Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Haya maneno ya Trump kwenye Twitter
 
Duh.....Hii thread naona Wakenya kimyaaaa.....Yani MiKenya sijui INA akili gani MaDaktari wanamgomo karibia mwezi sasa lakin hayajawahi goma uku Raia wao wakifurika Kilimanjaro na Arusha kupata tiba
 
Loool BBC comment section ndio mitandaoni??? Smh!! Peleka ufala mbali
 
BBC WORLD is a Mature Station BBC swahili ni ya ma dimbidi

The strike was world wide in Africa
Nairobi and Cape town Were the Only participants

Idiots

Cc redeemer
 
A rally in Nigeria to show support for Donald Trump as he was inaugurated as US president turned violent, injuring several people, police say.

The Indigenous People of Biafra (IPOB) allege 11 people died in clashes with security forces during the rally

Tanzanians mind ur own business kama hamna safe space ya kupractice democracy stop envying ur neighbours ASSHOLES
 
Hao ni wajanja sana, kufanya maandamano juu ya kumpinga Trump wanaifanya Nchi yao izidi julikana Dunian na watu wavutiwe kuja itembelea na kuongeza mapato yatokanayo na utalii. Tujifunze kutumia fursa kuitangaza nchi yetu
 
Tanzanians mind ur own business kama hamna safe space ya kupractice democracy stop envying ur neighbours ASSHOLES
Kwikwikwikwi umechoka ku post picha zako?
Nikuulize swali je, kenya ni monarchy au republic?
Kwanini inaongozwa na ukoo uleule? Yaani ukoo wa Kenyatta na Oginga Odinga. Wakenya mtakuwa mmeshikiwa akili na elites.
Sasa democracy yenu ipo wapi?
 
Hao ni wajanja sana, kufanya maandamano juu ya kumpinga Trump wanaifanya Nchi yao izidi julikana Dunian na watu wavutiwe kuja itembelea na kuongeza mapato yatokanayo na utalii. Tujifunze kutumia fursa kuitangaza nchi yetu
Wajanja wapi wakati ni wapumbavu tu? Utavutia watalii kwa ujinga huo. Hebu waulize kwa sasa kati ya Kenya na TZ watalii wanaenda wapi?
 
Kwanini msiandame kupinga industrialization ya China wakati ya USA industrialization yao ilikufa siku nyingi?
 
Tanzanians mind ur own business kama hamna safe space ya kupractice democracy stop envying ur neighbours ASSHOLES
Futa machozi yako, AGOA is on it's way out, wakenya kusikia "America first, America first" akili za wapiga dili zikaruka. Kuweni tayari kwa fimbo yoyote Trump ata amuwa kuwachapa nayo.
 
Hao ni wajanja sana, kufanya maandamano juu ya kumpinga Trump wanaifanya Nchi yao izidi julikana Dunian na watu wavutiwe kuja itembelea na kuongeza mapato yatokanayo na utalii. Tujifunze kutumia fursa kuitangaza nchi yetu
Na kwa wale wamarekani wanafikiria kuwa Kenya inawaingilia uhuru wao wa kuchagua watakuja Kenya?
 
Ujinga wa trump.hakujiandaa kuwa rais tangu mwanzo.na haya ndo madhara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…