu alimuweka Mwai Kibaki kuwa Makamu wa rais(Ikumbukwe Mwai Kibaki ni Kikuyu)
Utawala wa Daniel Moi ulipinga mambo ya Ujamaa na hakutaka kabisa mambo ya kijamaa katika nchi ya Kenya.

Mwaka 1992 baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa. Mwai Kibaki aliongoza vyama vya upinzani.
Mwaka 2002 Mwai Kibaki alifanikiwa kuwa Rais. mpaka mwaka 2013. Baada ya hapo mtoto wa Kenyatta kutoka kwenye familia zile zile za Kikuyu ndiye anayetawala sasa.

Hapa nimeweka Summary tu ya mambo. Hapa ninaona tunakokwenda atatokea mwingine kwenye Ukoo wa Oginga au Ukoo wa Moi kuja kutawala nchi hiyo.
 
Wakenya mmamambo ya kike sana nyie...matatizo yenu mbona hamyapi kipaumbele?
America inawahusu vipi?mtaolewa sasa maana mnajibebisha

tupe ya kiume basi!! nashangaa watu ambao hawana akili ya kufikiria mambo ya kwao binafsi wananguvu ya kuchungulia na kutaka kujua yanayo tendeka kwa jirani ..endeleeni sisi hatuna muda wenu , hilo linaashiria jinsi mnavyotuensi hamuezi ishi bila sisi ....mavi ya kuku nyinyi
 
Wakenya hata aibu hawana kujifanya kiherehere kwa mambo ya nchi ambayo haiwahusu.
 
Sisi hatumpingi na tunamuunga mkono sana tena sana na hata kama tungempinga at list ni wetu na athari zake zinatuathiri moja kwa moja maana ni wetu na tumempgia kura sisi na yuko kwa ajiri yetu, sasa nyie swali ni moja Trump anawahusu nini ninyi? Mbona mnakimbilia ya mtaa mwingine ili hali kuna ya kwenu apo, au basi ata jiran angalau lakn mtaa wa pili looooh mnatuabisha waafrica.... kipindi kili burundi (jirani kabisa) kutokee machafuko hamkuanamana ila leo mwaandamanishwa na mambo ya US?

Wewe shika adabu yako huo mguu au mkono unaomuunga ni peke yako na si wote
 
Kwikwikwikwi umechoka ku post picha zako?
Nikuulize swali je, kenya ni monarchy au republic?
Kwanini inaongozwa na ukoo uleule? Yaani ukoo wa Kenyatta na Oginga Odinga. Wakenya mtakuwa mmeshikiwa akili na elites.
Sasa democracy yenu ipo wapi?
These are all the people who marched worldwide ASS!!

1485161589030.png

1485161626463.png

1485161642073.jpg
 
These are all the people who marched worldwide ASS!!

View attachment 462964
View attachment 462965
View attachment 462966
Umesoma taarifa hii hapa chini:-

Hebu sasa tuweke hapa mambo yote kuhusu Kenya.
Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa ni Jomo Kenyatta. Alifariki mwaka 1978 ni miaka 14 baada ya kuwa raisi

Jaramogi Oginga Odinga alikuwa ni makamu wa Rais kuanzia 1964-1966 baada ya hapo Daniel Arap Moi akawa makamu.

Jomo Kenyatta akiwa rais waliunda Alliance ya Kikuyu-Luo. Kitendo kilicho fanya chama cha KADU na KAU kufa na kuwa na chama kimoja cha KANU hiyo ilitokana na ushawishi uliotolewa na Daniel Arap Moi.
Daniel Moi alikuwa Makamu wa Rais kwa miaka 1966-1978 chini ya utawala wa Jomo Kenyatta.

Baada ya Jomo Kenyata kufariki 1978, Daniel Arap Moi alikuwa rais.
Kuanzia mwaka 1978-2002.
Daniel Moi alipokuwa rais tu alimuweka Mwai Kibaki kuwa Makamu wa rais(Ikumbukwe Mwai Kibaki ni Kikuyu)
Utawala wa Daniel Moi ulipinga mambo ya Ujamaa na hakutaka kabisa mambo ya kijamaa katika nchi ya Kenya.

Mwaka 1992 baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa. Mwai Kibaki aliongoza vyama vya upinzani.
Mwaka 2002 Mwai Kibaki alifanikiwa kuwa Rais. mpaka mwaka 2013. Baada ya hapo mtoto wa Kenyatta kutoka kwenye familia zile zile za Kikuyu ndiye anayetawala sasa.

Hapa nimeweka Summary tu ya mambo. Hapa ninaona tunakokwenda atatokea mwingine kwenye Ukoo wa Oginga au Ukoo wa Moi kuja kutawala nchi hiyo.
 
Kwikwikwikwi umechoka ku post picha zako?
Nikuulize swali je, kenya ni monarchy au republic?
Kwanini inaongozwa na ukoo uleule? Yaani ukoo wa Kenyatta na Oginga Odinga. Wakenya mtakuwa mmeshikiwa akili na elites.
Sasa democracy yenu ipo wapi?
Usa Bush wamekuwa presidents wawili

Bill clinton Hillary clinton

Condoliza Rice and Family

Smh!!

France Le pen Family

Argentina imeongozwa na familia moja Wife and husband for 18yrs

Guatemala president na VC NI WIFE na Husband

North Korea

Jordan

Botswana The Khamas

Nigeria Bihari alikuwa President 1986 tena amerudi peleke Lack of knowledge mbali Jingai!!
 
Kwikwikwi umesoma hiyo taarifa lakini. Yaani nchi inaongozwa na koo. Je, nchi yenu ni Monarchy?
 
Back
Top Bottom