Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hivi unaona Tanzania tunapambana au tumekaa tu tushakubali liwalo na liwe?
Wakenya sio stupid kutaka waige kukaa tu. Naweza sema wanaongoza kwa akili East Africa, sio mazezeta ka sisi
Siwezi linganisha KE na TZ hata siku moja hahahaa, TZ hakuna chochote cha kujidai nilinganishe kwa sababu ipi?
Kenya wanapima sana usishangae kuona maambukizi mengi, Rwanda iondoe kabisa maana ni ka sehemu kadogo tu rahisi sana kumanage, huwezi linganisha Rwanda na Kenya wala Uganda. Na Kenya wapo responsible, lockdown yenyewe ilikua partial sio total lockdown kama Uganda. Nchi zote zina tofauti zake kubwa, Kenya wanajitahidi sana kupima ndiyo maana unaona idadi kubwa, tungekua na vifaa kama vya kwao vya kupima watu 5,000 kwa siku ungeona idadi yetu ambavyo ingepanda.
Wanaongoza kwa akili kwa kueneza maambukizi zaidi? Sasa hivi Kenya na Tanzania ndio wanaoeneza virusi kwenda Uganda na Rwanda, jiulize inawezekanaje Kenya ambayo imetumia mbinu sawa na Uganda na Rwanda lakini bado maambukizi yanaongezeka wakati Rwanda na Uganda yanapungua? Tanzania hatujafunga mipaka wala kuweka lockdown, kwa hiyo usijaribu kulinganisha Kenya na Tanzania, linganisha Kenya, Uganda na Rwanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Kenya ndio wanadondoka zaidi ya Tanzania, hafadhali Tanzania tunajaribu kutafuta " balance" kati ya kukinga kuenea kwa virusi, na kuepuka njaa, sasa hawa wakenya wamehamisha nguvu zote katika kupambana na Corona lakini wameshindwa maambukizi yanaongezeka kwa kasi, huku njaa inawakodolea macho, wamekosa kotekote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Joto la jiwe haoni hili, he is a deliberate ignorant ccm sycophant, shabiki wa ujinga tupu.,Siwezi linganisha KE na TZ hata siku moja hahahaa, TZ hakuna chochote cha kujidai nilinganishe kwa sababu ipi?
Kenya wanapima sana usishangae kuona maambukizi mengi, Rwanda iondoe kabisa maana ni ka sehemu kadogo tu rahisi sana kumanage, huwezi linganisha Rwanda na Kenya wala Uganda. Na Kenya wapo responsible, lockdown yenyewe ilikua partial sio total lockdown kama Uganda. Nchi zote zina tofauti zake kubwa, Kenya wanajitahidi sana kupima ndiyo maana unaona idadi kubwa, tungekua na vifaa kama vya kwao vya kupima watu 5,000 kwa siku ungeona idadi yetu ambavyo ingepanda.
Hampendi ukweli, baki na ujinga yako wachana na mwenzako., ukweli haubadiliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zezrta wewe na nyanya ako. Wamekuzidi ww mwenye inferiority complex
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye mjinga, wewe ni nchi gani hapa Africa ambayo askari wanauwa wananchi hovyo kuliko Corona kwa sababu wamechelewa kujifungia ndani?, nchi gani ambayo pamoja na kuweka "partial lockdown, Curfew na mambo mengine lakini bado maambukizi na vifo vinaongezeka?. Failed state.Joto la jiwe haoni hili, he is a deliberate ignorant ccm sycophant, shabiki wa ujinga tupu.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni juhudi zipi Kenya imetumia ambazo ni sawa na za Uganda na Rwanda? Is there a lockdown in Kenya like it was in Uganda and Rwanda?Wanaongoza kwa akili kwa kueneza maambukizi zaidi? Sasa hivi Kenya na Tanzania ndio wanaoeneza virusi kwenda Uganda na Rwanda, jiulize inawezekanaje Kenya ambayo imetumia mbinu sawa na Uganda na Rwanda lakini bado maambukizi yanaongezeka wakati Rwanda na Uganda yanapungua? Tanzania hatujafunga mipaka wala kuweka lockdown, kwa hiyo usijaribu kulinganisha Kenya na Tanzania, linganisha Kenya, Uganda na Rwanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukuna haja ya kupoteza wakati wako ukipima matunda na vifaa za kuwapima binadamu. Wakati wa kupima matunda na mbuzi ukifika hapa kenya mtazipata results and total number of infected fruits and goats.
Nairobi, Mombasa zipo " under partial lockdown, mumeweka curfew, mnapima idadi kubwa ya watu kila siku, mumefunga mipaka, lakini yote hayo ni bure kabisa, idadi ya wagonjwa na vifo inazidi kuongezeka, si ni bora mkaacha maisha yaendelee kama kawa?Ni juhudi zipi Kenya imetumia ambazo ni sawa na za Uganda na Rwanda? Is there a lockdown in Kenya like it was in Uganda and Rwanda?
Tofauti ya Kenya na nchi zingine ni kwamba wakenya hawana akili hawajui nini wanafanya na nini wanataka. Hakuna nchi yoyote ambayo haifanyi "contact tracing" na kuwaweka chini ya karantini kwa siku 14, hata nchi yenye mgonjwa mmoja lazima hiyo kitu ifanyike.Kenya wanafanya kitu ingine tofauti na taifa zingine za East Africa which is (CONTACT TRACING).
Serikali ikipata mgonjwa mmoja, wanaanzisha shuguli za kuwatafuta familia members pamoja na marafiki wenye amekutana na wao.
Wakipakana wote wanafungiwa for 14 days ndiyo wakapimwe.....wakipimwa unakuta hakuna ata mmoja ako na hizo virus. Na Hizo shuguli zote za kufutilia marafiki na familia ni lazima serikali ifanye hivo ndiyo izuie watu wasiendelea kuambukizana zaidi
View attachment 1444343
..Tafuta kitu cha maana upeane joto la jiwe