Wakenya waanza kukimbilia Tanzania kwa kuogopa Corona nchini kwao

Tanga imepakana na kenya na kuna uwezekano mkubwa watu waliotembelea kenya na kuja kwao tanzania wakawa wanamaambukizi

Halafu swala la umasikini mi nalipima kwa njaa, nchi ambayo watu wake wanakufa kwa njaa hata iwe na maghorofa kama burj khalifa bado itakua ni maskini tu

Mpaka saizi idadi ya wagonjwa waliopona wamefikia watano, sijui nyie kenya mpaka saizi wamepona wangapi
 
Wamepona 12
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hili suala la Corona, Watanzania mnahitaji elimu sana maana mnadhirisha uelewa wenu mdogo sana kwa hili, fahamu ile tu kwamba una mgonjwa mmoja na haujafuataa kila aliyegusana naye, hapo tayari unalo. Haijalshi kama Tanga imepakana na Kenya au vinginevyo, kwa sasa kuna waathirika watatu Kenya wametokea Tanzania na kirusi, ina maana huko mnaogelea kwa kirusi kimya kimya.
Kama ulimskliza waziri wako wa afya jana utagundua kitu, kwa mara ya kwanza ameanza kuongea kama mawaziri wa matifa mengine, mbwembwe zenu za kuchukulia poa hiki kirusi zimeisha.
Mumekua wazembe sana, Mtanzania anatokea Dubai na kukaa Dar siku sita kisha anaenda mpaa Mwanza, kote huko anaachia kirusi mpaka mnamkamata alikua ameachia mbegu balaa.
 
Ivi we mshenzi Magufuli alikufanyaga nini? Huwezi kuongea sentence mbili bila kumtaja?

Alikuibia mke nini?
Leo ni mara ya pili nakuuliza hivi

Magufuli hatambui hata kuna parasite kama wewe
Jamaa anam hate kinoma yani, nina uhakika ni moja ya jina lililotamalaki sana kwenye comments za huyu nyang'au hapa JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

wewe tatizo lako nn si tutakufa sisi? wewe utabaki


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe tatizo lako nn si tutakufa sisi? wewe utabaki


Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla mufe mtaacha mumetuponza maana tuna muingiliano mkubwa baina yetu, tunachangia makabila na pia jamii, hivyo utepetevu na uzembe wenu utatugharimu pia licha ya juhudi zetu.
Huku tumewekewa curfew ya kutotoka nje usiku, tunavumilia na kupambana, ila wapuzi serikalini wanaruhusu Watanzania waingie ingie tu ilhali kwao huko hakuna tahadhari, watu bado wanabanana kwenye madaladala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…