joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
#Habari:Maofisa Uhamiaji kituo cha Forodha cha mpaka mwa Kenya na Tanzania kilichopo Sirari wilaya ya Tarime mkoa wa Mara wamekamata wahamiahaji haramu 14 wanaodaiwa kuwa wa familia moja raia wa Kenya ambao wamekimbia toka nchini kwao baada ya jirani yao kufa kwa Corona. ITV on Twitter
Haya..Haya..Haya.. Kumekucha, mambo yameanza kuwa mazito kwa jirani. Wakenya wameanza kukumbwa na " Joto la Jiwe" nchini mwao baada ya wakenya kuanza kufariki mitaani, hivyo kusababisha taharuki kwa wengine la kulazimika kutorokea Tanzania kuokoa maisha yao.
cc.Tony254
Geza ulole
Mwaswast
Mass testing"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu ni wabishi sana, wanajifanya wajuaji sana, ngoja kidogo waonje joto la jiwe, hovyo sana hawa jamaa.Aisee ulinzi uzidi mipakani tena baada ya tangazo hili
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala mwathadan
wacha utani babu kule inakimbilia 200 infections! sasa linganisha 200+ infections in Nairobi na 2 in Arusha and 22 in Tanzania!Kwani hiyo COVID-19 haipo Tanzania, au wameogopa kufa na njaa!!?
#Habari:Maofisa Uhamiaji kituo cha Forodha cha mpaka mwa Kenya na Tanzania kilichopo Sirari wilaya ya Tarime mkoa wa Mara wamekamata wahamiahaji haramu 14 wanaodaiwa kuwa wa familia moja raia wa Kenya ambao wamekimbia toka nchini kwao baada ya jirani yao kufa kwa Corona. ITV on Twitter
Haya..Haya..Haya.. Kumekucha, mambo yameanza kuwa mazito kwa jirani. Wakenya wameanza kukumbwa na " Joto la Jiwe" nchini mwao baada ya wakenya kuanza kufariki mitaani, hivyo kusababisha taharuki kwa wengine la kulazimika kutorokea Tanzania kuokoa maisha yao.
cc.Tony254
Geza ulole
Mwaswast
Mass testing"
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahio unafurahi watu wanakufa , kwahio wewe vifo vya wengine furaha kwakoMidege ya KQ imewaponza hawa nyang'au.
Huyo ni mzee wa " mass testing".MK254 pitia hapa uone wacha kuchungulia.....Uhalisia ndo upo hivyo sio zile porojo zako.
Sasa unataka nikae kimya, au. Hebu niambie ni wapi nimefurahia?kwahio unafurahi watu wanakufa , kwahio wewe vifo vya wengine furaha kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
MK254 pitia hapa uone wacha kuchungulia.....Uhalisia ndo upo hivyo sio zile porojo zako.
Porojo mingiAsante kwa kuniita japo sioni chochote cha kuchangia hapa, maana labda Mkenya bogus anaweza kukimbilia kuja kwa nchi ambayo yenyewe kwa umaskini imelemewa na zoezi la kuendelea kupima watu wake mpaka kunatokea matukio ya raia wake kutokea Tanga kwenda kuambukiza Zanzibar, ikikumbukwa Tanga haijawahi kutajwa popote wakati mlikua mnajitutumua kupima.
Ni wazi kwenu huko kirusi kimezagaa sema ni ile kwa Afrika hakiui wala kuathiri sana, hivyo hata kikiwa mtaani ni vigumu kujua kama ni chenyewe, hii mpaka sasa inajadiliwa na wataalam imekuaje Afrika vifo ni vichache sana. Kuna Watanzania wanajiaminisha waliwahi kuumwa Corona, hebu fuata huu uzi Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19 - JamiiForums
Halafu hizi taarifa nahisi zimekaa kipropaganda zaidi, hata kama ingekua kuna Mkenya anatoroka, labda atoroke kutoka Nairobi maana kesi 82% ni za Nairobi, kwingine mamilioni ya Wakenya wanasoma tu kwenye magazeti wala hawana habari, sasa iweje Mkenya wa huko karibu na Sirari atoroke nchi.
Ndio maana Nairobi na gatuzi kadhaa za Pwani zimeongezewa curfew zaidi.
Mortality rate ya Corona virus ni 2 - 3%, hadi sasa vifo Afrika ni kama ifuatavyoAsante kwa kuniita japo sioni chochote cha kuchangia hapa, maana labda Mkenya bogus anaweza kukimbilia kuja kwa nchi ambayo yenyewe kwa umaskini imelemewa na zoezi la kuendelea kupima watu wake mpaka kunatokea matukio ya raia wake kutokea Tanga kwenda kuambukiza Zanzibar, ikikumbukwa Tanga haijawahi kutajwa popote wakati mlikua mnajitutumua kupima.
Ni wazi kwenu huko kirusi kimezagaa sema ni ile kwa Afrika hakiui wala kuathiri sana, hivyo hata kikiwa mtaani ni vigumu kujua kama ni chenyewe, hii mpaka sasa inajadiliwa na wataalam imekuaje Afrika vifo ni vichache sana. Kuna Watanzania wanajiaminisha waliwahi kuumwa Corona, hebu fuata huu uzi Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19 - JamiiForums
Halafu hizi taarifa nahisi zimekaa kipropaganda zaidi, hata kama ingekua kuna Mkenya anatoroka, labda atoroke kutoka Nairobi maana kesi 82% ni za Nairobi, kwingine mamilioni ya Wakenya wanasoma tu kwenye magazeti wala hawana habari, sasa iweje Mkenya wa huko karibu na Sirari atoroke nchi.
Ndio maana Nairobi na gatuzi kadhaa za Pwani zimeongezewa curfew zaidi.
Haya mkuu relaxππππAsante kwa kuniita japo sioni chochote cha kuchangia hapa, maana labda Mkenya bogus anaweza kukimbilia kuja kwa nchi ambayo yenyewe kwa umaskini imelemewa na zoezi la kuendelea kupima watu wake mpaka kunatokea matukio ya raia wake kutokea Tanga kwenda kuambukiza Zanzibar, ikikumbukwa Tanga haijawahi kutajwa popote wakati mlikua mnajitutumua kupima.
Ni wazi kwenu huko kirusi kimezagaa sema ni ile kwa Afrika hakiui wala kuathiri sana, hivyo hata kikiwa mtaani ni vigumu kujua kama ni chenyewe, hii mpaka sasa inajadiliwa na wataalam imekuaje Afrika vifo ni vichache sana. Kuna Watanzania wanajiaminisha waliwahi kuumwa Corona, hebu fuata huu uzi Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19 - JamiiForums
Halafu hizi taarifa nahisi zimekaa kipropaganda zaidi, hata kama ingekua kuna Mkenya anatoroka, labda atoroke kutoka Nairobi maana kesi 82% ni za Nairobi, kwingine mamilioni ya Wakenya wanasoma tu kwenye magazeti wala hawana habari, sasa iweje Mkenya wa huko karibu na Sirari atoroke nchi.
Ndio maana Nairobi na gatuzi kadhaa za Pwani zimeongezewa curfew zaidi.
Haya mkuu relaxππππ
Ntawasikiliza viongozi wangu ndioππWasklizeni wazee wa nchi, wanao uwezo wa kuona mbali maana walikuwepo kabla hamjazaliwa, huyu hapa mmoja wao