Wakenya waanza kukimbilia Tanzania kwa kuogopa Corona nchini kwao

Halafu jana ilikua wa Tanga kupeleka Zenji, leo naona wa Mwanza anaingia kwenu huko na kukatiza hadi Mwanza kwa raha zake hakuwekwa na mtu yeyote karantini, mwendo wa kuambukiza tu jameni mnafanya uzembe hadi basi tu, hebu fuata huu uzi Mamlaka za Tanzania haziko seriously kupambana na Corona, inakuwaje mgonjwa anatua JNIA anakwenda mwanza na hakuwekwa karantini? - JamiiForums
Nyuzi zoote nshapitia.......Ni kweli kuna uzembe unafanyika mahali...,japo kudhibiti kitu kwa asilimia 100% ni ngumu ila hiyo haihalalishi ujinga ujinga huu... Ila hata nyie ni wazembe vilevile sababu mngekuwa serious msingepata kiwango kikubwa cha maambukizi ya ndani😄
 
@ITVTANZANIA #Habari:Maofisa Uhamiaji kituo cha Forodha cha mpaka mwa Kenya na
Tanzania kilichopo Sirari wilaya ya
Tarime mkoa wa Mara wamekamata
wahamiahaji haramu 14 wanaodaiwa
kuwa wa familia moja raia wa Kenya
ambao wamekimbia toka nchini kwao baada ya jirani yao kufa kwa Corona. pic.twitter.com/sutI46n3ou 5:36 AM - 6 Apr 2020
Wabongo bana, hebu kuweni serious wakati mwingine. Yaani sasa huu ndio uanahabari nchini Tz? [emoji1][emoji1][emoji1] Aya moja tu, bila picha, bila video, bila hata interview yeyote kutoka kwa washukiwa, idara ya uhamiaji au hata wapita njia? Huu sio wakati wa porojo, kujimwambafy na kusifia sifia, ekeni umbumbumbu wenu wa kawaida kando kwa muda tafadhali.
 
Ni picha unataka!
Halafu hiyo habari ilikuwa na picha ila aliecopy hajacopy na picha,

Wacha nikupe video kabisa.
 
Nyuzi zoote nshapitia.......Ni kweli kuna uzembe unafanyika mahali...,japo kudhibiti kitu kwa asilimia 100% ni ngumu ila hiyo haihalalishi ujinga ujinga huu... Ila hata nyie ni wazembe vilevile sababu mngekuwa serious msingepata kiwango kikubwa cha maambukizi ya ndani😄
Hamna taifa lenye uwezo wa kuzuia maambukizi ya ndani, hata Marekani na ubabe wao wote kirusi kinazagaa ndani kwa ndani, lakini hapo kwa huyu wa Mwanza, yaani ina maana bado mnapokea abiria wa kutua kwa mindege, sisi tumefunga hata uwe mzawa hauingii.
Tunaruhusu ndege za mizigo tu basi.
Nyie hapo huyo katua na abiria kadhaa, akazuga Dar siku kadhaa, kisha huyooo mpaka Mwanza, kwanza akipona afungwe jela kabisa.
 
Ila na sie bhana😆😆😆😆...ngoja tuone
 
@ITVTANZANIA #Habari:Maofisa Uhamiaji kituo cha Forodha cha mpaka mwa Kenya na
Tanzania kilichopo Sirari wilaya ya
Tarime mkoa wa Mara wamekamata
wahamiahaji haramu 14 wanaodaiwa
kuwa wa familia moja raia wa Kenya
ambao wamekimbia toka nchini kwao baada ya jirani yao kufa kwa Corona. pic.twitter.com/sutI46n3ou 5:36 AM - 6 Apr 2020
Wabongo bana, hebu kuweni serious wakati mwingine. Yaani sasa huu ndio uanahabari nchini Tz? [emoji1][emoji1][emoji1] Aya moja tu, bila picha, bila video, bila hata interview yeyote kutoka kwa washukiwa, idara ya uhamiaji au hata wapita njia? Huu sio wakati wa porojo, kujimwambafy na kusifia sifia, ekeni umbumbumbu wenu wa kawaida kando kwa muda tafadhali.
Hiyo ni post fupi fupi wanaweka ITV kama " Breaking news" taarifa kamili wanarusha kwenye taarifa ya habari usiku.

Hili ndio tatizo lenu, lazima mtapinga hata kama watafanya yote hayo, ninyi hamuwezi kukubali mapungufu yenu, ndio sababu mnapata matatizo makubwa kila Mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa jombaa, dunia nzima itahamia Tz kwasababu huko hakuna Corona na virusi hivyo vinamuogopa jembe la kweli, JPM.
 
Tanzanian legislature should approve funding for the wall.

Then make the Kenyans pay for it by wringing their hands through tarriffs.

We are their biggest export market in the region, they need us more than we need them.

Kick them out. Make the northern border safe again.

Tanzania first.
 
Biggest export market according to statistics from your ass

Back
Top Bottom