Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

sasa hizo lakes zote ni maji tunaenda kukunywa ama,mambo ya familia tutapatana nao 25 and 26th, 27 to 1st lazima tuingie msituni kwa lodge tukaona wanyama and plot next year
 
i forgot to mention their rich kids study in tangaza college,usiu and cuea,
 
Ufara umekujaa from your toes to yo head. Ati hiyo mikoa miwili imeshikilia uchumi wa Tz. Embu fuatilia mikoa inayochangia kipato kikubwa kwenye uchumi wetu uone positions za hiyo mikoa.

Soma na urudie mara kumi nilichokisema, nimesema watu wa mikoa hiyo wamezagaa kote kote, hivyo kwa kifupi ndio wameshikilia uchumi wenu. Hata ukiangalia ndani ya kumi bora ya matajiri wanaoimiliki Tanzania, kuna Mtanganyika mweusi mmoja tu bwana Mengi na ametokea huko.
 
Hahahaha, then Ugandans see Kenya the same way?. Tanzania is big brother of EAC, every east African would wish one day to visit, work or live in Tanzania
That is one of the reason for some Kenyans to be in JF. Sijawahi kukutana na Mkenya akiwa Tz akawa na hamu ya kurudi Kenya, kuna jirani yangu ame hukana uraia wa Kenya sasa ni Mtz. The guy is well connected na anapiga pesa, kila akilewa yeye anaisifu Tz na kuiponda Kenya. I admit he is a plus to our economy anapambana sana.
 
We punguwani kweli.na wamerikani na wazungu wengine wanaokuja kutumia Fedha zao unawaelezeaje. Kijana stuka unaishi kwenye umasikini ndio maana unashindwa kufika hata Nairobi au Mombasa kula bata
 
Walishakuja mda mrefu , ni wa kwanza kwa uwekezaji Tz . Ukiulizwa nchi ya kwanza kwa uwekezaji Tz ni Kenya . Karibu wanachukua njia zote za uchumi na Tz tumelalia masikio .
 
Mzee, huku kuna matajiri zaidi ya hao wa kwenye list mzee baba, ww bongo huijui.
 
Tusidanganyane hapa Watani, je kama Tanzagiza INA middle-class families wengi kuliko Kenya mbona hatuwasikii wakitalii Nchi zingine? official data please.
 
Walishakuja mda mrefu , ni wa kwanza kwa uwekezaji Tz . Ukiulizwa nchi ya kwanza kwa uwekezaji Tz ni Kenya . Karibu wanachukua njia zote za uchumi na Tz tumelalia masikio .
Kwanza investment is all what we need, regardless from which country, getting Kenya investors is plus for Tanzania and minus for Kenya because investment means more jobs, more taxes, more money. Kenya tanks forth after UK, India and South Africa.
 
Waganda wanatalii Kenya zaidi ya Kenya mnavyoenda Uganda, je waganda ni matajiri zaidi ya Kenya?. Tanzania hamuwezi kuikwepa, lazima iwaguse wakenya katika maeneo yote.
Tusidanganyane hapa Watani, je kama Tanzagiza INA middle-class families wengi kuliko Kenya mbona hatuwasikii wakitalii Nchi zingine? official data please.
 
Teh teh teh tihiii
yaani povu kama nakuona.
middle income economy anamwagika foma balaa.
 
Waganda wanatalii Kenya zaidi ya Kenya mnavyoenda Uganda, je waganda ni matajiri zaidi ya Kenya?. Tanzania hamuwezi kuikwepa, lazima iwaguse wakenya katika maeneo yote.
Ila ukasahau kuweka official data ukakurupuka ki-JF(mdomo kubwa, facts hamna).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…