Wakenya waanza kusalimu amri na kukubaliana na Magufuli, waomba Uhuru Kenyatta kuiga mbinu za Magufuli

Wakenya waanza kusalimu amri na kukubaliana na Magufuli, waomba Uhuru Kenyatta kuiga mbinu za Magufuli

joto la jiwe,
Wakubali mbinu za watu kufa hovyo?

Sasa hivi niko Kenya - hakuna kitu kama hicho!

Kinachofanyika Tanzania ni sawa na mtu kuziba macho yako usione watu wengine ilihali kiwiliwili chako chote kinaonekana na watu wote.
Hii habari unayo?
Screenshot_20200509-071718.png
 
ninayo kwa sababu viongozi wa Kenya wanatoa taarifa zote kuhusu korona.

viongozi wetu Tanzania wanawapiga vita wataalamu walio mstari wa mbele, na taarifa kwa umma wameamua wasitoe.

kwa makadirio ya kimahesabu, kama Zanzibar yenye watu 1.5 m ina vifo 32 tayari, Tanzania Bara yenye watu 55 m vifo vitakuwa vishafika si chini ya 1,100, idadi ambayo ni mara 40 zaidi ya Kenya!
 
Sawa MK254
 
Tofauti ya Kenya na nchi zingine ni kwamba wakenya hawana akili hawajui nini wanafanya na nini wanataka. Hakuna nchi yoyote ambayo haifanyi "contact tracing" na kuwaweka chini ya karantini kwa siku 14, hata nchi yenye mgonjwa mmoja lazima hiyo kitu ifanyike.

Ninyi kutokana na ujinga wenu na ulimbukeni wenu wa kutojua mambo kwa undani, ndio mnaona "contact tracing" ni kitu "unique" hufanyika Kenya pekee. Kitu unique ambacho hufanyika Kenya pekee ni kupokea "food donations" na watu kufa kwa njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Onyesha mahali Kenya mtu amefariki mwaka huu kwa ajili ya njaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauna lako punguani, umelemaa akili kwa kweli., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unauma, jamaa inaeza kua wewe pengine ni wale askari wa CCM ambao munatumiwa kuangamiza wapingamizi wa ujinga na propaganda za ccm, (assasin) mna ua wasema ukweli. Hiyo roho mbaya inaonekana kupitia maoni yako. Mnachuki na watanzania wanao sema ukweli ama kupinga serikali kiukweli., nenda tetea ccm kwa jukwaa lenyu la news...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I like the way this thread has aged. Epic fail, your fellow Tanzanians are the ones telling you how stupid you sound. Lol
 
Wanaongoza kwa akili kwa kueneza maambukizi zaidi? Sasa hivi Kenya na Tanzania ndio wanaoeneza virusi kwenda Uganda na Rwanda, jiulize inawezekanaje Kenya ambayo imetumia mbinu sawa na Uganda na Rwanda lakini bado maambukizi yanaongezeka wakati Rwanda na Uganda yanapungua? Tanzania hatujafunga mipaka wala kuweka lockdown, kwa hiyo usijaribu kulinganisha Kenya na Tanzania, linganisha Kenya, Uganda na Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika pumba mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi, Mombasa zipo " under partial lockdown, mumeweka curfew, mnapima idadi kubwa ya watu kila siku, mumefunga mipaka, lakini yote hayo ni bure kabisa, idadi ya wagonjwa na vifo inazidi kuongezeka, si ni bora mkaacha maisha yaendelee kama kawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo siku lockdown tena? Sasa imekuwa "partial lockdown"? You need to look up the meaning of the word lockdown.

Ni kweli idadi inazidi kuongezeka kwetu na hilo ni wazi. Swali ni je: Aren't there new cases and deaths in Tanzania in the last one week?
 
Sisi hatujachukua hatua zozote za kuwaumiza wananchi, iwenye mnapiga watu na kuwauwa lakini maambukizi yanaongezeka?, hakuna mtanzania hata mmoja aliyepiga hata kibao na POLISI kuhusiana na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom