joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
#Habari:Maofisa Uhamiaji kituo cha Forodha cha mpaka mwa Kenya na Tanzania kilichopo Sirari wilaya ya Tarime mkoa wa Mara wamekamata wahamiahaji haramu 14 wanaodaiwa kuwa wa familia moja raia wa Kenya ambao wamekimbia toka nchini kwao baada ya jirani yao kufa kwa Corona. ITV on Twitter
Haya..Haya..Haya.. Kumekucha, mambo yameanza kuwa mazito kwa jirani. Wakenya wameanza kukumbwa na " Joto la Jiwe" nchini mwao baada ya wakenya kuanza kufariki mitaani, hivyo kusababisha taharuki kwa wengine la kulazimika kutorokea Tanzania kuokoa maisha yao.
cc.Tony254
Geza ulole
Mwaswast
Mass testing"
Sent using Jamii Forums mobile app