Wakenya waanza kusalimu amri na kukubaliana na Magufuli, waomba Uhuru Kenyatta kuiga mbinu za Magufuli

jiccho moja au ni jicho kombo, ziondoe post zangu tu lakini nabadika tu!!!! umeondoa reply zangu zote..bure kabisaa!
@umwalimu
hapo ni makaburi ya kigogo! Wanazika aliyekuwa mhudumu wa kituo cha kupokea wagonjwa wa corona


Dogodogo Centre! Halafu ulivyo laanika na kukosa aibu bado unachangisha hela za kununua PPE Endeleeni tu !
Translate Tweet



6:16 AM · May 7, 2020·Twitter for iPhone
 
Punguza dozi jombaa, sasa hivi hata wenyekiti wa minada ya ng'ombe nchini Kenya hawawezi wakakubali kumuiga, kuhusishwa na au hata tu kuitwa jina Magufuli.
 
Zezrta wewe na nyanya ako. Wamekuzidi ww mwenye inferiority complex
Hivi unaona Tanzania tunapambana au tumekaa tu tushakubali liwalo na liwe?
Wakenya sio stupid kutaka waige kukaa tu. Naweza sema wanaongoza kwa akili East Africa, sio mazezeta ka sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapime tikiti kwanza pemgine mashine zao ziko faulty pia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapa ni dosage hakujipea poa ama ni nini coz i hear he passed on today and he seemed to be following supreme leader's advise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True, Kenya haiwezi linganishwa na nchi mbovu kama Tz., linchi limezubaa, watu wengi hawana fikra za maono, ni uzembe tupu, serikali imewakalia kishenzi, we can't be compared to nonsense banana republic.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kenya and Tanzania must never be mentioned on the same sentence ni tusi kwa Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maambukizi Tz ni zaidi ya nchi yeyote Africa, mark my words, munaficha data, nyambaff, mko ovyo., with little annual revenue due to thin economy with huge population, ldc for life, sijui mtatokea wapi after corona.,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joto la jiwe haoni hili, he is a deliberate ignorant ccm sycophant, shabiki wa ujinga tupu.,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joto la jiwe haoni hili, he is a deliberate ignorant ccm sycophant, shabiki wa ujinga tupu.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye mjinga, wewe ni nchi gani hapa Africa ambayo askari wanauwa wananchi hovyo kuliko Corona kwa sababu wamechelewa kujifungia ndani?, nchi gani ambayo pamoja na kuweka "partial lockdown, Curfew na mambo mengine lakini bado maambukizi na vifo vinaongezeka?. Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni juhudi zipi Kenya imetumia ambazo ni sawa na za Uganda na Rwanda? Is there a lockdown in Kenya like it was in Uganda and Rwanda?
 
Kenya wanafanya kitu ingine tofauti na taifa zingine za East Africa which is (CONTACT TRACING).
Serikali ikipata mgonjwa mmoja, wanaanzisha shuguli za kuwatafuta familia members pamoja na marafiki wenye amekutana na wao.
Wakipakana wote wanafungiwa for 14 days ndiyo wakapimwe.....wakipimwa unakuta hakuna ata mmoja ako na hizo virus. Na Hizo shuguli zote za kufutilia marafiki na familia ni lazima serikali ifanye hivo ndiyo izuie watu wasiendelea kuambukizana zaidi



..Tafuta kitu cha maana upeane joto la jiwe
 
Wapime tikiti kwanza pemgine mashine zao ziko faulty pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukuna haja ya kupoteza wakati wako ukipima matunda na vifaa za kuwapima binadamu. Wakati wa kupima matunda na mbuzi ukifika hapa kenya mtazipata results and total number of infected fruits and goats.
 
Ni juhudi zipi Kenya imetumia ambazo ni sawa na za Uganda na Rwanda? Is there a lockdown in Kenya like it was in Uganda and Rwanda?
Nairobi, Mombasa zipo " under partial lockdown, mumeweka curfew, mnapima idadi kubwa ya watu kila siku, mumefunga mipaka, lakini yote hayo ni bure kabisa, idadi ya wagonjwa na vifo inazidi kuongezeka, si ni bora mkaacha maisha yaendelee kama kawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya Kenya na nchi zingine ni kwamba wakenya hawana akili hawajui nini wanafanya na nini wanataka. Hakuna nchi yoyote ambayo haifanyi "contact tracing" na kuwaweka chini ya karantini kwa siku 14, hata nchi yenye mgonjwa mmoja lazima hiyo kitu ifanyike.

Ninyi kutokana na ujinga wenu na ulimbukeni wenu wa kutojua mambo kwa undani, ndio mnaona "contact tracing" ni kitu "unique" hufanyika Kenya pekee. Kitu unique ambacho hufanyika Kenya pekee ni kupokea "food donations" na watu kufa kwa njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…