Tofauti ya Kenya na nchi zingine ni kwamba wakenya hawana akili hawajui nini wanafanya na nini wanataka. Hakuna nchi yoyote ambayo haifanyi "contact tracing" na kuwaweka chini ya karantini kwa siku 14, hata nchi yenye mgonjwa mmoja lazima hiyo kitu ifanyike.
Ninyi kutokana na ujinga wenu na ulimbukeni wenu wa kutojua mambo kwa undani, ndio mnaona "contact tracing" ni kitu "unique" hufanyika Kenya pekee. Kitu unique ambacho hufanyika Kenya pekee ni kupokea "food donations" na watu kufa kwa njaa.
Sent using
Jamii Forums mobile app