Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Lol.The fact remains that you have poor quality roads.
Murram roads hadi kwa CBD. shaka.View attachment 960013
LOL those mere blog lists don't give us headache, I don't even know how accurate statistics he used to rank them and how updated are they, since we are building roads each year at least 10 new projects are initiated, example this month African development pank authorised the loan to build more than 350 hundred kilometers of road from Kigoma to Burundi boarder, next month another more than 300 kilometres from the same bank will be issued to be built from Tanga to Pwani through Bagamoyo which will pass along the ocean.

These are just examples of the recent projects so how are they considered in that rank? We built up thousands of kilometers in a short period of time
 
Utamdanganya mtu ambae hajafika Kenya ila sio mimi

Hizo counties fukara nilizozitaja kila mtu huko dream yake ni kufika Nairobi ili atoke kimaisha sababu Kenya development is now marginalised bali ni kwenye counties chache hasa zilizotoa viongozi serikalini kuendana na makabila yao

Lakini pia hizo counties ni masikini wa kutupwa sababu ya ufinyu wa natural resources hawana kitu kinaitwa nature capital like fertile land, forests, minerals, attraction sites hivyo hawana alternative ya other means like industrial parks au other means of productions ndio maana wapo fukara

Unlike Tanzania, resources are everywhere hakuna kijana mwenye dream ya kwenda Dar labda apeleke mazao yake huko na bahati nzuri Tanzania development projects are marginalised equally Barabara za lami kila mkoa, umeme, huduma za maji, huduma za afya na elimu hakuna tofauti kubwa za kimikoa Tanzania

Ndio maana a tiny Nairobi is carrying multitude of population beyond its capacity limited resources tofauti na Dar mji mkubwa watu kidogo lakini Nairobi mji Mdogo watu wengi.

Kufika Kenya sio kuijua Kenya, wengi wenu mnaokuja Kenya huwa mumefulia kiasi kwamba mnalala kwenye gesti za hali ya chini ndio maana hamuna ufahamu wa Kenya ilivyo. Kwa kifupi takwimu za kitaalam zinaonyesha tofauti kubwa sana baina yetu, uchumi wetu unazidi kuuacha wa Tanzania kwa mbali, gap inazidi kuongezeka.
 
Sio kwamba watanzania hawatalii me binafsi nina uzoefu mkubwa kwenye industry ya tourism Tanzania

The fact ni kwamba Tanzania kila mkoa una at least two massive national parks, mind you 35% of the great Tanzania is the reserve area bigger land, sasa ni mwananchi gani ataenda Kenya kwa ajili ya utalii?

Mfano unapotoka Namanga ukifika Longido kuanzia Longido mpaka karibu na Ngaramtoni all that bigger land has plenty of wildlife of different varieties lakini wala hata sio National Park lakini kuna zebras, impala, giraffes, lions and so forth sasa mwananchi wa hapo aende Kenya kufuata nini?
What a lame excuse,besides kenyans travelling to tanzania, we hav many domestic packages to visit tsavo,mombasa,maasai mara, samburu,rift valley e.t.c
 
Kufika Kenya sio kuijua Kenya, wengi wenu mnaokuja Kenya huwa mumefulia kiasi kwamba mnalala kwenye gesti za hali ya chini ndio maana hamuna ufahamu wa Kenya ilivyo. Kwa kifupi takwimu za kitaalam zinaonyesha tofauti kubwa sana baina yetu, uchumi wetu unazidi kuuacha wa Tanzania kwa mbali, gap inazidi kuongezeka.
I noticed a trend among tanzanians,wenye wanakuja kula bata kenya are rich tanzanians,infact most of them love kenya alot
 
You are a very prejudiced guy I say.
This is northern Kenya, turkanaView attachment 960016
Nyanyangu, Kenya is far behind of Tanzania as far as barabara za lami are concerned, ninajitolea kukuzungusha Tanzania nzima gharama zote juu yangu, wewe tenga siku Kumi kuanzia 15th this month, ukirudi Kenya, sidhani kama utafungu mdomo kulinganisha Kenya na Tanzania.
 
I noticed a trend among tanzanians,wenye wanakuja kula bata kenya are rich tanzanians,infact most of them love kenya alot

Matajiri wote wa Arusha na Kilimanjaro huja Nairobi kula bata, hiyo mikoa miwili ndio huwa imeshikilia uchumi wa Tanzania maana wenyeji wake ndio wamezagaa kote wakifanya biashara.
Lakini Watanzania wa kutokea kwengine kama Dodoma, Kigoma, Morogoro n.k. huwa wamefulia, na ndio hawa huwa wamejaa humu wakiiponda Kenya, kawaida yao hata wakija Kenya huishia kwenye gesti za bei ya chini.
Angalia sana mikoa ya CCM ndio huongoza kwa umaskini maana wamelemazwa kiakili.
 
What a lame excuse,besides kenyans travelling to tanzania, we hav many domestic packages to visit tsavo,mombasa,maasai mara, samburu,rift valley e.t.c
Stop comparing Tanzania and Kenya on tourism, stop that behavior immediately, we have lots of lakes from Lake Nyasa, Tanganyika, Victoria plenty of Tanzanian tourists are marching there for the holidays exploring beautiful beaches and nature,

Ni ulimbukeni kwenda national park (wildlife reserves) as retreat destinations on this season which needs mind calmness points instead of wild experience. Moreover this is the time to spend with families most Tanzanians going to join their families to plot new opportunities for the fresh year.
 
In 2015 we had more than 85,000 kilometers tarmac roads
Deluded Tanzanians. In matters of infrastructure you are as behind as a dinosaur's tail. You have the poorest road network in the region. Rwanda,Kenya and Uganda leads in quality roads.
Always living in denial and exaggerating achievements. When will you stop?
 
Matajiri wote wa Arusha na Kilimanjaro huja Nairobi kula bata, hiyo mikoa miwili ndio huwa imeshikilia uchumi wa Tanzania maana wenyeji wake ndio wamezagaa kote wakifanya biashara.
Lakini Watanzania wa kutokea kwengine kama Dodoma, Kigoma, Morogoro n.k. huwa wamefulia, na ndio hawa huwa wamejaa humu wakiiponda Kenya, kawaida yao hata wakija Kenya huishia kwenye gesti za bei ya chini.
Angalia sana mikoa ya CCM ndio huongoza kwa umaskini maana wamelemazwa kiakili.
Ufara umekujaa from your toes to yo head. Ati hiyo mikoa miwili imeshikilia uchumi wa Tz. Embu fuatilia mikoa inayochangia kipato kikubwa kwenye uchumi wetu uone positions za hiyo mikoa.
 
As usual, a simple advert made by a touring company is enough for an idiot to open a thread and shout how Tanzania is better than Kenya.
 
As usual, a simple advert made by a touring company is enough for an idiot to open a thread and shout how Tanzania is better than Kenya.
Watu wameleta link zinaonyesha takwimu, hujaziona! au umevaa miwani ya mbao..
 
Back
Top Bottom