Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Stop comparing Tanzania and Kenya on tourism, stop that behavior immediately, we have lots of lakes from Lake Nyasa, Tanganyika, Victoria plenty of Tanzanian tourists are marching there for the holidays exploring beautiful beaches and nature,

Ni ulimbukeni kwenda national park (wildlife reserves) as retreat destinations on this season which needs mind calmness points instead of wild experience. Moreover this is the time to spend with families most Tanzanians going to join their families to plot new opportunities for the fresh year.
sasa hizo lakes zote ni maji tunaenda kukunywa ama,mambo ya familia tutapatana nao 25 and 26th, 27 to 1st lazima tuingie msituni kwa lodge tukaona wanyama and plot next year
 
Matajiri wote wa Arusha na Kilimanjaro huja Nairobi kula bata, hiyo mikoa miwili ndio huwa imeshikilia uchumi wa Tanzania maana wenyeji wake ndio wamezagaa kote wakifanya biashara.
Lakini Watanzania wa kutokea kwengine kama Dodoma, Kigoma, Morogoro n.k. huwa wamefulia, na ndio hawa huwa wamejaa humu wakiiponda Kenya, kawaida yao hata wakija Kenya huishia kwenye gesti za bei ya chini.
Angalia sana mikoa ya CCM ndio huongoza kwa umaskini maana wamelemazwa kiakili.
i forgot to mention their rich kids study in tangaza college,usiu and cuea,
 
Ufara umekujaa from your toes to yo head. Ati hiyo mikoa miwili imeshikilia uchumi wa Tz. Embu fuatilia mikoa inayochangia kipato kikubwa kwenye uchumi wetu uone positions za hiyo mikoa.

Soma na urudie mara kumi nilichokisema, nimesema watu wa mikoa hiyo wamezagaa kote kote, hivyo kwa kifupi ndio wameshikilia uchumi wenu. Hata ukiangalia ndani ya kumi bora ya matajiri wanaoimiliki Tanzania, kuna Mtanganyika mweusi mmoja tu bwana Mengi na ametokea huko.
 
Hahahaha, then Ugandans see Kenya the same way?. Tanzania is big brother of EAC, every east African would wish one day to visit, work or live in Tanzania
That is one of the reason for some Kenyans to be in JF. Sijawahi kukutana na Mkenya akiwa Tz akawa na hamu ya kurudi Kenya, kuna jirani yangu ame hukana uraia wa Kenya sasa ni Mtz. The guy is well connected na anapiga pesa, kila akilewa yeye anaisifu Tz na kuiponda Kenya. I admit he is a plus to our economy anapambana sana.
 
We punguwani kweli.na wamerikani na wazungu wengine wanaokuja kutumia Fedha zao unawaelezeaje. Kijana stuka unaishi kwenye umasikini ndio maana unashindwa kufika hata Nairobi au Mombasa kula bata
 
Walishakuja mda mrefu , ni wa kwanza kwa uwekezaji Tz . Ukiulizwa nchi ya kwanza kwa uwekezaji Tz ni Kenya . Karibu wanachukua njia zote za uchumi na Tz tumelalia masikio .
 
Soma na urudie mara kumi nilichokisema, nimesema watu wa mikoa hiyo wamezagaa kote kote, hivyo kwa kifupi ndio wameshikilia uchumi wenu. Hata ukiangalia ndani ya kumi bora ya matajiri wanaoimiliki Tanzania, kuna Mtanganyika mweusi mmoja tu bwana Mengi na ametokea huko.
Mzee, huku kuna matajiri zaidi ya hao wa kwenye list mzee baba, ww bongo huijui.
 
Tusidanganyane hapa Watani, je kama Tanzagiza INA middle-class families wengi kuliko Kenya mbona hatuwasikii wakitalii Nchi zingine? official data please.
 
Walishakuja mda mrefu , ni wa kwanza kwa uwekezaji Tz . Ukiulizwa nchi ya kwanza kwa uwekezaji Tz ni Kenya . Karibu wanachukua njia zote za uchumi na Tz tumelalia masikio .
Kwanza investment is all what we need, regardless from which country, getting Kenya investors is plus for Tanzania and minus for Kenya because investment means more jobs, more taxes, more money. Kenya tanks forth after UK, India and South Africa.
 
Waganda wanatalii Kenya zaidi ya Kenya mnavyoenda Uganda, je waganda ni matajiri zaidi ya Kenya?. Tanzania hamuwezi kuikwepa, lazima iwaguse wakenya katika maeneo yote.
Tusidanganyane hapa Watani, je kama Tanzagiza INA middle-class families wengi kuliko Kenya mbona hatuwasikii wakitalii Nchi zingine? official data please.
 
Likija suala la barabara yaani pamoja na kwamba Tanzania ni kubwa kuzidi Kenya karibia mara mbili lakini Kenya inaizidi Tanzania kwa mtandao wa barabara tena zenye ubora...that's a fact. Tunaizidi Tanzania kwa kila kitu. Kumbuka middle-class wa nchi ndio hutalii nchi yao, sasa nyie kwenu wachache ndio wamekidhi uchumi wa kati, wengi wenu walalahoi wa Dar.
Asilimia 70% ya Watanzania ni maskini wa kutupwa hiyo ni kwa mujibu wa taarifa za benki kuu, mumetujazia omba omba Kenya, yaani Tanzania ndio nchi pekee ukanda huu wote ambayo raia wake hutoka nje ya nchi kwenda kujidharirisha kwa kuishi kama omba omba.
Halafu hapa EAC, Watanzania ndio wanalipwa mishahara duni, hilo tumeona juzi taarifa za utafiti zilizochapishwa humu. Halafu ukizingatia utawala wa leo jinsi umewakazia, vyuma vimekaza kote mnalia kilio cha mateso kwa jinsi mumekosa hela kitaani, sasa za kutalii mtatoa wapi.
Nimeona wengi mumeanza kumlilia Membe aje awakwamue ili mpate afueni hata ya kula bata.

Teh teh teh tihiii
yaani povu kama nakuona.
middle income economy anamwagika foma balaa.
 
Waganda wanatalii Kenya zaidi ya Kenya mnavyoenda Uganda, je waganda ni matajiri zaidi ya Kenya?. Tanzania hamuwezi kuikwepa, lazima iwaguse wakenya katika maeneo yote.
Ila ukasahau kuweka official data ukakurupuka ki-JF(mdomo kubwa, facts hamna).
 
Back
Top Bottom