Wakenya wachukizwa na Ngugi kwa kuendeleza Ukabila huko Catalonia

Kwa hivyo kulingana na wewe, sisi Wakenya hatutumii kiswahili kuleta umoja? Kama hujui kiswahili ndicho lugha ambacho kila Mkenya huzungumza. Ingawa kiswahili cha Kenya ni kibovu kushinda chenu ila huku tunakitumia kiswahili maeneo yote. Tunatumia kiswahili hata kushinda kiingereza. Mjaluo akitaka kuongea na Mkikuyu, lugha watakayotumia ni kiswahili. Kiswahili tayari ni lugha ya taifa na inatumika ofisini mwa serikali na inaruhusiwa kutumika bungeni na wajumbe wanaotaka kukitumia.
 
Tatizo ni kutumia lugha zenu za makabila katika jamii. Vipi mnaruhusu redio na vyombo vya habari virushe kwa kutumia lugha za makabila yao?, vipi timu za mpira zinamrengo wa kikabila hadi mabango ya Gormahia FC yameandikwa kijaluo?.

Lazima lugha za makabila zipigwe marufuku kutumika katika sehemu za kazi, vyombo vya habari, na katika "official government and public events" hadi mtakapojikuta kwamba ukabila hauna nguvu kama Tanzania ndio mtalegeza hizo sheria, lakini kwa sasa lazima muwe wakali sana na huu upuuzi wa kuendekeza "Catalysts" za kuchochea ukabila, lugha ni catalyst kubwa sana ya kuchochea ukabila.
 
Yupo sahihi. Kikuyu., kiingereza etc ni sawa. Kwanza amejivunia lugha ya mama yake.
 
Lugha sio catalyst as you claim ....Kenyans embrace each other's cultures and languages.
 
Lugha sio catalyst as you claim ....Kenyans embrace each other's cultures and languages.
Lazima mjifunze kutoka kwa watu waliofanikiwa, ni jambo la kushangaza sana kukuta Tanzania ukabila ni kama haupo wakati Kenya watu wanachinjana kwa sababu za ukabila, cha kushangaza zaidi Kenya wanashindwa hata ku- copy na ku-paste. Sisi tulifanikiwa kwa kufuta uongozi wa chiefs na kuzuia lugha za makabila kutumika katika government places, pia tukazuia mtu kuulizwa kabila lake katika sehemu za kutolea huduma za kijamii, unless it is absolutely necessary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…