REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
- Thread starter
- #201
Ukiona unakua mgonjwa kwa kufanya kila kituko ili tu kumvutia mzungu akuone ili upate chochote kutoka kwake ujue wewe hauna tofauti na mbwa wake
that you are there to please mzungu for your survival hilo ni tatizo na inferiority complex ambayo Kenya wanayo kuliko waafrika wowote wale ndio maana wanawageuza sababu hamna tofauti na changudoa kujirahisisha kwa njemba ili limkunje.
To hell with tourism money ubinadamu na utu wa muafrika Kwanza.

Hao ni wajanja sana, kufanya maandamano juu ya kumpinga Trump wanaifanya Nchi yao izidi julikana Dunian na watu wavutiwe kuja itembelea na kuongeza mapato yatokanayo na utalii. Tujifunze kutumia fursa kuitangaza nchi yetu