MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ni kawaida Wakenya kujiachia msimu wa Krisimasi na sherehe za kuruka mwaka, huwa tunatoka na kwenda kote kote, leo hii hakuna nafasi kwenye SGR, tiketi zimeuzwa zote maana Wakenya wamejiandaa kwenda Pwani kwa maelfu, kuna wale watakwenda hata vijijini.
Na pia kunao wanaovuka mipaka na kwenda Arusha au Zanzibar.
Watanzania mna mengi ya kujifunza, sio kuganda kwenye ghetto za Dar ni kama mliorogewa huko, yaani kwa Tanzania yote Wachagga tu ndio hufanya kama Wakenya, wao husafiri sana na kurudi Moshi, ila wengine wote mnabaki kusota mitaani tu, nchi yenu hamuitalii wenyewe....bure kabisa
Mimi hapa tumejiandaa na binamu zangu wote tunataka kufanya issue kali ya kukumbukwa miaka yote.