Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Ni kawaida Wakenya kujiachia msimu wa Krisimasi na sherehe za kuruka mwaka, huwa tunatoka na kwenda kote kote, leo hii hakuna nafasi kwenye SGR, tiketi zimeuzwa zote maana Wakenya wamejiandaa kwenda Pwani kwa maelfu, kuna wale watakwenda hata vijijini.

Na pia kunao wanaovuka mipaka na kwenda Arusha au Zanzibar.
Watanzania mna mengi ya kujifunza, sio kuganda kwenye ghetto za Dar ni kama mliorogewa huko, yaani kwa Tanzania yote Wachagga tu ndio hufanya kama Wakenya, wao husafiri sana na kurudi Moshi, ila wengine wote mnabaki kusota mitaani tu, nchi yenu hamuitalii wenyewe....bure kabisa
Mimi hapa tumejiandaa na binamu zangu wote tunataka kufanya issue kali ya kukumbukwa miaka yote.
 
Hahahahaha, kwanini Tanzania tu msiende Ethiopia, Uganda au South Sudan?. Tunapokea warundi, Wazambia, Waganda, Wanyarwanda na wakenya in big numbers every year.

Haya ni matunda ya Ujamaa, Amani, umoja na upendo ndivyo vivutio vikuu vya Tanzania, 32% ya eneo la Tanzania limetengwa kama maeneo ya hifadhi, ndio huko mbakosema tuna vivutio vingi vya utalii, tungefuata ubepari maeneo yote haya yangekuwa mikononi mwa wanasiasa na matajiri.
 
Ukweli ni kwamba waKenya wana ahueni sana kimaisha ndiyo maana wanaweza kusave na kuja ketembea huko Arusha, Moshi na kwingineko. Tujiulize sisi ni watu wetu wangapi wanauwezo wa kwenda holiday Kenya?
 
Ukweli ni kwamba waKenya wana ahueni sana kimaisha ndiyo maana wanaweza kusave na kuja ketembea huko Arusha, Moshi na kwingineko. Tujiulize sisi ni watu wetu wangapi wanauwezo wa kwenda holiday Kenya?
Good question
 
Wakenya wanaoenda uganda ni wengikushinda wanaoenda tz
 
Right of my opinion just like u will like Tanzania without CCM meaning u hate Tanzania with CCM!
boss,I dint say anything about ccm, i like tanzania with ccm or not,with ur hatred for kenyans or not,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kweli naona wana mahaba ya hatari na Tanzania mpaka marketing ya aina hii inafanyika ujue sio mchezo wanaingia kwa wingi zaidi hata bei ni ghali mno laki 6 kwa siku 4 ni pesa nyingi sana kwa hayo maeneo wanayotembelea
It's cheaper kwao, organizers wanapiga cha juu cha kutosha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…