Haya mkuu relaxππππ
Nyuzi zoote nshapitia.......Ni kweli kuna uzembe unafanyika mahali...,japo kudhibiti kitu kwa asilimia 100% ni ngumu ila hiyo haihalalishi ujinga ujinga huu... Ila hata nyie ni wazembe vilevile sababu mngekuwa serious msingepata kiwango kikubwa cha maambukizi ya ndaniπHalafu jana ilikua wa Tanga kupeleka Zenji, leo naona wa Mwanza anaingia kwenu huko na kukatiza hadi Mwanza kwa raha zake hakuwekwa na mtu yeyote karantini, mwendo wa kuambukiza tu jameni mnafanya uzembe hadi basi tu, hebu fuata huu uzi Mamlaka za Tanzania haziko seriously kupambana na Corona, inakuwaje mgonjwa anatua JNIA anakwenda mwanza na hakuwekwa karantini? - JamiiForums
Kwani kusikitika ndiyo tiba ya corona?kwahio unafurahi watu wanakufa , kwahio wewe vifo vya wengine furaha kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi itakuwa kwa sabbu ya njaaKwani hiyo COVID-19 haipo Tanzania, au wameogopa kufa na njaa!!?
Ni picha unataka!@ITVTANZANIA #Habari:Maofisa Uhamiaji kituo cha Forodha cha mpaka mwa Kenya na
Tanzania kilichopo Sirari wilaya ya
Tarime mkoa wa Mara wamekamata
wahamiahaji haramu 14 wanaodaiwa
kuwa wa familia moja raia wa Kenya
ambao wamekimbia toka nchini kwao baada ya jirani yao kufa kwa Corona. pic.twitter.com/sutI46n3ou 5:36 AM - 6 Apr 2020 Wabongo bana, hebu kuweni serious wakati mwingine. Yaani sasa huu ndio uanahabari nchini Tz? [emoji1][emoji1][emoji1] Aya moja tu, bila picha, bila video, bila hata interview yeyote kutoka kwa washukiwa, idara ya uhamiaji au hata wapita njia? Huu sio wakati wa porojo, kujimwambafy na kusifia sifia, ekeni umbumbumbu wenu wa kawaida kando kwa muda tafadhali.
Corona sio mashindano ya simba na yanga. Hakuna aliye salama si Kenya wala Tz.Hawa watu ni wabishi sana, wanajifanya wajuaji sana, ngoja kidogo waonje joto la jiwe, hovyo sana hawa jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna taifa lenye uwezo wa kuzuia maambukizi ya ndani, hata Marekani na ubabe wao wote kirusi kinazagaa ndani kwa ndani, lakini hapo kwa huyu wa Mwanza, yaani ina maana bado mnapokea abiria wa kutua kwa mindege, sisi tumefunga hata uwe mzawa hauingii.Nyuzi zoote nshapitia.......Ni kweli kuna uzembe unafanyika mahali...,japo kudhibiti kitu kwa asilimia 100% ni ngumu ila hiyo haihalalishi ujinga ujinga huu... Ila hata nyie ni wazembe vilevile sababu mngekuwa serious msingepata kiwango kikubwa cha maambukizi ya ndaniπ
Ila na sie bhanaππππ...ngoja tuoneHamna taifa lenye uwezo wa kuzuia maambukizi ya ndani, hata Marekani na ubabe wao wote kirusi kinazagaa ndani kwa ndani, lakini hapo kwa huyu wa Mwanza, yaani ina maana bado mnapokea abiria wa kutua kwa mindege, sisi tumefunga hata uwe mzawa hauingii.
Tunaruhusu ndege za mizigo tu basi.
Nyie hapo huyo katua na abiria kadhaa, akazuga Dar siku kadhaa, kisha huyooo mpaka Mwanza, kwanza akipona afungwe jela kabisa.
Hiyo ni post fupi fupi wanaweka ITV kama " Breaking news" taarifa kamili wanarusha kwenye taarifa ya habari usiku.@ITVTANZANIA #Habari:Maofisa Uhamiaji kituo cha Forodha cha mpaka mwa Kenya na
Tanzania kilichopo Sirari wilaya ya
Tarime mkoa wa Mara wamekamata
wahamiahaji haramu 14 wanaodaiwa
kuwa wa familia moja raia wa Kenya
ambao wamekimbia toka nchini kwao baada ya jirani yao kufa kwa Corona. pic.twitter.com/sutI46n3ou 5:36 AM - 6 Apr 2020 Wabongo bana, hebu kuweni serious wakati mwingine. Yaani sasa huu ndio uanahabari nchini Tz? [emoji1][emoji1][emoji1] Aya moja tu, bila picha, bila video, bila hata interview yeyote kutoka kwa washukiwa, idara ya uhamiaji au hata wapita njia? Huu sio wakati wa porojo, kujimwambafy na kusifia sifia, ekeni umbumbumbu wenu wa kawaida kando kwa muda tafadhali.
Sawa jombaa, dunia nzima itahamia Tz kwasababu huko hakuna Corona na virusi hivyo vinamuogopa jembe la kweli, JPM.Hiyo ni post fupi fupi wanaweka ITV kama " Breaking news" taarifa kamili wanarusha kwenye taarifa ya habari usiku.
Hili ndio tatizo lenu, lazima mtapinga hata kama watafanya yote hayo, ninyi hamuwezi kukubali mapungufu yenu, ndio sababu mnapata matatizo makubwa kila Mara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako Kenya ilifunga boda zamani sana mwezi machi na patrols za kuzuia uhamiaji haramu zinaendelea hadi sasa hivi. Patrols Intensified along Kenya-Tanzania border to thwart illegal border crossings β Kenya News AgencyMpaka wa Kenya ufungwe tu! hamna namna.
Kwa taarifa yako Kenya ilifunga boda zamani sana mwezi machi na patrols za kuzuia uhamiaji haramu zinaendelea hadi sasa hivi. Patrols Intensified along Kenya-Tanzania border to thwart illegal border crossings β Kenya News Agency
AgreedNasikia Kenya wanacook data ili wapewe msaada na WHO
Ivi we mshenzi Magufuli alikufanyaga nini? Huwezi kuongea sentence mbili bila kumtaja?Sawa jombaa, dunia nzima itahamia Tz kwasababu huko hakuna Corona na virusi hivyo vinamuogopa jembe la kweli, JPM.
Tanzanian legislature should approve funding for the wall.
Then make the Kenyans pay for it by wringing their hands through tarriffs.
We are their biggest export market in the region, they need us more than we need them.
Kick them out. Make the northern border safe again.
Tanzania first.