Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Huo ni ushenzi wa CNN na BBC ambao hawamtaki Trump. Sera zenu mbovu za mambo ya kimataifa. Huwezi ukaanzisha mambo ya siasa za nchi tofauti ndani ya nchi nyingine.

Ni ujinga kuanza kufuata mkumbo kwa mambo ambayo ni ya kisiasa ya marekani. Hovyo kabisa.

Mbona wewe unafuatilia yanayoendelea Kenya?
 
Nimesema nyie wakenya ni mapimbi sana. USA inafanya kwa maslahi ya USA.
Do your own business. Why don't you protest for your monarch country in the umbrella of democracy.

Wewe nchi yenu inaongozwa na Koo za familia zile zile. Watu wanakufa njaa, Wananchi wa kenya hawana ardhi, doctors wanagoma kufanya kazi, corruption imeshika hatamu, Al shabab wanaua wakenya kila kukicha.

Kwanini msisimame na ku protest kuhusu hayo yanayo wahusu.

Mtashikiwa akili zenu na wazungu mpaka lini. Mnatuaibisha Africa. Ya USA waachieni wao.
Umerudi pale pale ya vijisababu , yote hayo yanashughuliliwa hapa Kenya, angalia runinga za Kenya au fywata trends za Kenya utajionea mwenyewe hashtags Na maandamano kila mmwezi Ku pressure serikali....

Yote Tisa, kumi-Tanzania bado iko nyuma Sana kidemocrasia Na maendeleo ya binadamu
 
Katiba hairuhusu ushoga, lakini poa ili kulinda Uhuru wa wananchi, haikatazi mkenya yoyote kuunda organization ... Haimanishi hai wako kwa hio organization Ni mashoga, at least not under the law...
Maana ukipatia serikali ruhusa Na Uhuru wa kufunga organizations sababu Tu hawazitaki basi utakuta kesho wanazima stesheni ya radio, Mara ya gazeti Kama vile inavyofanyika Tz
Niambie hao sasa. Je hiyo organization ya ushoga huko kenya ilipata nguvu wapi?
Je sheria zenu zinakataza doa za jinsia moja?
Nipe kipengere kwenye katiba yenu inakataza ndoa za jinsia moja.
 
So all these hours some few idlers were peddling the narrative that Kenyans have no business being overly concerned by events happening in America? Using the same reasoning how many kenyans have commented on this thread?
 
Uta tafuta kila aina ya kijisababu Na utapata jibu lake
View attachment 462652 View attachment 462653 View attachment 462654 View attachment 462655

Haya Rudi kwa Meza ufikirie kitu chengine ambacho wafikiri wakenya walikua Na opinion lakini hawaku express their opinions

Andamaneni na hili!!

Published on Jan 21, 2017Maafisa wa polisi wa Utawala, wamenaswa kwenye kamera wakimpiga risasi, jamaa mmoja ambaye sasa hivi amethibitishwa kufariki.

Yalikuwa maandamano dhidi ya kufurushwa kwenye pande la ardhi la ekari 60, eneo la Nguu Tatu huko Kisauni kaunti ya Mombasa, ambapo afisa huyo anaonekana akipiga risasi kadhaa kuelekea kwa waandamanaji, na ghafla bin vu, jamaa mmoja anaanguka kwa kupigwa risasi.

Aidha polisi, hawajatoa taarifa yoyote kuhusu mauaji hayo, licha ya wao kusema kuwa jamaa hao walikuwa ....

Hayo ndiyo muhimu kwa wakenya nasiyo mambo ya Trump
Trump hawa husu wakenya
Wacheni kutafuta kick!!!

Mna matatizo yenu
Marekani si mamayenu hawana muda na mkenya kamwe!!
 
Tulishasema muda mrefu. Wakenya haziwatoshi.
Tokea mungu wa wakenya afe...utahira wao ndio unadhihirika.

Huyu ndiye marehemu
2017-01-21-21-30-00-962565214.jpeg
2017-01-21-21-29-11-962565214.jpeg
mungu wa wakenya.

Anaitwa Wanyonyi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyang'ahu ni Nyang'ahu tuu hujuaji mwingi
 
Umerudi pale pale ya vijisababu , yote hayo yanashughuliliwa hapa Kenya, angalia runinga za Kenya au fywata trends za Kenya utajionea mwenyewe hashtags Na maandamano kila mmwezi Ku pressure serikali....

Yote Tisa, kumi-Tanzania bado iko nyuma Sana kidemocrasia Na maendeleo ya binadamu
Kha!!! Yaani hapa acha kujiaibisha kabisa. Nimekuuliza hivi kenya ni Monarchy au Republic?
Kwa nini inaongozwa kwa ukoo? Hiyo ndiyo demokrasia.

Halafu ukisema human development utanichekesha kabisa. Kenya ipo na more than 46% wanaoishi below poverty line. Wakati TZ ni 18% tu. Vipi ni nchi gani raia wake wapo na maendeleo?
 
NYANG'AU NI NYANG'AU TU

Nyumba yako yawaka moto waenda zima moto kwa jirani.

Mbona madaktari walipogoma hamkuandamana?
 
Uzungu mavi tu, mtazurura na kupayuka huko mwisho mtakaukiwa koo kwa kiu isio ujira na shida zipo palepale. Fata mambo yako USA is never responsible for a bowl of githeri on your table tomorrow.
 
Niambie hao sasa. Je hiyo organization ya ushoga huko kenya ilipata nguvu wapi?
Je sheria zenu zinakataza doa za jinsia moja?
Nipe kipengere kwenye katiba yenu inakataza ndoa za jinsia moja.
◾Section 162. Unnatural offenses.
Any person who - (a) has carnal knowledge of any person against the order of nature; or(c) permits a male person to have carnal knowledge of him or her against the order of nature, is guilty of a felony and is liable to imprisonment for fourteen years😛rovided that, in the case of an offence under paragraph (a), the offender shall be liable to imprisonment for twenty-one years if - (i) the offence was committed without the consent of the person who was carnally known; or(ii) the offence was committed with that person’s consent but the consent was obtained by force or by means of threats or intimidation of some kind, or by fear of bodily harm, or by means of false representations as to the nature of the act.◾Section 163. Attempt to commit unnatural offenses.

Any person who attempts to commit any of the offences specified in section 162 is guilty of a felony and is liable to imprisonment for seven years.
”◾Section 165. Indecent practices between males.

Any male person who, whether in public or private, commits any act of gross indecency with another male person, or procures another male person to commit any act of gross indecency with him, or attempts to procure the commission of any such act by any male person with himself or with another male person, whether in public or private, is guilty of a felony and is liable to imprisonment for five years.

Hapa chini kwa article 27 ndo hio organization ilipata nguvu, hapa inasema kila Mkenya (awe mwizi, muuwaji, mfisadi) anafaa kulindwa kisheria, kumaanisha hata awe ameshikwa red handed akiua mtu, bado anahaki ya kulindwa , anaweza andlika lawyer ama akaingia organization ambayo iitamtetea, Leo hii Mkenya akiform NGO Na aiite "organization against stiff prosecution of thieves" Na iwe inatetea
Haki za wezi basi, kikatiba wanaruhusiwa manake kuform hio organisation haimanishi hai Ni wezi..... The same thing applieys kwa hio organization ya mashoga....

Article 27Edit

Article 27 of the Constitution of Kenya provides that,
1.Every person is equal before the law and has the right to equal protection and equal benefit of the law.
2.Equality includes the full and equal enjoyment of all rights and fundamental freedoms.
3.Women and men have the right to equal treatment, including the right to equal opportunities in political, economic, cultural and social spheres.
4.The State shall not discriminate directly or indirectly against any person on any ground, including race, sex, pregnancy, marital status, health status, ethnic or social origin, colour, age, disability, religion, conscience, belief, culture, dress, language or birth.
5.A person shall not discriminate directly or indirectly against another person on any of the grounds specified or contemplated in clause (4).
 
Kwanza hiyo sheria haijaongelea masuala ya ushoga.
Soma hapa kuhusu Kenya na ushoga:
Organizations promoting Homosexuality in Kenya
Gay Kenya

Gay and Lesbian Coalition of Kenya - Wikipedia

Kwikwikwi. Je sheria ipi sasa inakataza Organization zinazo promote ushoga zikasajiliwa?
 
Andamaneni na hili!!

Published on Jan 21, 2017Maafisa wa polisi wa Utawala, wamenaswa kwenye kamera wakimpiga risasi, jamaa mmoja ambaye sasa hivi amethibitishwa kufariki.

Yalikuwa maandamano dhidi ya kufurushwa kwenye pande la ardhi la ekari 60, eneo la Nguu Tatu huko Kisauni kaunti ya Mombasa, ambapo afisa huyo anaonekana akipiga risasi kadhaa kuelekea kwa waandamanaji, na ghafla bin vu, jamaa mmoja anaanguka kwa kupigwa risasi.

Aidha polisi, hawajatoa taarifa yoyote kuhusu mauaji hayo, licha ya wao kusema kuwa jamaa hao walikuwa ....

Hayo ndiyo muhimu kwa wajenya nasiyo mambo ya Trump
Trump hawa husu wakenya
Wacheni kutafuta kick!!!

Mna matatizo yenu
Marekani si mamayenu hawana muda na mkenya kamwe!!

First of all, mwenye kamera alia hiwa apige, mpaka Leo bado sijasahau vile maafisa walimpokonya kamera Na kumqeka ndani journerlist wa Kenya alikua huko kwa mechi flani eti sababu hamtaki aonyeshe maovu flani.....

2nd, hebu angalia hao wananchi, unafikiri hawataandamana hivyo vituko vyote walivyofanya hawataandamana tena kutaka huyo ofisa afikishwe mahakamani?
Hio video imewekwa Jana, its too soon for any results/reaction
This is a dynamic world, things are happening everywhere, ndani ya Kenya huwa Kuna mambo mengi Sana, wanahabari hawawezi hata siku moja kukosa la kusema, Leo hio wa Nairobi wameangazia ya global community, wa Mombasa wamengazia ya Ardhi Na Kenya itakua dhulma za polisi, wa garissa juzi waliangazia ya shida ya maji, thigs happen kila mahali ndani ya Kenya, usifikiri maamdamano ya trump ndo ilikua highlight of the day kwa wakenya
 
Kwikwikwi. Poor kenyans
 
Back
Top Bottom