evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
Sifa za kijinga hizoKenya ni sehem ya America, maana kuna citizen wao aliwahi kuiongoza Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa za kijinga hizoKenya ni sehem ya America, maana kuna citizen wao aliwahi kuiongoza Kenya.
Kweli wakenya kwa kutafuta kiki kama Gigy money vile .Yaani wanaume wazima na magovi yao wanaacha mambo ya msingi wanaenda kufanya upuuzi huo .khaaaaaaaaaaaaaaah,!!!!!!!Nyie bajeti mnajitegemea eeeh? Halafu hiyo mitandao ya kijamii iliyofungwa ni ipi?
And when we get to the end the race is over, no more recruitment.
Lol..I.dont.care.Whether my grammar was or wasn't 'comprehensive' to U[emoji28]..looser.By the way I was wondering if u guys are still...'protesting'???Come back when your grammar is comprehensible, pathetic!
I couldn't even read.
Ukienda vita si lazima ushambuliwe, a remote forward base of 66 KDF is attacked by 500 Alshabaab with tonnes of explosives yet they they are defeated!!! [HASHTAG]#KDFstrong[/HASHTAG]!! Propaganda from the Alshabaab has never killed Kenyan spirit!!! Wacha hizi ndege zije sasa tuwamalize kabisa!!!!!Wanaacha kuandamana kupinga mashambulizi wanaingilia ya wazungu....???
Kenya mmewashindwa alshaabu...Ukienda vita si lazima ushambuliwe, a remote forward base of 66 KDF is attacked by 500 Alshabaab with tonnes of explosives yet they they are defeated!!! [HASHTAG]#KDFstrong[/HASHTAG]!! Propaganda from the Alshabaab has never killed Kenyan spirit!!! Wacha hizi ndege zije sasa tuwamalize kabisa!!!!!
Ukienda vita si lazima ushambuliwe, a remote forward base of 66 KDF is attacked by 500 Alshabaab with tonnes of explosives yet they they are defeated!!! [HASHTAG]#KDFstrong[/HASHTAG]!! Propaganda from the Alshabaab has never killed Kenyan spirit!!! Wacha hizi ndege zije sasa tuwamalize kabisa!!!!!
Sio Kama hizi zenu!!! 180Km/h hahaha! Eti seabird Seeker!Ndege za kumwagilia sumu ya wadudu mashambani au ndege John?
Wewe hujui uhusiano wa Kenya na Marekani! Kenya sio nchi fiche kama Tanzania, Maswala ya Marekani ni muhimu sana kwetu Kenya, Kenya, Nigeria na South Afrika watu wetu kule marekani ni 2/3 of all Africans in the USA! Ki biashara, Marekani ni Muhimu sana kwa Kenya, Sahi imechukua number one kama nchi inayofanya biashara sana na Kenya, kitambo ilikuwa Britain!! Sasa usituambie eti hayatuhusu!!Waafrica n viumbe wa ajabu sana yan wanapenda kufuatilia mAmbo ya wazungu huku yao yako vibaya ama kweli kila anaemshangaa mtu mwenye kitambi hujikuta amepoteza nyama za mwili wake
Wewe kaongo sana. Unajua Ethiopians na Somalis wako wangapi??Wewe hujui uhusiano wa Kenya na Marekani! Kenya sio nchi fiche kama Tanzania, Maswala ya Marekani ni muhimu sana kwetu Kenya, Kenya, Nigeria na South Afrika watu wetu kule marekani ni 2/3 of all Africans in the USA! Ki biashara, Marekani ni Muhimu sana kwa Kenya, Sahi imechukua number one kama nchi inayofanya biashara sana na Kenya, kitambo ilikuwa Britain!! Sasa usituambie eti hayatuhusu!!
China, Uingereza na nchi nyingi walivyofanya maandamano ya Trump walikuwa wanawazimu??
Sio Kama hizi zenu!!! 180Km/h hahaha! Eti seabird Seeker!
![]()
Mtz hunaibu kukashifu ilhali kwenu taab tele!
Wacha tulete atleast hizo zetu zabeba laser guided missiles,
![]()
hiyo yenu itafika mahali enatakikana kweli!!?
Wewe hujui uhusiano wa Kenya na Marekani! Kenya sio nchi fiche kama Tanzania, Maswala ya Marekani ni muhimu sana kwetu Kenya, Kenya, Nigeria na South Afrika watu wetu kule marekani ni 2/3 of all Africans in the USA! Ki biashara, Marekani ni Muhimu sana kwa Kenya, Sahi imechukua number one kama nchi inayofanya biashara sana na Kenya, kitambo ilikuwa Britain!! Sasa usituambie eti hayatuhusu!!
China, Uingereza na nchi nyingi walivyofanya maandamano ya Trump walikuwa wanawazimu??