Wakenya waanza kusalimu amri na kukubaliana na Magufuli, waomba Uhuru Kenyatta kuiga mbinu za Magufuli

ninayo kwa sababu viongozi wa Kenya wanatoa taarifa zote kuhusu korona.

viongozi wetu Tanzania wanawapiga vita wataalamu walio mstari wa mbele, na taarifa kwa umma wameamua wasitoe.

kwa makadirio ya kimahesabu, kama Zanzibar yenye watu 1.5 m ina vifo 32 tayari, Tanzania Bara yenye watu 55 m vifo vitakuwa vishafika si chini ya 1,100, idadi ambayo ni mara 40 zaidi ya Kenya!
 
Sawa MK254
 
Onyesha mahali Kenya mtu amefariki mwaka huu kwa ajili ya njaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauna lako punguani, umelemaa akili kwa kweli., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unauma, jamaa inaeza kua wewe pengine ni wale askari wa CCM ambao munatumiwa kuangamiza wapingamizi wa ujinga na propaganda za ccm, (assasin) mna ua wasema ukweli. Hiyo roho mbaya inaonekana kupitia maoni yako. Mnachuki na watanzania wanao sema ukweli ama kupinga serikali kiukweli., nenda tetea ccm kwa jukwaa lenyu la news...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I like the way this thread has aged. Epic fail, your fellow Tanzanians are the ones telling you how stupid you sound. Lol
 
Umeandika pumba mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hivyo siku lockdown tena? Sasa imekuwa "partial lockdown"? You need to look up the meaning of the word lockdown.

Ni kweli idadi inazidi kuongezeka kwetu na hilo ni wazi. Swali ni je: Aren't there new cases and deaths in Tanzania in the last one week?
 
Sisi hatujachukua hatua zozote za kuwaumiza wananchi, iwenye mnapiga watu na kuwauwa lakini maambukizi yanaongezeka?, hakuna mtanzania hata mmoja aliyepiga hata kibao na POLISI kuhusiana na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…