Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Nyie bajeti mnajitegemea eeeh? Halafu hiyo mitandao ya kijamii iliyofungwa ni ipi?
Kweli wakenya kwa kutafuta kiki kama Gigy money vile .Yaani wanaume wazima na magovi yao wanaacha mambo ya msingi wanaenda kufanya upuuzi huo .khaaaaaaaaaaaaaaah,!!!!!!!
 
Siungi mkono kwa swala la Maandamano haya!!

Pili, Sielewi haya maandamano yanawasakata wabongo tumbo joto nini?

Tatu:
Kenya wanahaki ya kuandamana kwa sababu, zifuatazo,
1. Alipokuwa akipiga campaign Trump, Kenya was the only African Country he mentioned not less than three times!! With reasons.
2. Kenya ni serious partner of America and that is why even BBC referred to Africans in the USA as Kenyans leading to BBC being roasted on Twitter by KOT
BBC ROASTED BY KOT (KENYANS ON TWITTER) FOR ‘MAKING’ NKAISERRY NIGERIAN

3. Kenya has produced a USA President who is leaving the office still adored just like the way he entered! Kogalo unknown remote place has been transformed under his guidance under Mama Sara foundation (His grandmother)

So Kenyans are concerned, but why should Tanzania be concerned, in any case they are not mentioned anywhere, so they are poking their noses in places they are not invited!!
 
Wanaacha kuandamana kupinga mashambulizi wanaingilia ya wazungu....???
Ukienda vita si lazima ushambuliwe, a remote forward base of 66 KDF is attacked by 500 Alshabaab with tonnes of explosives yet they they are defeated!!! [HASHTAG]#KDFstrong[/HASHTAG]!! Propaganda from the Alshabaab has never killed Kenyan spirit!!! Wacha hizi ndege zije sasa tuwamalize kabisa!!!!!
 
Kenya mmewashindwa alshaabu...
Kwani mwanzo hamkuwa na ndege????
Nyie bila misaada hakuna muwezalo majirani....
Njooni muombe nguvu kwetu
 
Ndege za kumwagilia sumu ya wadudu mashambani au ndege John?
Ukienda vita si lazima ushambuliwe, a remote forward base of 66 KDF is attacked by 500 Alshabaab with tonnes of explosives yet they they are defeated!!! [HASHTAG]#KDFstrong[/HASHTAG]!! Propaganda from the Alshabaab has never killed Kenyan spirit!!! Wacha hizi ndege zije sasa tuwamalize kabisa!!!!!
 
Ndege za kumwagilia sumu ya wadudu mashambani au ndege John?
Sio Kama hizi zenu!!! 180Km/h hahaha! Eti seabird Seeker!
Seabird-Seeker-2-Jordan-740x444.jpg

Mtz hunaibu kukashifu ilhali kwenu taab tele!

Wacha tulete atleast hizo zetu zabeba laser guided missiles,
S2R%20weapons.jpg

hiyo yenu itafika mahali enatakikana kweli!!?
 
Trump has signed the billions for the Kenyan NGO's promised after Obama visit to Kenya
 
Waafrica n viumbe wa ajabu sana yan wanapenda kufuatilia mAmbo ya wazungu huku yao yako vibaya ama kweli kila anaemshangaa mtu mwenye kitambi hujikuta amepoteza nyama za mwili wake
 
Wewe hujui uhusiano wa Kenya na Marekani! Kenya sio nchi fiche kama Tanzania, Maswala ya Marekani ni muhimu sana kwetu Kenya, Kenya, Nigeria na South Afrika watu wetu kule marekani ni 2/3 of all Africans in the USA! Ki biashara, Marekani ni Muhimu sana kwa Kenya, Sahi imechukua number one kama nchi inayofanya biashara sana na Kenya, kitambo ilikuwa Britain!! Sasa usituambie eti hayatuhusu!!

China, Uingereza na nchi nyingi walivyofanya maandamano ya Trump walikuwa wanawazimu??
 
Wewe kaongo sana. Unajua Ethiopians na Somalis wako wangapi??
By the way, if people leave your country in multitude.... you need to put a ?
 
Maandamano yalifanyika Nchi nyingi sio Kenya tu. Waacheni waandamane wako huru.
 
Lame and crippled swahili mnanichosha kuelewa what is the meaning "enatakikana" rubbish
Sio Kama hizi zenu!!! 180Km/h hahaha! Eti seabird Seeker!
Seabird-Seeker-2-Jordan-740x444.jpg

Mtz hunaibu kukashifu ilhali kwenu taab tele!

Wacha tulete atleast hizo zetu zabeba laser guided missiles,
S2R%20weapons.jpg

hiyo yenu itafika mahali enatakikana kweli!!?
 
wakenya hawaishiwi vituko kuna mkenya aliwahi kuishitaki israeli kwa kifo cha Yesu kristo.
 
Sasa wakenya wakiwa wengi USA ndio mnapata seat Congress au Senate??? Au mnapata power federal?? Yaani mmarekani aache kuongea na their same color, power, economy shared blood and commons waje kwa kina kajamba nani Kenya even your gdp is lowest than Kentucky chicken farm.

Back
Top Bottom